Nilizani ni single shooter kutokana na mapigo ya risasi yanavyo sikika Lakini kwenye hii taarifa naona walikua wengiNimeshaona source za kuaminika ziki report tukio hilo
Putin wishes ‘speedy recovery’ to victims of Moscow shooting – as it happened
Terror group says it was behind attack as authorities say number of dead could rise; gunmen appear not to have been capturedwww.theguardian.com
Hakuna sourceInaarifiwa watu zaidi ya 50 wamefariki.
Wiki mbili zilizopita Marekani na Uingereza zilitoa tahadhari ya kutokea kwa tukio la kigaidi ndani ya Urusi
Miaka ya nyuma hata wachechnya waliwahi Teka warusi ndani ya jumba la utamaduni.at Moscow concert hall
Yale ya Prigozhizine na uongo wa RussiaThe number of victims in the shooting at Crocus City Hall has increased to 130 - source 112
Unashindwa kusema UGAIDiI kila siku povu mqpovu yanawatoka walivyoshambuliwa mabwana zenu Israel ili tukio unaita mbinu.Duh ina maana Ukraine imeanza kutumia mbinu za namna hii?
Osama bin laden na Mullah Omar walitisha sana 😂😄😂Mapunguani yw JF ambao mapovu uwa yanawatoka huko Gaza yapo kimya yanashindwa kusema ugaidi maana yanaamini Wazungu siyo Magaidi
😂😂😂
Unashindwa kusema UGAIDiI kila siku povu mqpovu yanawatoka walivyoshambuliwa mabwana zenu Israel ili tukio unaita mbinu.Duh ina maana Ukraine imeanza kutumia mbinu za namna hii?
Na mbona sijasikia Allah Akbaru.Gaidi si angerusha bomu tu?
Itakuwa ni waharifu tu