MMU Exlusive Interview! (The Boss kufungukaaaaa on Men Fantacies)

MMU Exlusive Interview! (The Boss kufungukaaaaa on Men Fantacies)

Hebu acha matusi basi na wewe cacico,

Kwani ungefurahi kama ungekuwa unaibiwa wewe?

Kama unampenda mtu basi usimtende mabaya...

Ndo maana shemeji yangu kwa pacha yangu The Boss anahitaji ulinzi mkali...tena siyo ule wa kufikirika wa akina Shekh Yahaya (RIP)!!

Babu DC!!
abeeeeeee babu umeniita???? nipo hapa mjukuu, nena tu mjukuu wako anasikia!
 
hii kama ni mitazamao ya wanaume wote waliooa na wakiwafahamisha wake zao basi itapunguza sana stress za wakina dada kwenda gym na kufanya diet lol

Kudadeki,, sakapal both the boss na lara 1 walikuwa na agenda leo,,na kwa mstari huu, the boss alikuwa anacheza karata ya u-gentleman tu,furahisha genge..,hakuna ukweli kwenye hii

The truth is kama uliolewa ukiwa unabebeka bila mtu kukaza msuli,huna budi kurejea ulivokuwa baada ya kujifungua..jlo ameweza kwanini wewe ushindwe??

...asiyetaka ataendelea kupendwa kama mama watoto tu...ila asishangae mitoko inampita, safari zetu mikoani zinazidi, etc
 
Last edited by a moderator:
Babu Dark City kadandia tu treni kwa mbele, OFA ALIPEWA The Boss a.k.a The Communist!!!!!! Sasa babu dc kaishupalia hiyo ofa utadhani inamuhusu. Pili pili ya shamba inakuwashia nini babu lakini?


Hahahahahahahhahah,

Mbona unakuwa mkali lara 1,

Kama ni offer ya The Boss peke yake, kwa nini hukumtumia kwa PM?

Hiawekani huweke public halafu uanze kubagua wahitaji/wasiohitaji....

Babu DC!
 
Last edited by a moderator:
Ha ha haaa lara 1 unataka kesi na babu Dark City, maneno hayoooo........

Meshtukaa kumbe babu Ofa ikuwa ya Guest of honor The Boss lol

Wewe huwajui wajanja wa mjini kama akina lara 1?

Nana atapenda atenge msosi wake halafu ukose walaji...

Anyway, mie nitakuja kushangilia wataokuwa wanapiga mabao...kama atatoa ruhusa...Lol!!

Babu DC
 
Last edited by a moderator:
haya mambo ni jinsi ambavyo wenza mnakubaliana..... hakuna linaloshindikana katika hii dunia. The Boss anaweza kusema haijalishi, ilimradi umemzalia watoto roho yake imeridhika. unaweza kuwa wa duara, triangle, square, yaani shape yoyote yeye hajali. lakini kuna watu ambao wanajali sana maumbo ya wenzi wao (hii siyo kwa wadada pekee/hata wakaka). kama mtu atakuwa na upendo wa kukuomba kuwa ujaribu kwa kadiri itakavyowezekana ubaki na umbo ambalo alikukuta nalo, pia ni muhimu kuzingatia. unaweza kuzaa, ukanyonyesha mwaka mmoja, then ukaanza mazoezi ya kurudi ulikokuwa. wote mkawa na amani tele.
kuna wakaka wengi sana huwa wanalalamika kuhusu mabadiliko ya wake zao.....hawa siyo kwamba hawapendi watoto, wanapenda lakini wanapenda pia nawe angalau ufanane na alivyokukuta.

ndio umpate wa hivyo sasa, mwingine hawezi kukuambia, anakuangalia tu kumbe hamu na wewe imeisha, kukueleza haelezi, khaa hapo vimbwanga vyote utaviona.
 
kimoja kibaya ni hiko cha mlokole nimetaja

kimoja kizuri ni kwenda kupima baada ya hofu fulani
kunikumba na nikakuta vipimo safi ...
he heeeeeeeeeee, "prevention is better than cure" lol!
mzee mzima hiyo ili-skip?
 
The Boss unafikiri ni kwanin baadhi yai wanaume huwa wanacheat but wenzi wao wakifanya hivyo kwao huhisi wameonewa??? Iwe ni kwa wenye ndoa hata wale walio ktk commited r.ship.
 
Kudadeki,, sakapal both the boss na lara 1 walikuwa na agenda leo,,na kwa mstari huu, the boss alikuwa anacheza karata ya u-gentleman tu,furahisha genge..,hakuna ukweli kwenye hii

The truth is kama uliolewa ukiwa unabebeka bila mtu kukaza msuli,huna budi kurejea ulivokuwa baada ya kujifungua..jlo ameweza kwanini wewe ushindwe??

...asiyetaka ataendelea kupendwa kama mama watoto tu...ila asishangae mitoko inampita, safari zetu mikoani zinazidi, etc

Mkuu sikusema tu ili kufurahisha genge
kwangu naona ni muhimu kuwa sensitive na what women goes thru wakai wa uzazi
so kama shepu itabadilika sana,hata yeye mwenyewe atakuwa anajua
huihitaki kumuongeza stress zingine wakati tayari ana stress za uzazi...
it takes time haya mambo
 
hii thread wanawake kwa nini mmeishadadia kuliko sisi? nye..ge mbaya!
 
ndio umpate wa hivyo sasa, mwingine hawezi kukuambia, anakuangalia tu kumbe hamu na wewe imeisha, kukueleza haelezi, khaa hapo vimbwanga vyote utaviona.
Ni kweli rafiki yangu. ila mimi sielewi inakuwaje mpaka unashindwa kumwambia mwenza vitu kama hivyo.
hii inaweza tokea labda hajakuambia tangu mwanzo, sasa mambo yameshaharibika na anajua kabisa hata akuambie there is nothing you can do, anaona bora asikuumize.
 
Kupewa ni mwiko kabisa...siku zote dume linawinda na kuua lenyewe bila kusaidiwa...vinginevyo ni kujitafutia majina bure....

Babu DC!!

Mekuelewa babu, big up sana. Cha kuhangaikia kitamu eee.

Lazima uhesabu mvua nyingi tu days and nights, siku ukipata weee?
 
Kudadeki,, sakapal both the boss na lara 1 walikuwa na agenda leo,,na kwa mstari huu, the boss alikuwa anacheza karata ya u-gentleman tu,furahisha genge..,hakuna ukweli kwenye hii

The truth is kama uliolewa ukiwa unabebeka bila mtu kukaza msuli,huna budi kurejea ulivokuwa baada ya kujifungua..jlo ameweza kwanini wewe ushindwe??

...asiyetaka ataendelea kupendwa kama mama watoto tu...ila asishangae mitoko inampita, safari zetu mikoani zinazidi, etc
jlo anashinda kwenye sugery za tummy tuck na boob job! utafananisha na nyinyi wabahili ambao mnashindwa hata tu kutununulia ukwaju tu ili tuhare mafuta yatoke??!

kiukweli kama The Boss alimaanisha what he said, he is MO THAN A MAN, ni wachache sana, and for that mkewe anaweza kuwa zaidi ya yeye atakavyo, just becoz alim-value hata umbo lake lilipopotea!! mbona nyie mkiota mavitambi yenu ya kongoro za kondoo sisi hatuwaachi??

mpende mkeo kwa hali yoyote ile, kama utaniacha leo sababu ya kitambi?? what about nikipata accident kesho nikaparalyse?? NAWAOMBEA WANANGU MUME MWEMA! NA SI MUME PICHA!
 
Back
Top Bottom