Fundi Mchundo
Platinum Member
- Nov 9, 2007
- 8,941
- 6,859
The fact kwamba mmekasirika na kutetea mkataba kwa nguvu zote inaonyesha jinsi mlivyo.....biased (one sided thinkers)
Mkataba wa aina hii ni Upendeleo and injust
hakuna service ya kanisa inayotolewa bure "kila mtu analipia shule na hospital big junk of money to have servie" name any church school linganisha bei yake na shule za serikali
kama wana pata pesa toka serikalini then watoe huduma kwa bei poa! otherwsie ni mafisadi kwa jina la kanisa...
Hivi unajua kusoma kweli? Nitateteaje kitu ambacho ni forgery? Au ni wewe uliyeuandika maana naona hata wewe haujui tofauti ya "chunk" na "junk".
Kwa nini unataka tulinganisha shule za wamisheni na za serikali badala ya za kiislamu ( Al Muntazir etc. etc.)?
Ungeenda shule za wamisheni pengine ungeweza hata kuandika sentensi inayoeleweka! Unashindwa kweli na mtu wa darasa la nne Peramiho?
Amandla.......