Mnazionaje huduma za Azam tv?

Mnazionaje huduma za Azam tv?

Ukitoa hizo channel za Azam Tv zilizobaki karibu 90% nazipata kwenye Zuku. In my opinion hakuna kipya sana. Wangeangalia kampuni zingine zina nini then wasome mahitaji ya waTz ndio wajue channel zipi waweke. Nabaki Zuku kwa sasa hadi mmoja atakapoamua kuweka hata ligi za Ulaya.
Colorado Out!!
 
Unazipata Zuku kwa 12,500/- kwa mwezi?
 
Ukitoa hizo channel za Azam Tv zilizobaki karibu 90% nazipata kwenye Zuku. In my opinion hakuna kipya sana. Wangeangalia kampuni zingine zina nini then wasome mahitaji ya waTz ndio wajue channel zipi waweke. Nabaki Zuku kwa sasa hadi mmoja atakapoamua kuweka hata ligi za Ulaya.
Colorado Out!!

hata mimi nimeona hawana kipya nitabaki startimes mpaka walete kipya.....
 
Hahaaa, labda kipya ni kutokuwa na ule 'mgando' wa Startimes?

kama ulivyosema LABDA....huo mgando mimi sija-experience kwangu inaonyesha vizuri tu nabaki kusikia kwenu huo mgando...ikinisumbua nahami huko AZAM ETC
 
List ya startimes hii hapa,

starmovies 1,2
star series
star one
star africa
star novela
star chinese
star kungfu
star music
bollywood
tbc1
tbc2
channel 10
dtv
star tv
itv
eatv
clouds tv
sibuka
citizen
ctn
e-star
real-star
wap tv
cctv
phoenix
bet
etv
E!
fox
fx
sta plus
mgm
amc
true movies
b4u movies
star gold
cctv news
bbc news
al-jazeera news
msnbc news
bloomberg
fox news
mtv base
c music
b4u music
gospel music
kidsco
child smile
nickelodeon
baby tv
jim jam
setanta africa
eurosport news
MCS
nba tv
setanta action
cctv doc
viasat N+H
disc science
nat geo gold
animaux
tumaini
tbn
iqraa
tlc
fashion one
fashion tv
fln

ili upate hizi channel hizi zote inabidi ulipie sh ngapi? Wkt azam 12500.
 
Baada ya kuiona hii list sasa moyo wangu umeridhika na naona Azam TV na Easy TV ndio watakuwa bora kwa sasa.

Mimi ni mpenzi sana wa movies na kitendo cha kujumuisha hizo channels za MBC sasa roho kwatu, hapo inabidi waongeze Dubai One, then na mojawapo ya Dubai Sports walau tuone Champions League ya Europe.

Orodha ya chaneli walizoanza nazo;

Clouds tv
TBC
Channel 10
Azam one
Azam two
Citizen tv
K24
NTV
ZBC
KTV
NBC
Bukedde tv2
Urban tv
MBC1
MBC2
MBC3
MBC4
MBC Action
MBC Max
MBC Drama
MGM Movies
Etv Africa
African Movie
MTV base
Box tv
Landscape
Setanta Africa
My Sport channel
MS Compact Sports
National Geo
Discovery Science
Discovery INve
Fine Living
Outdoor Channel
BBC News
Al jazeera New Engl
Al jazeera New Arab
Al jazeera Kids
Times Now
Nickelodeon
Kids co.
Al arabiya
Wanasah
Star Plus Me
Colours
Zoom
Star Gold Int
Zee Cinema
Zing
MTV India
Sinema zetu
Info
 
elfu kumi kwa chanel zip?chanel nzuri zinaanzia kwenye kifurushi cha elfu 20 wakati azam tv anauza chanel zote hizo kwa sh.12,500

nzuri kwa tafsiri yako??kwa wengine hizo ni nzuri TBC1,2,CHNL 10,DTV,STARTV,ITV,EATV,CLOUDSTV,CITIZEN,CTN,E-STAR,STAR MUSIC,BET,ETV etc....mimi binafsi kweli naweka cha 20,000
 
ili upate hizi channel hizi zote inabidi ulipie sh ngapi? Wkt azam 12500.

kwa 10,000 unapata chnl kama hizo za azam...kwa 20,000 unapata nyingi na bora zaidi ya azam....pound for pound azam bado aongeze channel nitahamia huko
 
hizi zote zipo STARTIMES.....BET,NBA TV,EURO SPORT,E!NTERTAINMENT plus many more AZAM TV HAWANA,i'll stick with STARTIMES

Mkuu wakati mwingine haihitaji sana kuwa mhafidhina.

Usiangalie sana utapata nini bali angalia namna ya kupata hicho unachokihitaji.

1. Azam TV inatumia teknolojia ya DVB-S (ina maana kisimbusi hiki hudaka mawimbi kwa mtindo wa dish).

2. Startimes wao hutumia teknolojia ya DVB-T (ina maana kisimbusi hiki hudaka mawimbi kwa mtindo quarter wavelength antenna).

Hadi hapa utagundua kuwa kiteknolojia tayari Azam TV wapo a step ahead.

Baada ya kutazama hayo angalia unalipia kiasi gani na unapata vitu gani.

Mwisho ndio ufikie maamuzi ya kuwa na nini...
 
mkuu kabla sijakujibu naomba uniambie maana ya hili neno...
 
Mkuu wakati mwingine haihitaji sana kuwa mhafidhina.

Usiangalie sana utapata nini bali angalia namna ya kupata hicho unachokihitaji.

1. Azam TV inatumia teknolojia ya DVB-S (ina maana kisimbusi hiki hudaka mawimbi kwa mtindo wa dish).

2. Startimes wao hutumia teknolojia ya DVB-T (ina maana kisimbusi hiki hudaka mawimbi kwa mtindo quarter wavelength antenna).

Hadi hapa utagundua kuwa kiteknolojia tayari Azam TV wapo a step ahead.

Baada ya kutazama hayo angalia unalipia kiasi gani na unapata vitu gani.

Mwisho ndio ufikie maamuzi ya kuwa na nini...

Hapo umenena
 
nipo startimes kwa ajili ya channel zifuatazo...
NBA TV
MTVBASE
BET
BBCNEWS
ALJAZEERA NEWS
CCTVNEWS
MSNBC
FOX
DISC SCIENCE
NAT GEO GOLD
ETV
EUROSPORT
SETANTA
MA CHAINE SPORT

trust me...hizi zote zinaonekana kwa quality ya juu sana...kwa hio kama hizi zingekuwepo AZAM,DIGITEK ningehamia huko
 
nimepata jibu star time bei zake zimegawanyika ktk vifurushi vitatu-
MAMBO tsh 9000 chanel 30
UHURU tsh 18000 chane 45
KILI tsh 36000 channel 54.
Je utalinganisha na azam?
 
nimepata jibu star time bei zake zimegawanyika ktk vifurushi vitatu-
mambo tsh 9000 chanel 30
uhuru tsh 18000 chane 45
kili tsh 36000 channel 54.
Je utalinganisha na azam?

zimepanda 10,000....20,000....40,000
 
Back
Top Bottom