Kurunzi
Platinum Member
- Jul 31, 2009
- 10,175
- 11,573
mengi ni mtu mwenye wivu.
Wa maendeleo
mengi ni mtu mwenye wivu.
ITV na Star Tv wanajitenga wenyewe,utakua wana wivu wa kibiashara [Star TV]
Kizuri hujiuza kibaya hujitembze. Azam bado motto anatambaa kwe TVs. Ona Star TV ilivyopayushwa na BBC Dira ya Dunia?
Kila nikiwa Sinza watu wanahaha kuwahi kipidi hiki saa 3 usiku.
Unaona! Kumbe kiingereza muhimu kukijua.. Sasa hawa wote wanawahi BBC Swahili, kutokana na ngeli kwenye BBC English!
Bakhresa anafaa kumrithi Kikwete uraisini!
waliongeza chanel zingine,angalia picha za siku ya uzinduzi tar 6 dec
Sitegemei kama channel ya TB Joshua itakuwepo, he he hee! Si unajua tena TB Joshua anapambana na mambo ya mapepo!
Da
ITV mbona anatengwa na wote.
Orodha ya chaneli walizoanza nazo;
Clouds tv
TBC
Channel 10
Azam one
Azam two
Citizen tv
K24
NTV
ZBC
KTV
NBC
Bukedde tv2
Urban tv
MBC1
MBC2
MBC3
MBC4
MBC Action
MBC Max
MBC Drama
MGM Movies
Etv Africa
African Movie
MTV base
Box tv
Landscape
Setanta Africa
My Sport channel
MS Compact Sports
National Geo
Discovery Science
Discovery INve
Fine Living
Outdoor Channel
BBC News
Al jazeera New Engl
Al jazeera New Arab
Al jazeera Kids
Times Now
Nickelodeon
Kids co.
Al arabiya
Wanasah
Star Plus Me
Colours
Zoom
Star Gold Int
Zee Cinema
Zing
MTV India
Sinema zetu
Info
hizi zote zipo STARTIMES.....BET,NBA TV,EURO SPORT,E!NTERTAINMENT plus many more AZAM TV HAWANA,i'll stick with STARTIMES
Na hizo ambazo huja highlight pia zipo Startimes?
nilizo bold zipo na ndio zimenivutia hizo nyingine wala haziwezi kunivutia baadhi zipo ila wala huwa sizitazami plus AZAM HAWANA NBA,BET,EUROSPORT,E! ambazo ni channel nzuri sana,in short hata nikinunua AZAM DECODER nitakosa hizi ambazo ndio muda mwingi naangalia...FOR THE TIME BEING,I WILL STICK WITH STARTIMES.......
Startimes ubora wa picha na sauti n mdogo sana
List ya startimes hii hapa,
starmovies 1,2
star series
star one
star africa
star novela
star chinese
star kungfu
star music
bollywood
tbc1
tbc2
channel 10
dtv
star tv
itv
eatv
clouds tv
sibuka
citizen
ctn
e-star
real-star
wap tv
cctv
phoenix
bet
etv
E!
fox
fx
sta plus
mgm
amc
true movies
b4u movies
star gold
cctv news
bbc news
al-jazeera news
msnbc news
bloomberg
fox news
mtv base
c music
b4u music
gospel music
kidsco
child smile
nickelodeon
baby tv
jim jam
setanta africa
eurosport news
MCS
nba tv
setanta action
cctv doc
viasat N+H
disc science
nat geo gold
animaux
tumaini
tbn
iqraa
tlc
fashion one
fashion tv
fln
Unaonaje bei yake ukilinganisha na Azam tv?