ksny
JF-Expert Member
- Mar 30, 2016
- 1,693
- 1,657
Hivi wewe kwa akili zako unafikiri kuna Mtanzania anayewaamini kwamba Mbowe ni Gaidi....
Acheni mambo ya kutesa watanzania wenzenu bana kisa madaraka.
Kwani gaidi ni mtu wa namna gani. Mtu yeyote (icluding Mbowe) anaweza kuwa gaidi. Kwa hiyo mimi ninaamini Mbowe anaweza kuwa gaidi. Mbona kila siku anaenda kupeleka bakuli Uarabuni na Ulaya na kutoa ahadi anazojuwa fika hawezi kuzitekeleza!Hivi wewe kwa akili zako unafikiri kuna Mtanzania anayewaamini kwamba Mbowe ni Gaidi....
Acheni mambo ya kutesa watanzania wenzenu bana kisa madaraka.