Mnazionaje huduma za Azam tv?

Mnazionaje huduma za Azam tv?

mkuu inaonekana wewe ni mfanyakaz au wakala wa azam tv unafanya research bado ni mapema kujua

Mtazamo wako 2,me n mteja wa Azam tv napenda sana movies&WWE ndo maana nashabikia ujio wa Azam tv kwa sababu ina vitu ninavyovitaka kwa bei rahisi ukilinganisha na makampuni mengine
 
mkuu inaonekana wewe ni mfanyakaz au wakala wa azam tv unafanya research bado ni mapema kujua

Azam Tv wameboa nilitegemea wangekuwa na local channel zote but wameishia kuwa na mbili tu, easy tv ni more better local channel zipo zote
 
laki na ishirini( 120000) then malipo ya kila mwezi ni sh elfu kumi na mbili na elfu mbili miatano( 12500)
Duh, mie nimegongwa 135,000/= na malipo ya kila mwezi 12,500/= bado nikagharamia usafiri wa kuja fungiwa. Ila StarTv na ITV hawana.
 
Azam Tv wameboa nilitegemea wangekuwa na local channel zote but wameishia kuwa na mbili tu, easy tv ni more better local channel zipo zote

Unategemea nini kama IPP imekataa station zake zisiwekwe kwenye Azam decorder?
 
Nawashangaa sana wa2 wanaolalamika Ch za Ipp na startv Azijawekwa azam tv Tatizo co kwa Azam tv tatizo Ni kwa wenyekampuni izo bwana mengi Ataki ch zake ziwemo ktk Azam tv vivyoivyo na startv sasa utamlaumu nan?
 
Hizo channels za Mengi akae nazo mwenyewe. Azam watukumbuke kwenye Dubai One na Sony Max
 
AZAM TV
1507441_244355022397413_1822920521_o.jpg

1. Azam One
2. Azam Two
3. ZOOM
4. MBC 1
5. Star Plus
6. MBC 4
7. Fox Entertainment
8. Colours
9. e.tv
10. Euro Channel
11. Sinema Zetu
12. MGM Movies
13. African Movies Channel
14. Zee Cinema
15. Star Gold
16. Setanta Africa
17. Kombat Sport
18. MCS International
19. Nat Geo Gold
20. Discovery
21. Investigation
22. Discovery Science
23. Nickleodeon
24. Aljazeera kids
25. Fine Living
26. Outdoor
27. Landscape
28. BBC News
29. Aljaazeera -English
30. Aljazeera- Arabic
31. Times Now
32. Al Arabia
33. MTV Base
34. MTV India
35. BoxTV
36. ZING
37.TBC
38.KBC
39. Bukedde
40. Clouds Tv
41. Citizen
42. Urban Tv
43. ZBC
44. Tv West
45.Channel Ten
46. KTN
47. NTV

1506639_244314029068179_753997913_n.jpg

1004669_204487433050839_91493206_n.png
 
Ndugu zangu si kila kitu unachoweza kuwa nacho ww na wengine wanakiweza, nimewahi kuwa mteja wa star times lkn bahati mbaya sikuwa na cha kujivunia huko, yaani dk 10 unaona dk 5 ni mgando. Pia baadhi ya mikoa hakuna eatv, ITV wala startv, kwenye king' amuzi cha star times. Mwisho ni vizuri kutofautisha mawimbi ya satellite mfano zu Ku, ting dish, dstv , azamtv na huo mfumo wa DVB-T kwani ubora wa satellite haulingani na DVB-T ( antenna za digital)
 
Azam Tv wameboa nilitegemea wangekuwa na local channel zote but wameishia kuwa na mbili tu, easy tv ni more better local channel zipo zote

Na yule wa namtumbo anapataje hiyo easytv ndugu ili nimlipie ?
 
Azam Tv wameboa nilitegemea wangekuwa na local channel zote but wameishia kuwa na mbili tu, easy tv ni more better local channel zipo zote

Easy Tv wanaishia Dar tu au wapo nchi nzima.
 
Aya mlio kuwa mnalalamika azam tv cjui nini nini 2uulizeni cc 2navyo kura raha ma muvi kupitia Mbc channel na ma entertain
 
Back
Top Bottom