ndetichia
JF-Expert Member
- Mar 18, 2011
- 27,769
- 6,585
hawa jamaa soon tu wataweka na epl chezea bakharesa wewe..
Mkuu unaongezaje salio kwe azam kwa mpesa,akaunti namba ni ipi ya kadi au ya receiver?
Bei gani hivyo ving'amuzi vinauzwa?
Kama ITV ipo basi nitanunua leo hii, Nijulishe duka liko wapi.
wapi hao waarabu? Kitu dstv bhana! Ndo mpango mzima! Wengne wote bado sana!
mwambie Fernandes sasa kuna azam tv
Ni ya kadi(smartcard number) au unaweza kutumia Customer number ambayo inaanzia na TZ ila simple way just use namba ya kadi.
" Nyota Times" ya Kichina ndo anamulikiwa taa nyekundu! Na channel zao za kawaida eti 40,000/- kwa mwezi! Mmmh, kazi wanayo.Kama wakiweka chanel za mengi plus star tv watafunika mbaya.
mwambie Fernandes sasa kuna azam tv
wapi hao waarabu? Kitu dstv bhana! Ndo mpango mzima! Wengne wote bado sana!