ni ya

"Ya No Somos Ni Seremos" (English: "Now We Aren't or Will Ever Be") is a song by Mexican musician Christian Nodal. Written by Nodal, Anthony López and Edgar Barrera, it was released on February 18, 2022 via Sony Music Latin as the second single from Nodal's second extended play, Forajido (2022). The track peaked at number one on the Hits of the World Mexico Songs chart and debuted at number eight on the Hot Latin Songs.

View More On Wikipedia.org
  1. Mganguzi

    JamiiForums Tanzania Tumejifunza na tumejifahamu DNA yetu ni ya popo

    Ndugu zangu biblia katika 1samweli 9:9 na kuendelea mungu anajipambanua kwamba yeye ni mungu na kamwe Huwa hatembei njia moja na mtu muoga ! Ndio maana mungu alitaka kumuua mfalme hezekia kwa kosa la uoga maana alimuogopa sanekarebu ! Mungu alimchukia sauli kwa kumuogopa Goliath! Mungu Yuko...
  2. Mad Max

    JamiiForums Tanzania Kwanini TAG makanisa yao mengi ni ya mabati mabati ova wanajitafuta wakati ni moja ya taasisi kongwe?

    Ni kwamba kila kanisa lijijenge kwa mfuko Binafsi au Hakuna mfuko wa pamoja kama taasisi nyingine za kidini? Naomba kuelekezwa taratibu
  3. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Tanzania bado ni ya 5 duniani kwa maambukizi ya UKIMWI. Usidanganyike na zile chudai za kavu kavu ukaona kawaida kuteleza. Jilinde na linda na wenzako

    Inawezekana kwa VVU kudumu miaka 8 bila kusababisha dalili zinazoonekana na baadhi ya watu huishi na VVU kwa miaka 10 bila kujua kwamba wana VVU. SOURCE: UNIAIDS
  4. comrade_kipepe

    JamiiForums Tanzania Kama ni mpira kwa sasa sisiem wanaongoza 3 na dakika ni ya 35 kipindi cha kwanza.

    Mkubali mkatae, ccm ishawabana kende wananchi, hamna ujanja, ule umoja wa mo29 hautokaa utokee tena, washajifunza kutokana na makosa. Washajua namna ya kuishi na manyumbu na makondoo. Sisiem kabla hakujapoa chomekeni tena kitu kingine hapo Kati, kikiisha tu miaka 30 ya bf hiyo hapo, Yani ni...
  5. Equation x

    JamiiForums Tanzania Kama haya hamyafanyi mara kwa mara ukiwa na mpenzi wako, juwa mahusiano yenu ni ya kuigiza si ya kweli.

    Jiulize:- Mara ya mwisho kuoga pamoja na mpenzi wako ilikuwa lini? Mara ya mwisho kukimbizana kama watoto wadogo wewe na mpenzi wako ilikuwa lini? Mara ya mwisho kujambiana wewe na mpenzi wako ilikuwa lini? Mara ya mwisho ya kumpiga kalio mpenzi wakoilikuwa lini? Mara ya mwisho kukumbatiana...
  6. Afisa_Nkai

    JamiiForums Tanzania Je ni ya kweli haya!

  7. I

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mahakama Kuu yaunga mkono kujumlishwa kwa matokeo ya Urais Kitaifa. Hii ina maana gani kwa mpiga kura?

    Mahakama Kuu imeamuru kuwa kujumlisha na kuthibitisha matokeo ya uchaguzi wa urais katika ngazi ya kitaifa(National tallying Centre) ni halali, na hivyo basi imetupilia mbali kesi iliyowasilishwa na Seneta wa Busia, Okiya Omtatah, iliyopinga mchakato huo. Mahakama imeeleza kuwa masharti ya...
  8. M

    JamiiForums Tanzania Kwanini makanisa ya ndani ambayo mengi ni ya kilokole hayana msaada kwenye jamii zaidi ya kunufaisha wanafamilia ?

    Haya makanisa ya Tanzania kama TAG, EAGT, Mwamposa, Kapola, Kakobe, Gwajima, n.k. unawakuta wachungaji wana maisha ya juu sana kuzidi waumini Wengine account zao binafsi ziliwekwa wazi zina mabilioni, wengine wapo mbioni kununua ndege, wengine wana magari ya mamia ya maelfu ya madila, n.k...
  9. Mad Max

    JamiiForums Tanzania Tesla Cybercab imeanza kufanya kazi rasmi baadhi ya majimbo USA. Sema Bei kwa route ni ya moto na demand kubwa sana!

    Kama mnakumbuka, October 2024 Tesla walikua na Event wakazindua Robitaxi zao wanazoziita Cybercab, unarequest gari (kama Uber), inakuja bila dereva, inakupeleka unakotaka kwenda. Easy. Tesla wamezindua Cybercab (Robitaxi) Tesla wamezindua Cybercab Robitaxi II Sasa kawaida ya Tesla, wanatangaza...
  10. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania Daima Rais Dr.Samia Suluhu Hassan huchukua hatua na kufanya maamuzi magumu kwa maslahi mapana ya Taifa.

    Sidhani kama kuna ubishi kwenye jambo hili la kipekee sana kwa rais wetu. Na sote ni mashahidi kwamba, hatua za makusudi na maamuzi magumu ambayo daima Rais Dr.Samia Suluhu Hassan amekua akiyachukua ndani ya chama na katika serikali sikivu ya CCM, hulenga katika kulinda maslahi mapana ya taifa...
  11. Jamaa Fulani Mjuaji

    JamiiForums Tanzania HUU UZI NI KWA AJILI YA GEN Z: Kama wapo humu comment hapa, isije ikawa JamiiForums ni ya wazee pekee!

    Mambo vipi Wana-JF Imekuwa kama utamaduni au dhana iliyozoeleka kwamba kule X (Twitter) na TikTok ndio kuna mijadala yenye msisimko ya vijana wa Gen Z (wale waliozaliwa kuanzia miaka ya 1997 kuelekea mbele), huku hapa JamiiForums ikionekana kama kijiwe cha wakongwe, Ma-Millennial waliokula...
  12. K

    JamiiForums Tanzania Kama barua ni ya kweli, Makamu wa Rais awe Dkt. Migiro

    Ikiwa ni kweli kuhusiana na hizi taarifa kuhusu kujiuzulu kwa makamu wa Rais Dkt. Nchimbi, mtu anayefaa kwa uzoefu na uwezo alionao kupewa nafasi hiyo naona Dkt. Migiro, katibu Mkuu wa CCM kwa maslahi mapana ya Taifa.
  13. Subira the princess

    JamiiForums Tanzania Hapa ukweli uko wapi? Mbona maneno haya ni ya kinabii.

    Wasalaam. Siku zote katika bara letu Africa watu wenye akili kubwa na maono huchukuliwa ni wasaliti, why?
  14. Red black

    JamiiForums Tanzania Katika biashara mbaya zaidi duniani ni ya madawa ya kulevya. Haitaki utani kabisa

    Hii biashara ni hatari yani ukikosea steps umekufa wewe. Watu hawana huruma ukipoteza hata dollar 500 kupigwa chuma ni dakika Moja Hii biashara ukijiingiza kutoka ni nguma sana once a mafia cartel always a mafia. Ina risk sana vilevile ina pesa ya haraka sana huku impact yake kwa wale...
  15. dvj nasmiletz

    JamiiForums Tanzania Tunauza magari kwa Tsh 200,000 tu. Ni ya kuchaji

    Tunauza magari ya watoto kuanzia miezi 6 hadi miaka 15 tupo dar es salaam... yapo ya rangi na size/muonekano tofautitofauti.. Unachaji siku masaa 12 na pia yanatumia rimoti,na mengine yana muziki kabisa piga 0627474141/0773474141 MNUNULIE MWANAO ZAWADI HII NZURI HASA MSIMU WA LIKIZO ATAENJOY...
  16. L

    JamiiForums Tanzania Rais Samia Ametendea Haki Hatima Ya Maisha ya watanzania Kiuchumi. Hali ya Maisha ni Ya Kutia Matumaini na Nuru

    Ndugu zangu Watanzania, Ukiwa Mkuu wa Nchi na Amiri Jeshi Mkuu Wa Majeshi ya Ulinzi na Usalama Maana yake ni Kuwa Umebeba Dhamana ya Maisha ya Watu. Maana yake ni Kuwa Maisha ya Watu yapo mikononi Mwako . Maana yake hatima za Kesho ya wananchi ipo mikononi mwako. Maana yake ni Kuwa usalama...
  17. M

    JamiiForums Tanzania Askofu Shoo: Serikali nayo ikiwa ni ya walalamikaji inaondoa matumaini

    Nukuu ya mazungumzo ya kwenye video "Wapinzani wanailaumu Serikali, wanalaumu mifumo, wanalaumu mahakama, wanalaumu Jeshi la Polisi, na kadhalika. Lakini wanasimama viongozi wa Serikali, wanawalaumu wapinzani, wanalaumu Diaspora, wanalaumu watu walioko nje. Hakuna anayekaa mahali pa kuleta...
  18. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania TANESCO: Tumefanya ukaguzi wa miundombinu katika Jengo la Mwenge Stendi na kubaini huduma ya umeme ni ya uhakika

    Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) limebaini kuwa huduma ya umeme katika Jengo la Kituo cha Mabasi cha Mwenge inaendelea kuwa ya uhakika baada ya kufanya ukaguzi wa miundombinu kufuatia taarifa zilizosambaa zikidai kuwepo kwa changamoto ya kukatika kwa umeme mara kwa mara katika eneo hilo...
  19. S

    JamiiForums Tanzania SI KWELI Video, Haaland akijiogopa baada ya kujiona kwenye kioo

    Wakuu hii video ni halisi huyu ni Haaland kweli?
  20. O

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Austerity ni ya Wananchi Tu? Serikali Yatumia Ksh 17.3B kwa Safari na Ksh 4.9B kwa Hospitality

    Jamani hii ni noma! Wakati wananchi wanaambiwa kubana matumizi na kukaza mkanda, ripoti ya Controller of Budget imefichua kuwa serikali ilitumia Ksh.17.3 billion kwa safari za ndani na nje ya nchi kati ya Julai 2025 na Machi 2026. Bunge liliongoza matumizi makubwa ya safari huku State House...
Back
Top Bottom