TANESCO Official Account Joined Jul 12, 2014 Posts 5,475 Reaction score 3,095 28 minutes ago #1 Bado wewe ni WiFi ya umeme wa jirani? Simu unachaji kwake, barafu unagandisha kwake, hadi mpira unaangalizia kwake! omba umeme basi kupitia nikonekt tukuwashie Your home deserves its own power! Mpaka nimeongea na kingeee labda utanielewa😂
Bado wewe ni WiFi ya umeme wa jirani? Simu unachaji kwake, barafu unagandisha kwake, hadi mpira unaangalizia kwake! omba umeme basi kupitia nikonekt tukuwashie Your home deserves its own power! Mpaka nimeongea na kingeee labda utanielewa😂
EricMan JF-Expert Member Joined Oct 5, 2017 Posts 4,140 Reaction score 7,484 11 minutes ago #2 kama sijaweka wiring mnaweza kuweka umeme hadi kwangu kuvuta waya