The Boss
JF-Expert Member
- Aug 18, 2009
- 49,320
- 117,669
Hahahaaaaaa! Mi chichemi!
Qn 12: Mambo ya gramu za kiunoni (cheni) au Shanga/chachandu vipi wajua kazi yake? Siku mamsap akitupia kicheni cha gold sexyyy (kizungu zaidi) utareact vipi? Kazi yake utaiweza kweli au ndo Utang'aa tu sharubu!?
Haa haaa kung'aa sharubu sio?
Iwe cheni au shanga mwisho wa siku ni manaume na kifaa chake...bhaaas..
so ukishindwa moja kwa usahihi kuna basics ndo muhimu...
but all n all hakuna la kushindwa binadaamu ukiamua lol