Mnyika atakiwa kujieleza kwa Msajili wa Vyama vya Siasa kisa kusema Rais Samia alisema uongo

Binafsi nawakilisha mamilioni ya watanganyika na watanzania kwa ujumla ambao hatutaki katiba mpya. Laiti watanganyika au watanzania kwa uwingi wetu tungetaka katiba mpya basi nchi hii leo isingetawalika. Lkn kwa vile wengi wetu hatuhitaji katiba mpya ndio maana nchi bado inatawalika, shughuli mitaani zinaendelea na hakuna dalili ya chochote kutokea. Japo. alietaka kulazimisha hiyo katiba akiendelea kunyea debe.
Wanaibua agenda ya katiba mpya baada baada ya kuona kesi ya ugaidi imeiva!
 
Wewe Kama nani?.!!You are concentrating your mind in a limited area
Kama mtanganyika na mtanzania halisi. Chadema na misukule yao hawakuweka akiba ya pesa zao, sasa njaa imewabana wanakuja na njia nyingine ya kupiga hela kupitia vikao vya katiba.

Namshauri raisi Samia awapuuze wachumia tumbo hawa. Kama wanaona swala la katiba lina umuhimu waliweke kwenye ilani yao ya uchaguzi mwaka 2025, tuone kama hawajaangukia pua again
 
Wanaibua agenda ya katiba mpya baada baada ya kuona kesi ya ugaidi imeiva!
90% ya watanzania wameipuuza hii propaganda yao ya katiba kwa vile imekaa kiupigaji, hasa ktk vikao vya katiba ambapo kila atakaechaguliwa kuwakilisha kundi fulan atahitajika kulipwa mamilioni ya shiling kwa kila kikao.
 
Hiyo ndiyo Taarifa iliyopo mitaani kwa sasa , na huu ndio uzuri wa Chadema , hakuna muda wa kuendelea kudanganya umma na ukaachwa tu .

Usiku_mwema..jpg
 
Samia kama hataki katiba mpya sisi watanganyika tunataka Tanganyika yetu. Atabaki hana nchi anayoiongoza.
Watanganyika bila katiba mpya tuhimizane kujitoa kwenye muungano wa wana ccm.
Tunataka muungano wa wananchi wa Tanganyika na Zanzibar.
Jpm mtanganyika pure lkn alisema hakunadi katiba mpya na ndye aliyemuachia usukani ssh sasa wewe na utanganyika wako tuletee katiba kama unaona unauwezo wa kuileta
 
Kama mtanganyika na mtanzania halisi. Chadema na misukule yao hawakuweka akiba ya pesa zao, sasa njaa imewabana wanakuja na njia nyingine ya kupiga hela kupitia vikao vya katiba. Namshauri raisi Samia awapuuze wachumia tumbo hawa. Kama wanaona swala la katiba lina umuhimu waliweke kwenye ilani yao ya uchaguzi mwaka 2025, tuone kama hawajaangukia pua again

..ushauri wako ni mzuri, lakini sidhani kama ccm na polisi watauzingatia.
 
Kati ya Marais waongo Samia anaongoza' eti kuna ambao wamefungwa mbowe ndo kabaki!!! Eti watanzania wamekubali tozo ya miamala mwongo hadi anajidanganya mwenyewe...!!
 
Msajili wa vyama vya siasa amemtaka Katibu mkuu wa CHADEMA J J Mnyika kujieleza kufuatia kauli yake kuwa katika mahojiano ya BBC Rais Samia alisema uongo...
Haya mambo ndio yanakuja kuleta machafuko! Samia na IGP walisema mbowe alikimbia kesi akaenda kenya,je kuanzia september hadi july mbowe alikuwa na kesi ya ugadi iliyomfanya akimbie? Kama hamtaki vyama vingi pelekeni muswada bungeni vifutwe full stop.watu wote tuwe CCM.
 
Binafsi nawakilisha mamilioni ya watanganyika na watanzania kwa ujumla ambao hatutaki katiba mpya. Laiti watanganyika au watanzania kwa uwingi wetu tungetaka katiba mpya basi nchi hii leo isingetawalika. Lkn kwa vile wengi wetu hatuhitaji katiba mpya ndio maana nchi bado inatawalika, shughuli mitaani zinaendelea na hakuna dalili ya chochote kutokea. Japo. alietaka kulazimisha hiyo katiba akiendelea kunyea debe.

C0<k-svckers can not touch us, the block love us We got the ghetto on our back muh'fv<kers!!
 
Haya mambo ndio yanakuja kuleta machafuko! Samia na IGP walisema mbowe alikimbia kesi akaenda kenya,je kuanzia september hadi july mbowe alikuwa na kesi ya ugadi iliyomfanya akimbie? Kama hamtaki vyama vingi pelekeni muswada bungeni vifutwe full stop.watu wote tuwe CCM.

..uko sahihi 100%.

..Maza anaelezea suala hili kana kwamba Mbowe alikamatwa akiwa mafichoni.

..Mbowe alikimbia vipi wakati alikuwa humuhumu nchini akiandaa na kuhudhuria makongamano?
 
Back
Top Bottom