MMU Exlusive Interview! (The Boss kufungukaaaaa on Men Fantacies)

MMU Exlusive Interview! (The Boss kufungukaaaaa on Men Fantacies)

Wewe wanyamazie tu hawa...tunavyowambia hata kwa sauti ya simba hawasikii...hawakawii kusema kuwa mzee mzima The Boss alikuwa na desa kutoka the 1947 club!!

Nadhani zamu ijayo tujiandae kuvunja mbavu pale Nyamayo atakapokalia kiti moto!!

Babu DC!!

Hahaaha ndo manake mkuu mwenzangu Dark City
 
Last edited by a moderator:
namshukuru MUNGU wangu hayuko after hizo features, wangu YUPO KWENYE MADARASA! alinioa nikiwa nothing, now a year after another ni shule mpaka sasa nipo mbali mno, NIMEMPITA HATA YEYE, and he is soooo proud of ME!!! so SIJAJUTA, SIJUTI NA SITAJUTA! namuomba MUNGU WANGU AZIDI KUTUPIGANIA na upendo uzidi mara mia!!

One love cacico..mahaba ya ukwelikweli ndo mpango mzima mamito..mkikaana vizuri wala usitujali sie wapita njia..wakati mwengine tunatafuta pa kuangushia stress zetu tu..may yours last mpaka Jesus arudi
 
Last edited by a moderator:
Hapo umechemka kidogo!!!!!!! Vyote ujue wewe, kwani we nani? Anyway SO FAR UMETISHAAAAAAA!!!

Qn 13: Suala zima la Breakfast (Game ya Asubuhi) wewe unalionaje, je unahusudu breakfast or you prefer your morning sleep ili uwe fiti kujenga taifa mchana?

Binafsi hii naipenda sana, koz usiku nakuwa na stress na uchovu wa kazi! Hii ya asubuhi kwangu mimi is three things.
1. Kitubio kwa mwandani wangu kwa dhambi zoote za mchana-kutamani mipododo hali yeye analo, kuchelewa kurudi, kumwacha mpweke
2. Mazoezi ya viungo-ni dhambi kwangu kwenda gym au kupanda milima hali yeye yupo na 6x6 ipo
3. Kupata baraka ya siku, kuijenga image yake mu-ubongo yangu juu ya umuhimu na utamu wake kwa maisha yangu.

Bila hii kitu, nakuwaga mchovu sana job na nakuwa na hasira bila sababu ya msingi.
 
malizia: na sura haing'ai. Lol, inaitwa morning glory atii
 
jlo anashinda kwenye sugery za tummy tuck na boob job! utafananisha na nyinyi wabahili ambao mnashindwa hata tu kutununulia ukwaju tu ili tuhare mafuta yatoke??!

kiukweli kama The Boss alimaanisha what he said, he is MO THAN A MAN, ni wachache sana, and for that mkewe anaweza kuwa zaidi ya yeye atakavyo, just becoz alim-value hata umbo lake lilipopotea!! mbona nyie mkiota mavitambi yenu ya kongoro za kondoo sisi hatuwaachi??

mpende mkeo kwa hali yoyote ile, kama utaniacha leo sababu ya kitambi?? what about nikipata accident kesho nikaparalyse?? NAWAOMBEA WANANGU MUME MWEMA! NA SI MUME PICHA!

Nimeipata picha cacico..ni suala la makubaliano zaidi..after all kama nnakupa presha ya kupungua wakati mimi nna kitambi,nipe za mbavu tu..It ought to be a fair game..or there is no game at all!
 
Last edited by a moderator:
Ur welcome my dearest..

Na mie sio wa dotcom babu DC.Bila shaka nahitaji kuchukua form za kujiunga haraka.....Kwa uhakiki zaidi muulize Mwita Maranya

Fanya haraka ujipatie uanachama....Hakuna kukaguana wala nini....

Ila masharti yake ni pamoja na kulinda heshima ya chama kama alivyofanya leo The Boss....Ukifanya u-trator kama wa akina Lyatonga tunakupiga chini...

Interim secretary FP atakupiga usaili wa awali,

Babu DC!!
 
Last edited by a moderator:
malizia: na sura haing'ai. Lol, inaitwa morning glory atii

Mbona unanitisha komando wangu King'asti?

Itabidi nimuulize Bibi kama muda wote nilikuwa na sura isiyong'aa kwa sababu kabla ya kustaafu haya mambo, sikuwahi kupiga mechi ya namna hiyo..

Babu DC!!
 
Last edited by a moderator:
Fanya haraka ujipatie uanachama....Hakuna kukaguana wala nini....

Ila masharti yake ni pamoja na kulinda heshima ya chama kama alivyofanya leo The Boss....Ukifanya u-trator kama wa akina Lyatonga tunakupiga chini...

Interim secretary FP atakupiga usaili wa awali,

Babu DC!!

ahahaha.Thanks Babu DC..I guess iam officially the member now
 
Ndiyo maana the 1947 club inashangilia ushindi....

Hakuna majibu ya kujifangilia fagilia kama wana hip pop au wale vijana wako anaotaka uongozi kwa nguvu...

I hate mimi, mimi, mimi kwenye maongezi!!
The Boss is mtu wangu wa nguvu...Sina neno la kuelezea furaha yangu Da Asha...!!

Babu DC!!

Mkuu DC, hii interview itakuwa imecheza nafasi kuu mbili kwa sex zote mbili ya wanawake na wanaume; wanaume wamefurahi as well as wanawake tumefurahi... Hii anga ya Mapenzi, urafiki na Mahusiano ni eneo la kujidai la The Boss. Anajua kuwa anatakiwa asimamie misingi ya kitamaduni katika basics za mahusiano huku akiyachanganya mwenyewe ki ufundi na usasa. Nawaza hapa Boss angesema bado anavutiwa na makalio vile ambavyo inge affect baadhi yetu kwa kutata kwenda kutafuta dawa ya kukuza makalio.

Mwanaume kama Boss, ni moja ya wale ambao kila mwanamke atajiskia really special akiwa nae... Na kwamba kwa Boss yeye ndiyo yeye. Nakubaliana na hoja yake ya mwanamke ambaye anaweza kupenda awe Mpenzi wake. Ila kuna kitu kimoja, kama wanawake wa but kubwa walikuwa ndiio vutio kubwa, basi naamini hao bado ni vutio kubwa.

Sababu at the end of the day mara nyingi kwa wanaume na baadhi ya wanawake, ukitaka sex na mtu inakuwa ni kutaka kumaliza kiu uliyo nayo ya Soda. Hivo anaweza kuwa in a relationship na mwanamke on the basis of alivyo interesting Lakin hapo hapo akawa anaendelea kuwa nao wale on the basi ya kile kinacho mvutia katika kuhamasika, kuwazia ama kutanda katika tendo la sex... Kuna chachu ambazo kila mmoja hutaka katika sex ambazo sio kote waweza pata.. Hio hujenga shida sana.

Nimezungumza hayo hapo juu kwa kutumia kigezo cha ariticle maarufu ya The Boss mwenyewe ya 'The Guide ya kuwa na Nyumba ndogo'.
 
Fanya haraka ujipatie uanachama....Hakuna kukaguana wala nini....

Ila masharti yake ni pamoja na kulinda heshima ya chama kama alivyofanya leo The Boss....Ukifanya u-trator kama wa akina Lyatonga tunakupiga chini...

Interim secretary FP atakupiga usaili wa awali,

Babu DC!!
naona juhudi za kuongeza wanachama babu, aje tumpige huo usaili tuone kama kweli si wa dot com, lol!
 
Mkuu DC, hii interview itakuwa imecheza nafasi kuu mbili kwa sex zote mbili ya wanawake na wanaume; wanaume wamefurahi as well as wanawake tumefurahi... Hii anga ya Mapenzi, urafiki na Mahusiano ni eneo la kujidai la The Boss. Anajua kuwa anatakiwa asimamie misingi ya kitamaduni katika basics za mahusiano huku akiyachanganya mwenyewe ki ufundi na usasa. Nawaza hapa Boss angesema bado anavutiwa na makalio vile ambavyo inge affect baadhi yetu kwa kutata kwenda kutafuta dawa ya kukuza makalio.

Mwanaume kama Boss, ni moja ya wale ambao kila mwanamke atajiskia really special akiwa nae... Na kwamba kwa Boss yeye ndiyo yeye. Nakubaliana na hoja yake ya mwanamke ambaye anaweza kupenda awe Mpenzi wake. Ila kuna kitu kimoja, kama wanawake wa but kubwa walikuwa ndiio vutio kubwa, basi naamini hao bado ni vutio kubwa.

Sababu at the end of the day mara nyingi kwa wanaume na baadhi ya wanawake, ukitaka sex na mtu inakuwa ni kutaka kumaliza kiu uliyo nayo ya Soda. Hivo anaweza kuwa in a relationship na mwanamke on the basis of alivyo interesting Lakin hapo hapo akawa anaendelea kuwa nao wale on the basi ya kile kinacho mvutia katika kuhamasika, kuwazia ama kutanda katika tendo la sex... Kuna chachu ambazo kila mmoja hutaka katika sex ambazo sio kote waweza pata.. Hio hujenga shida sana.

Nimezungumza hayo hapo juu kwa kutumia kigezo cha ariticle maarufu ya The Boss mwenyewe ya 'The Guide ya kuwa na Nyumba ndogo'.

Naomba nikupe upande wa wanaume mdogo wangu AshaDii,

Wanaume walio wengi ama hawajui wanachokitaka katika muonekano wa mwanamke, wengine wanajua ila hawako tayari kuwa na mtu wa hivyo na kujimilikisha au wengine wanaamua kujimilikisha ila wanatambua hatari zake endapo sifa hizo zinawagusa wadau wengi kwa ujumla wake.

Mfano, wanaume wengi huvutiwa na wanawake warembo au wenye maumbile ya kipekee ila hawako tayari kujimilikisha...Wanabakia kutukuza uumbaji na kuomba tu Mungu ili siku moja awashushie neema ya kukutana na mtu wa namna hiyo. Wengine wanachukua mke wa hivyo huku wakijua kuwa predators wa kupambana nao ni mamilioni!

Babu DC!!
 
The Boss congrats dude, in fact you did it right. but nina swali la kizushi kwako.
je umewahi kuumizwa katika mapenzi?? if yes what was your reaction?
secondly have you ever hurt someone?? if yes why?

Sorry kwa kuchelewa kujibu
nimewahi hurt mtu zamani
alitaka tufunge ndoa na sikuwa tayari
kwangu ilikuwa mapema mno....

kuumizwa yes...Niliwahi kuweka hopes kwa mtu
haikutokea...yakavunjika so fast....
 
Back
Top Bottom