ISIS was formed na CIA&MOSSAD clue zipo , Urusi alimsaidia mshirika wake ambaye Marekani alikuwa anataka kumtoa

Kiufupi tutegemee muelekeo mpya wa vita na siasa za Dunia , may be WWW3 is approaching

Sent using Jamii Forums mobile app
Kama ndio hivyo sasa mbona unauliza tena ISIS wanafaidika nini kuishambulia Ruzzia?!
 
Yaani Urusi anawekewe Security updates kama Tanzania?? Na wanashindwa kutrack tukio.huu ni ujinga
Sasa hivi urusi inamambo mengi sana ndiyo maana inapanua idala zake za kijeshi na ujasusi mara 3 ya ilivyo kuwa kabla ya mzozo wa ukrain ...kazi ya ujasusi siyo kuzuia tu tukio ila na kulikabili vyema ikiwa litafanikiwa kutukia ...nikama kanuni za ugonjwa kuna kinga na kuna tiba ..ukishindwa kwenye kinga basi uweze kwenye tiba
 
USA sio wa mchezo mchezo

Russia kanyooshwa alijua ni propaganda.

Israel ilionywa na USA Kupitia Egypt kwamba Kuna mashambulizi yameoangwa wakazingua saizi wanaua wapalestina wasio na hatia baada ya Mashoga kufanyiwa kitu mbaya na Hamas.
Siyo kwamba marekani ni noma kwenye ujasusi bali marekani ni kama rostam azizi huyu yeye ni kumwaga pesa tu na marekani ana print dolla na kuzimwaga ili kupata taharifa nyingi ...marekani yupo vizuri kwenye kumwaga pesa
 
Siyo kwamba marekani ni noma kwenye ujasusi bali marekani ni kama ristam azizi huyu yeye ni kumwaga pesa tu na marekani ana print dolla na kzimwaga ili kupata taharifa nyingi ...marekani yupo vizuri kwenye kumwaga pesa
Ristam naye kafanyaje
 
Siyo kwamba marekani ni noma kwenye ujasusi bali marekani ni kama ristam azizi huyu yeye ni kumwaga pesa tu na marekani ana print dolla na kzimwaga ili kupata taharifa nyingi ...marekani yupo vizuri kwenye kumwaga pesa
Kwanini Ruzzia haprinti Rubo na kuzimwaga tu ili apate "taharifa" nyingi??
 
THIS ALERT WAS PUBLISHED BY THE US EMBASSY IN RUSSIA 2 WEEKS AGO.
TAHADHARI HII ILICHAPISHWA NA UBALOZI WA MAREKANI NCHINI URUSI WIKI 2 ILIYOPITA

The Embassy is monitoring reports that extremists have imminent plans to target large gatherings in Moscow, to include concerts, and U.S. citizens should be advised to
avoid large gatherings over the next 48 hours.
Wqlijuaje?


View: https://x.com/shaykhsulaiman/status/1771254913634296186?s=46&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw

seriously walijuaje?

counterIntelligence ya US ipo mbali wameshikilia kila means ya mawasiliano ni ngumu kuwakwepa Ata ukitumia codes kuna watu wana uwezo mkubwa ku dicipher

ili uwakwepe usitumie teknolojia kabasi so wanajua mambo mengi kabla halijatokea Ata hapa kwetu Mala nyingi tu US Embassy waga wanachapisha taarifa za tishio la kiusalama na watu na wahusika wanazifanyia kazi kudhibiti mashambulizi
 
seriously walijuaje?

counterIntelligence ya US ipo mbali wameshikilia kila means ya mawasiliano ni ngumu kuwakwepa Ata ukitumia codes kuna watu wana uwezo mkubwa ku dicipher

ili uwakwepe usitumie teknolojia kabasi so wanajua mambo mengi kabla halijatokea Ata hapa kwetu Mala nyingi tu US ambassy waga wanachapisha taarifa za tishio la kiusalama na watu na wahusika wanazifanyia kazi kudhibiti mashambulizi
Ipo mbali wali kila siku wamauliwa na mabomu hizo propaganda jaribu kuwaeleza wajinga wajinga.
 
Kwanini Ruzzia haprinti Rubo na kuzimwaga tu ili apate "taharifa" nyingi??
Unajua kuna huu siano gani kati ya kwnuni ya kuprint dolla na dolla kuwa ndiyo pesa ya dunia ? Ndiyo maana urusi anajaribu kuipiga marekani kwenye pesa ya dunia kwa kuanzisha mfumo mpya kupitia brics
 
RUSSIAN MEDIA REJECTS SPECULATION THAT ISIS WAS BEHIND TERRORIST ATTACK

The attackers were 'Slavs, above average height, probably using fake beards and mustaches', and were likely part of the Ukraine-backed 'Russian Volunteer Corps'

- Kommersant, one of Russia's largest newspapers.
Wanaoshabikia ushoga na mashoga wanaumia sana wakisikia hayo
 
Back
Top Bottom