Mnazionaje huduma za Azam tv?

Mnazionaje huduma za Azam tv?

Zanzibar kuna Zanzibar cable television zctv ......hawa ndio wanatupa raha ila kwa sasa kuna kijini mtu kawaaribia soko lao hapa Zanzibar maana EPL kuona ni shida sana......sasa hivi ZCTV wanapotea hapa Zanzibar na Azam Tv anauteka mji wa Zanzibar na vitongoji vyote mpaka Pemba
 
Azam tv iko vizuri, iko na channel 52, za bongo ni tbc 1, channel ten, clouds, na ZBC ya zanzibar, kuna channel nzuri za movies za action km MBC2, MBC action.
Mi nipo Nachingwea kikazi na nimefunga dish la azam, hakuna scratching wala nini regardless of the weather.
 
uriza swari vizuri, mimi huduma ya azamtv naiona kwa macho mawiri.au wewe ni kipofu kwani unaonaje wewe?
 
Baadhi za Kinaigeria. Zilikuwa hazina tija.

ZILE MBC1,2,3,4,MAX,ACTION & DRAMA akuna ata moja waliyo igusa pale maana mimi ndo nataka kununua alafu nackia tena kuna habar za kupunguza ch tena kwa wa2
 
uriza swari vizuri, mimi huduma ya azamtv naiona kwa macho mawiri.au wewe ni kipofu kwani unaonaje wewe?

kama kweli unaona kwa macho mawiri badala ya macho mawili bac n afadhali kipofu kuliko wewe
 
Back
Top Bottom