Mnazionaje huduma za Azam tv?

unaweza kutuambia baadhi ya chaneli mkuu?

Orodha ya chaneli walizoanza nazo;

Clouds tv
TBC
Channel 10
Azam one
Azam two
Citizen tv
K24
NTV
ZBC
KTV
NBC
Bukedde tv2
Urban tv
MBC1
MBC2
MBC3
MBC4
MBC Action
MBC Max
MBC Drama
MGM Movies
Etv Africa
African Movie
MTV base
Box tv
Landscape
Setanta Africa
My Sport channel
MS Compact Sports
National Geo
Discovery Science
Discovery INve
Fine Living
Outdoor Channel
BBC News
Al jazeera New Engl
Al jazeera New Arab
Al jazeera Kids
Times Now
Nickelodeon
Kids co.
Al arabiya
Wanasah
Star Plus Me
Colours
Zoom
Star Gold Int
Zee Cinema
Zing
MTV India
Sinema zetu
Info
 
Hawa jamaa wako kimya sana,nasikia kuna chanel za uarabuni{MBC1,2,3,4,max,drama&action} wameongeza zitaonesha movies na WWE, TNA..Lakini nilitaka uthibitisho kabla cjanunua kisimbuzi chao

Yeah, hizo MBC zote hapo zipo.
 
Hiki king'amuzi cha azam tv kinakamata mikoa yote au hadi DSM tu wadau???.
 
Ee bwana Taarifa nzuri.

Mkuu mawsliano yake milima ya Dar vip?. Mfano Makongo, UDS, Kilimahewa na Salasala?? Hukn ero tup!
 
Kizuri hujiuza kibaya hujitembeza. Azam Tv bado mtoto anatambaa kwenye TVs. Ona Star TV ilivyopayushwa na BBC Dira ya Dunia?

Kila nikiwa Sinza watu wanahaha kuwahi kipidi hiki saa 3 usiku kwenye mabaa FUTUHI lake liko juu na linavuta matangazo ya baishara.
Good Strategy!
 
Hiki king'amuzi cha azam tv kinakamata mikoa yote au hadi DSM tu wadau???.

Wanatumia Satellite kusambaza matangazo yao.Ukishanunua dish pamoja na kingamuzi chao utapata channel zao mikoa yote Tanzania.
 
mi ndo maana naona mengi ni mbinafsi sana tofauti na anavyodai eti yeye ni mzalendo.
ona tv zake kwa kuwa zina watazamaj wengi basi amezibana na kidgtek. vng'amuz vyenyewe vpo dar tu.
shame on you mengi na unajikaanga na mafuta yako mwenyewe kwan huku mikoani tv zako watazamaj wanapungua kila kukicha kwan kila king'amuz kikija chanel zako hazpo.
hv matangozo hayakutoshi na vng'amuzi ukawaachia na wenzako wapate.
ndo maana unakosa support kwenye gesi.
tamaa mbaya mengi.
mtaka vyote hukosa vyote.
nlikuwa nakuona mzalendo ila kwa hili la visimbusi nimekuona kumbe n mlafi.
mtaji wa visimbusi tanzania nzima unakushinda, alafu unataka kitalu cha gesi.
tamaa itakufikisha pabaya.
 
Daaaaaah,mwanzo mzuri sana,channeli za ukweli za muvi kibao,najua mtatuongezea za aljazeera sports tule epl na ligi zingine za ulaya kibao,ubarikiwe sana azam
 
Back
Top Bottom