Mnazionaje huduma za Azam tv?

Mnazionaje huduma za Azam tv?

Na hizo ambazo huja highlight pia zipo Startimes?

Halafu mpaka ulengeshe Makongo au Kisarawe,sasa sijui sisi wa Mabwepande tutaionaje hiyo StarTimes,au nikiwa pale Linjolinjo nitapataje huyo mchina
 
Mkuu wakati mwingine haihitaji sana kuwa mhafidhina.

Usiangalie sana utapata nini bali angalia namna ya kupata hicho unachokihitaji.

1. Azam TV inatumia teknolojia ya DVB-S (ina maana kisimbusi hiki hudaka mawimbi kwa mtindo wa dish).

2. Startimes wao hutumia teknolojia ya DVB-T (ina maana kisimbusi hiki hudaka mawimbi kwa mtindo quarter wavelength antenna).

Hadi hapa utagundua kuwa kiteknolojia tayari Azam TV wapo a step ahead.

Baada ya kutazama hayo angalia unalipia ki
kweli mkuu umeongea kiufundi zaidi,quality ni muhimu sana. hao startimes technology yao ndio inasababisha wateja walalamike ingekua satellite kwa content walionayo ingekua poa sana.
hapa jf forum ni kila kitu usichoke kutoa elimu kama hii
 
Daah! Wadau azamtv imekata kwangu tangu saa sita mchana signal zinakuja zinatoka, hvi sababu yaweza kuwa ni nni wataalam? Au ni hali ya hewa? Kwamaana asubuh nimeangalia vzuri, mvua ilipoanza tu ikakata, je kwenu vp mvua ikinyesha huwa inakata mawasiliano?

Always maji au mvua ni bad reflector of signal,kama mvua ilikua inaendelea kunyesha ingeendelea kusumbua. lakini mvua ikiisha signal inarudi kama kawaida
 
Habari wakuu,
vipi jana AZAMTV walionyesha moja wapo ya matangazo ya mpira Barclays Premier League?
 
Channel zenu sio! Tafuteni channel zenye mvuto ...na vipindi vya maana,,mambo ya kiarabu huku uswahilin ya nn!
 
Channel zifuatazo natazama kwenye simu yangu bila chenga;

MOVIES:
M6,MBC1,MBC2,MBC3,MBC4,MBC2HQ,MBC ACTION,MBC Masr,MBC Max,MBC Drama,Fox,Fox movies,Rotana Cinema,Dubai One,e.t.c

SPORTS:
Skysports 1,2 & 3
belN sports 1,2,3,4,5,6,7,9 & 10.
belN sports (+) 1,2,3,4,5,6,7,8,9 &10.
NBA,WWE 1 & 2,ESPN 1&2
Real madrid & Chelsea Tv

NEWS:
Aljazeera [eng & arabic]
BBC World news[eng & arabic]
Skynews[eng & arabic]
Russia Today[RT]
France 24Ar
CNN and may more;
Unanunua bandle unaendelea kufurahia maisha!
 
Channel zifuatazo natazama kwenye simu yangu bila chenga;

MOVIES:
M6,MBC1,MBC2,MBC3,MBC4,MBC2HQ,MBC ACTION,MBC Masr,MBC Max,MBC Drama,Fox,Fox movies,Rotana Cinema,Dubai One,e.t.c

SPORTS:
Skysports 1,2 & 3
belN sports 1,2,3,4,5,6,7,9 & 10.
belN sports (+) 1,2,3,4,5,6,7,8,9 &10.
NBA,WWE 1 & 2,ESPN 1&2
Real madrid & Chelsea Tv

NEWS:
Aljazeera [eng & arabic]
BBC World news[eng & arabic]
Skynews[eng & arabic]
Russia Today[RT]
France 24Ar
CNN and may more;
Unanunua bandle unaendelea kufurahia maisha!




mkuu vip betri huitesi????
 
Vipi ufungaji wake hausumbui? Nimefunga dstv zuku na fta ft 6 je hili halina jipya wakati wa kufunga? Nataka niende nalo bush leo.
 
Ee bwana Taarifa nzuri.

Mkuu mawsliano yake milima ya Dar vip?. Mfano Makongo, UDS, Kilimahewa na Salasala?? Hukn ero tup!
Hawa wanatumia satellite, sio terrestrial. Kwa maana hio basi, unaweza kuipata Azam Tv popote pale bila shida.
 
Leo wameonyesha mechi ya CHELSEA VS NEWCASTLE
kupitia channel moja hivi WBS
hapa tunasubiri local channel zilizobaki atuwekee
 
Back
Top Bottom