Mnazionaje huduma za Azam tv?

WBS Channel ya Uganda huwa inaonesha mechi moja ya Uingereza kila jumamosi na NBS huwa inaonesha Champions League mechi ya jumatano. Unaweza kuziona hizo mechi hapo juu kwa ku add satellite na kuziona kupitia MBC3/RODRIGUEZ TV ya Mauritius.

Mkuu umesema ukweli kabisa! Tatizo watu wengi tuna muangalia azam km kampuni kubwa na kudhani anaweza kufanya chochote kionekane. Mchakato wa matangazo ya mpira kusini mwa jangwa la sahara karibu ligi zote kubwa amepewa dstv kwa kushida zabuni,hiyo ndio pia sababu ya abudhabi sport kupoteza haki ya kuonyesha EPL kwa aljazeera msimu huu na miwili ijayo. Kwa sasa TV za afrika ukiondoa dstv wamepewa mechi moja ya jumamosi ya EPL na uefa moja ya jumatano, ndio maana utakuta ATN,WBS na MBC wanaonyesha mechi zinazofanana.
 
Wapo vizuri mkuu, picha na sauti ni super! King'amuzi chao ni DVB-S2 na ni HD.
..Mazee hawa Continental wanatuzingua tu marekebisho mwezi mzima na mimi nitatafuta mbadala sasa maana uvumilivu umenishinda!!...
 
Kuna jirani hapa analalamika amelipia tangu saa 9 mpaka sasa hawajamuunganisha! akiwapigia wanatoa majibu mepesi! nimeona nije nimsemee hapa kama wahusika wanachungulia humu wajirekebishe!
 
Azam mmekua watu wa ajabu sana kuptia huu uzi natoa donge langu jamani punguzeni bei ya vifurushi na madishi
 
Back
Top Bottom