aaaaaahhhhh wapi!!!!!!!!
Qn 17: Toka umekua na experiance yako na wadada, je when do they get your hearts approval? Mkizoeana tu or untill you inspect the house down stairs ndo unajua kama utakuwa mpangaji au utaendelea kutafuta?
Mwanamke akishakuzalia mtoto
thamani yake kwako iinaongezeka....
haijalishi kama amekuwa mnene au ana kitambi....
bikini sio muhimu mno hapo..
hata akijifunga khanga inatosha lol
Mkuu umetisha, mie hapo nilijua utajibu kwamba huwa unapenda Chai nzito na vyapati, omelet, beacon, ham na vitumbua na matunda bila kusahau Juice....
Swali lilikuwa so trick..........
Hongera sana
Qn 18: Suala zima la utunzaji wa kichwa cha pili na nywele zake!!!!! Watu tunatofautiana how do you like your partners head? Bald/Upara(My x told me bald gives him the creapies, anahisis kama yuko na katoto! LOL!), Styled/Kiduku, Afro/Uoto or Bob Marley/Dreads? Whats your style?
Qn 19: Mkuu wewe ni kati ya member ninaowakubali sana katika suala zima la ANGER MANAGEMENT !!!!!! Humu jamvini!, Sijawahi, narudia Sijawahi kukuona UMETUSI au KUROPOKA mambo how do yo do that!!!!? Jinsi mijitu inavokwaza humu!!!!!
Haaaaa! Sosoliso kaja kukutishia eeh kumwaga hizo SIRI za ki CIA!!!!!!!!! Naona umegoma kunyea kambi yenu ya kiumeni!!!!! LOL
Sosoliso acha kumdesesha bana ,utamfanya asifunguke lol,mboba beat sasa
Na mie nimemwona anapotezea kisomi bt afunguke nasi twataka kuzijua hizo siri zenu lol
Qn 20:Nakupa wasaa wa KUPITISHA FAGIO LA CHUMA kwa member wote unawakubali!!!!!1 Fagilia fagilia fagilia!!!!!!!! Mwaga uspoon! Haya usipotajwa unalooooo!!!!!
Haya lara 1 malizia Show kisha tuwaachie wadau waulize maswali au watoe maoni yao kuhusu hii show
Niulizie kwa the boss ameshaenda pm ngapi ?
hii kama ni mitazamao ya wanaume wote waliooa na wakiwafahamisha wake zao basi itapunguza sana stress za wakina dada kwenda gym na kufanya diet lol
Hili ni ONE FOR THE ROAD
Qn: Wadau Fungeni Macho: HYPOTHETICALLY THINKING!!!! Mimi nikikupa ofa ya GAME MOJA TU ya kirafiki, No committment, No strings attached, Jst Pure Fun Utakubali? (Think twice! Golden chance dsnt come twice!! LOLEST!) Ofcourse game ya GOLF!!!!!
SHUKRANI ZA DHATI KWA KUWA NASI LEO!!!!!!!! KARIBUNI MFUNGUKE!!!!!!!!!!
Utovu wa nidhamu na ukosefu wa ustaarabu uliooneshwa na baadhi yenu MJIREKEBISHE!!!!!!!!!