Sisty Nyahoza: Vyama vya siasa vimshukuru Rais Samia kwa kufungua Milango ya kufanyika kwa Mikutano na kudumisha Demokrasia

Heparin

Senior Member
Sep 24, 2021
127
420
Vyama vya siasa nchini Tanzania vimetakiwa kufanya siasa za kistaarabu kwa kuzingatia sheria za vyama vya siasa.

Hayo yamezungumzwa na Sisty Nyahoza, Naibu Msajili wa vyama vya siasa Tanzania akiwa katika mkutano mkuu wa ACT Wazalendo unaofanyika leo, Machi 5, 2024.

Sisty amesema kwa sasa vyama hivyo vinapaswa kumshukuru na kumpongeza Rais Samia Suluhu ambaye ndiye aliyefungua milango kwa wanasiasa kufanya mikutano ya kisiasa pamoja na kudumisha demokrasia.

Chanzo: Mwanzo TV Plus
 
Huyo ndie mlezi wa vyama vya siasa.
Yaani hata hajui wajibu wake.
Ana chukulia hii mikutano na maandamano kama hisani ya Rais na sio katiba.
Kuna majitu yana kera sana.
 
Vyama vya siasa nchini Tanzania vimetakiwa kufanya siasa za kistaarabu kwa kuzingatia sheria za vyama vya siasa.

Hayo yamezungumzwa na Sisty Nyahoza, Naibu Msajili wa vyama vya siasa Tanzania akiwa katika mkutano mkuu wa ACT Wazalendo unaofanyika leo, Machi 5, 2024.

Sisty amesema kwa sasa vyama hivyo vinapaswa kumshukuru na kumpongeza Rais Samia Suluhu ambaye ndiye aliyefungua milango kwa wanasiasa kufanya mikutano ya kisiasa pamoja na kudumisha demokrasia.

Chanzo: Mwanzo TV Plus
Huyu hafai hii nafasi. Jukumu lake kubwa kuleta .migogoro vyama vya upinzani. Aku.mbuke kuna kufa baada ya maisha. Kuna hukumu bada maisha
 
Vyama vya siasa nchini Tanzania vimetakiwa kufanya siasa za kistaarabu kwa kuzingatia sheria za vyama vya siasa.

Hayo yamezungumzwa na Sisty Nyahoza, Naibu Msajili wa vyama vya siasa Tanzania akiwa katika mkutano mkuu wa ACT Wazalendo unaofanyika leo, Machi 5, 2024.

Sisty amesema kwa sasa vyama hivyo vinapaswa kumshukuru na kumpongeza Rais Samia Suluhu ambaye ndiye aliyefungua milango kwa wanasiasa kufanya mikutano ya kisiasa pamoja na kudumisha demokrasia.

Chanzo: Mwanzo TV Plus
Mikutano ni haki ya kikatiba,huyo Naibu Msajili hajui anachokisema halafu unashangaa kwanini tunashindwa kila siku Mahakama za usuluhishi.
 
Sister
Huko ndiko tunapelekana.
Kama uliona hujasikika kwa muda na uchawa unakuathiri si ungekaa kimya tu.
WaTanzania sio wajinga unavyodhani.
 
Vyama vya siasa nchini Tanzania vimetakiwa kufanya siasa za kistaarabu kwa kuzingatia sheria za vyama vya siasa.

Hayo yamezungumzwa na Sisty Nyahoza, Naibu Msajili wa vyama vya siasa Tanzania akiwa katika mkutano mkuu wa ACT Wazalendo unaofanyika leo, Machi 5, 2024.

Sisty amesema kwa sasa vyama hivyo vinapaswa kumshukuru na kumpongeza Rais Samia Suluhu ambaye ndiye aliyefungua milango kwa wanasiasa kufanya mikutano ya kisiasa pamoja na kudumisha demokrasia.

Chanzo: Mwanzo TV Plus
Nilishasema mahala fulani kwamba nchi yetu Tanzania imejaliwa kuongozwa na wasomi wapumbavu sana.

Hizi kauli zinathibitisha hoja yangu
 
Vyama vya siasa nchini Tanzania vimetakiwa kufanya siasa za kistaarabu kwa kuzingatia sheria za vyama vya siasa.

Hayo yamezungumzwa na Sisty Nyahoza, Naibu Msajili wa vyama vya siasa Tanzania akiwa katika mkutano mkuu wa ACT Wazalendo unaofanyika leo, Machi 5, 2024.

Sisty amesema kwa sasa vyama hivyo vinapaswa kumshukuru na kumpongeza Rais Samia Suluhu ambaye ndiye aliyefungua milango kwa wanasiasa kufanya mikutano ya kisiasa pamoja na kudumisha demokrasia.

Chanzo: Mwanzo TV Plus
Kumbe siyo katiba ni huruma ya Rais? jinga sn
 
Pumbavuuu
 
Hizo ni haki za kikatiba, si fadhila alizofanya Samia.

Stop this deification already.
 
Vyama vya siasa nchini Tanzania vimetakiwa kufanya siasa za kistaarabu kwa kuzingatia sheria za vyama vya siasa.

Hayo yamezungumzwa na Sisty Nyahoza, Naibu Msajili wa vyama vya siasa Tanzania akiwa katika mkutano mkuu wa ACT Wazalendo unaofanyika leo, Machi 5, 2024.

Sisty amesema kwa sasa vyama hivyo vinapaswa kumshukuru na kumpongeza Rais Samia Suluhu ambaye ndiye aliyefungua milango kwa wanasiasa kufanya mikutano ya kisiasa pamoja na kudumisha demokrasia.

Chanzo: Mwanzo TV Plus
Kwahiyo hii nyangarakasha inatuambia tunaishi kwa hisani ya mama Samia na si katiba! Kwa msemo mwingine Tanzania ina mwenyewe na mwenyewe ni rais Samia!
 
Mikutano ni haki ya kikatiba,huyo Naibu Msajili hajui anachokisema halafu unashangaa kwanini tunashindwa kila siku Mahakama za usuluhishi.

..katika hili nawalaumu Act Wazalendo.

..hawakupaswa kumpa nafasi Naibu Msajili kuzungumza ktk mkutano wao.
 
Vyama vya siasa nchini Tanzania vimetakiwa kufanya siasa za kistaarabu kwa kuzingatia sheria za vyama vya siasa.

Hayo yamezungumzwa na Sisty Nyahoza, Naibu Msajili wa vyama vya siasa Tanzania akiwa katika mkutano mkuu wa ACT Wazalendo unaofanyika leo, Machi 5, 2024.

Sisty amesema kwa sasa vyama hivyo vinapaswa kumshukuru na kumpongeza Rais Samia Suluhu ambaye ndiye aliyefungua milango kwa wanasiasa kufanya mikutano ya kisiasa pamoja na kudumisha demokrasia.

Chanzo: Mwanzo TV Plus
Stupid and hopeless statement, unashukuru mtu aliyekubia shati lako kulirudisha? johnthebaptist
 
Vyeo hivi vya kuwa msajili wa vyama vya siasa vingekuwa vinapatikana kwa kuomba kuajiriwa kama ajira zingine si kwa kuteuliwa na mh Rais. Huyo Nyahoza ameamua kusema si kwa bahati mbaya ila ni kumfurahisha aliyemfanya atembelee V8 na kulipwa mshahara mnono.
 
Vyama vya siasa nchini Tanzania vimetakiwa kufanya siasa za kistaarabu kwa kuzingatia sheria za vyama vya siasa.

Hayo yamezungumzwa na Sisty Nyahoza, Naibu Msajili wa vyama vya siasa Tanzania akiwa katika mkutano mkuu wa ACT Wazalendo unaofanyika leo, Machi 5, 2024.

Sisty amesema kwa sasa vyama hivyo vinapaswa kumshukuru na kumpongeza Rais Samia Suluhu ambaye ndiye aliyefungua milango kwa wanasiasa kufanya mikutano ya kisiasa pamoja na kudumisha demokrasia.

Chanzo: Mwanzo TV Plus
MIKUTANO NI HAKI YA KIKATIBA SIO HISANI
 
Back
Top Bottom