fakenology
JF-Expert Member
- May 3, 2012
- 1,002
- 673
Vip kuhusu "Star TV na ITV"! Hazipo ndani ya hicho kingamuzi cha Azam??
CHANEL ZA IPP NA STAR TV wamiliki wao wamekataa matangazo yao kurushwa na ving'amuz vingine.
Vip kuhusu "Star TV na ITV"! Hazipo ndani ya hicho kingamuzi cha Azam??
Asiyetoa mapepo kati yao ndiye anayo!ndugu kati ya azm na tb joshua nani ana mapepo?
Saiv naangalia Clouds Tv kwa Azam tv
Zipo kwenye TING
Azam tv wapo vizuri ,wanachotakiwa kufanya ni kuwa na channel moja ya kwao itakayokuwa inashughulika na matukio km taarifa za habari na vipindi vya kawaida ili wazibe nafasi ya itv na startv
Hivi visimbuzi vya ting vinauzwa bei gani na malipo kwa mwezi sh ngapi
Hawa jamaa wako kimya sana,nasikia kuna chanel za uarabuni{MBC1,2,3,4,max,drama&action} wameongeza zitaonesha movies na WWE, TNA..Lakini nilitaka uthibitisho kabla cjanunua kisimbuzi chao
ila hawa jamaa hawana itv,mm nilinunua tar 13 nikawekewa ungo wao mdogo hivi ila baada ya cku mbili picha zikakata kabisa,niliwapigia cm had leo hawajaja,mie niko moshi
Ndio jambo la kushangaza hilo. Serikali ilisema Tv zote za bure za nchi hii lazima ziwe kwenye ving'amuzi, ilikuwa amri na sio hiyari.Vip kuhusu "Star TV na ITV"! Hazipo ndani ya hicho kingamuzi cha Azam??
Sinema zimezidi.Azam tv wapo vizuri ,wanachotakiwa kufanya ni kuwa na channel moja ya kwao itakayokuwa inashughulika na matukio km taarifa za habari na vipindi vya kawaida ili wazibe nafasi ya itv na startv
kachemka kudadafua huyo..Huku Arusha, Benson & Co. Wanakula 30,000/- kwenye Installation!
Daah! Wadau azamtv imekata kwangu tangu saa sita mchana signal zinakuja zinatoka, hvi sababu yaweza kuwa ni nni wataalam? Au ni hali ya hewa? Kwamaana asubuh nimeangalia vzuri, mvua ilipoanza tu ikakata, je kwenu vp mvua ikinyesha huwa inakata mawasiliano?
Nasikia ITV na StarTV wamekataa kuweka channel zao kwa AZAM TV, na hii ni kwa sababu wao wana vingamuzi vyao pia, ila ukiangalia kibiashara wao ndio wanazidi kurudi nyuma kwani wanazuia coverage yao kuwa kubwa, kwa sababu pia vingamuzi vinaishia hapa Dar tu.Kwanini Local TV zisiwemo zote? Tutakuwa na decoder ngapi ndani? Inanikera sana hii.
Body without head
hivi visimbuzi vya ting vinauzwa bei gani na malipo kwa mwezi sh ngapi