Mnazionaje huduma za Azam tv?

Mnazionaje huduma za Azam tv?

I feel proud kwa kweli hawa jamaa wako serious. Kwa wale wenye Azam TV angalieni kuna channel update zikiwemo ITV na EATV sasa bado Star Tv and other local channels. KUDOS TO AZAM TV.
 
Lini hiyo mkuu jamaa wako poa Sana, Jana nimejiunga nao rasmi
 
Kuna jamaa waliwahi kuponda sana hapa kuhusu AZAM Tv,nikawaambia hawa jamaa wapo juu na wanaowabania kurusha channel zao wataachia tu wakimaliza Decorde zao za kuungaunga.
Nawakubali Sana,mie nilinunua mwanzo tu walipoanza Ku introduce.
So,tunasongesha.AZAM Tv Big Up
 
Lini hiyo mkuu jamaa wako poa Sana, Jana nimejiunga nao rasmi

Nieona leo just few minutes ago nadhani soon na Diallo atakubali star TV iwe live now wana channel 54
 
Kama ITV ipo basi nitanunua leo hii, Nijulishe duka liko wapi.

Kuna ofisi zao kule nyerere road karibu na Tazara au pale maxmalipo millenium towers, pia mayfair plaza kuna agents wao. Kuhusu sehemu zingine wengine wataongezea
 
Kweli kabisa mkuu niko nawatch hapa nadhani pia soon tutakuwa na star TV pia km una azam tv just watch itaupdate na utapata hizo channels

mimi ni fundi wa haya madude wateja wangu walikuwa wananinisumbua sana kwa sasa kazi ni kwao. Kwambaaali naona mazishi ya startime na zuku yanahandariwa
 
Kuna jamaa waliwahi kuponda sana hapa kuhusu AZAM Tv,nikawaambia hawa jamaa wapo juu na wanaowabania kurusha channel zao wataachia tu wakimaliza Decorde zao za kuungaunga.
Nawakubali Sana,mie nilinunua mwanzo tu walipoanza Ku introduce.
So,tunasongesha.AZAM Tv Big Up

Mkuu unaongezaje salio kwe azam kwa mpesa,akaunti namba ni ipi ya kadi au ya receiver?
 
itv na eatv kwa sasa zipo free nimeziona fr 12605h29995 kwa risiva ya kawaida
 
uwiii ngoja nitupilie mbali hii startimes. kwa moro napata wapi kingamuzi cha azam tv wakuu
 
Back
Top Bottom