Mwita Maranya
JF-Expert Member
- Jul 1, 2008
- 10,565
- 7,993
Habari yake mzee mzima,
Naona umepiga kambi katika huu uzi unawaelimisha wajukuu wako bila kuchoka.
Niliwahi sema hapa jamvini... Sikumbuki ni thread gani. Ukitaka kujua mawazo, attitude na mtazamo wa mwanaume dhidi ya wanawake hasa katika kuwafafanua na nafasi zao katika jamii angalia mke aliye oa... It says Loads.
Personally naamini kabisa HAKUNA mwanaume rijali ambaye ha appreciate extrem urembo na beauty in a woman... Hakuna! Mtapishana katika kile kinacho waeuwa iwe makalio, macho, kiuno, miguu... But at the end of the day wote mpo page moja.
Habari yake mzee mzima,
Naona umepiga kambi katika huu uzi unawaelimisha wajukuu wako bila kuchoka.
si unajua mkuu Mwita Maranya kuwa siku zoooteeeee kumbikumbi hufuata taa!!?? nipo mwaya nausikilizia uzee hapa!Hahahahahaha... kumbe hujaachaga utundu wako eenh!!??
mmh! jamani Mwita Maranya hiyo ndo engo pekee ya kunifaya nijiskie ni mwanamke kamili.Habari yake bana gfsonwin, hapo kwenye red tu ndo pamenivutia saaaana.
Kumbe na wewe wamo eenh!! Pongezi kwa shemeji yetu kwa kufaidi vinono!!lol

babu hebu nieleweshe mm sion tabu kabisa mzee mwenzangu akiniita mzee, sasa je ni kwan ina implication gani kuitwa mzee? je kuwa mtoto wakati umri umesonga sio kijidhalilisha?
kwangu mm ishu sio kuitwa mzee bali ishu ni kumaintain looks zangu niwe up to date baasi.
ngoja nikupe mfano wa kweli kuna sku nilikuwa naenda msiban kwa Madame B sasa kwakua sikuwa napajua nyumban kwake ikabidi Mtambuzi na nicas na figganigga waje kunifuata njian. sasa mtambauzi aliwaambia huyu gfsonwin ni mtu mzima sio binti ana umri mkubwa sana. sasa wakaanza kuimagine umri wa mtu ambaye ni kibibi kizee. sasa wakiwa wanamsubiria mtu mwenye looks hizo ghafla mtambuzi akawaambia huyo hapo akina nicas wakasema mbona umesema ni mzee?? mbona bado binti tu?? nikawaambia lol! mie ni mtu mzima ila tu salun sikosi, na mazoez nisije nikatembelea mkongojo mapema. hawauamini sasa nikaaambia ngoja niwapeni d. licence yangu muamin umri wangu huwez amini babu wote waliniamkia shkamoo, na mpaka leo wanasema kweli wewe ni wa ajabu. ngozi yangu iko natural kama binti vile sina makunyanzi kwani sipaki ma cream na nafanya mazoez hasa kuogelea na gym.
so huwa napenda kuitwa mzee ili niwaonyeshe watu kwamba hata kama n uzee but najitunza na niko mrembo tu.

hapana, niitwe/niambiwe "mdada" kwani mpendwa my bro uzee unaanzia na ngapi? mana mie hata nikifikisha 50+ bado ntajiona kijana, kwa jinsi ninavyojiweka/jitunza.
Nipo kaka,
Mzima wewe?
Naona siku hizi huchezi mbali na maeneo yanayopunguza stress!
Keep it up mkuu,
Babu DC!!
babu umri ukienda umeeda tu bana, sasa haya ya young looking face ni matokeo ya kujipenda tu. huwez ukaamin haya ila mie na shogaangu cacico na snowhite ni vikongwe ila tu saluni ndo zinatunyanyuaKwa maelezo hayo sasa nimekuelewa...
Kumbe wewe huna look ya kizee kwa hiyo unakuwa kama unawakoga wengine...lol!!
Hongera zako teacher gfsonwin,
Babu DC!!
Sina jibu,
Ila wanawake wengi hata wakiwa na umri gani, bado hawapendi kuonekana kuwa wamezeeka...
Mfano, Bibi DC hataki kabisa hata kuambiwa kuwa ...mhh mwenzangu unazeeka...
Babu DC!!
Ndio hivyo mkuu nimepata mchumba huku MMU kwahiyo sichezi mbali, siunajua tena abiria chunga mzigo wako!lol
Tuko pamoja kaka naona unashusha nondo tu hapa. Hiyo ya wanaume kukosa guts za kuwatongoza wanawake wazuri zipo sana na kila mtu ana sababu yake lakini wengi wanaogopa kugongewa.
si unajua mkuu Mwita Maranya kuwa siku zoooteeeee kumbikumbi hufuata taa!!?? nipo mwaya nausikilizia uzee hapa!
si unajua mkuu Mwita Maranya kuwa siku zoooteeeee kumbikumbi hufuata taa!!?? nipo mwaya nausikilizia uzee hapa!
Sina hakika kama kuna mwanamume haogopi hicho kitu kaka...
Hata wale wazoefu wa kupiga mechi za mchangani, ukitaka kuona wanavyokuwa wadogo kama piriton,
Basi wafanyie mzaha kwamba wameibiwa mali zao....Ila usijaribu hilo kama huna mtu wa kutoa huduma ya kwanza!!
Babu DC!!
si ndo hapo??? huu ujana tumuachie Natalia and co! upo mzee mwenzangu?mwali siye wazee sasa watoto wenyewe ndo hivyo washavuja ungo na wengine kubalehe tunategemea nini?? mtoto miaka 15 umemzaa na miaka 25 bado kijana tena lol!