Mnazionaje huduma za Azam tv?

Mnazionaje huduma za Azam tv?

mbona nyingine umewabania kuna Mbc1,Mbc3,Mbc4,Mbc drama Na Coming Soon wana jaziliza Mbc bollywood,fx na fox entertaiment Wanao bwabwaja Wataikubali 2 Azam tv

Mbona kimya kimya wanaikubali. Unataka waikubali mara ngapi?
 
Hujanishawishi bado unataka kusema hata kama cha nyumbani ni kibovu niseme ni kizuri siwezi fanya hiyo, bado narudia.usipoteze muda na hiyo kisimbuzi hakina chanel za maana zaidi ya uchafu, kama unataka vya nyumbani chukua Ting utapata ITV na EAT, hii ni issue ya biashara sio ubinafsi.

Hushawishiwi na mtu, tena kama unataka ITV na EATV si ununue Digitek kabisa? Hahahaaaa
 
Wako vzr kupita maelezo!Nami najipanga kufunga hapa home.km 130,000/wanafunga kila kitu na only 12500/kwa mwezi.setanta africa,mcs tanzania muvi na nyngne nyng zikiwa na mwanga na picha zenye kiwango
 
Orodha ya chaneli walizoanza nazo;

Clouds tv
TBC
Channel 10
Azam one
Azam two
Citizen tv
K24
NTV
ZBC
KTV
NBC
Bukedde tv2
Urban tv
MBC1
MBC2
MBC3
MBC4
MBC Action
MBC Max
MBC Drama
MGM Movies
Etv Africa
African Movie
MTV base
Box tv
Landscape
Setanta Africa
My Sport channel
MS Compact Sports
National Geo
Discovery Science
Discovery INve
Fine Living
Outdoor Channel
BBC News
Al jazeera New Engl
Al jazeera New Arab
Al jazeera Kids
Times Now
Nickelodeon
Kids co.
Al arabiya
Wanasah
Star Plus Me
Colours
Zoom
Star Gold Int
Zee Cinema
Zing
MTV India
Sinema zetu
Info

Hapo Setanta Africa,my sport channel na Ms compact sport kuna nini?
Mie shabiki wa soka kama wanaonesha nijuzeni kama kuna ligi ya uingereza na spain.
 
Hiv zile studio mbili za kisasa za azam n kwa ajili ya vipindi vinavyohusu nin
 
Back
Top Bottom