nemic4u
JF-Expert Member
- Apr 4, 2011
- 445
- 300
haya mambo ni jinsi ambavyo wenza mnakubaliana..... hakuna linaloshindikana katika hii dunia. The Boss anaweza kusema haijalishi, ilimradi umemzalia watoto roho yake imeridhika. unaweza kuwa wa duara, triangle, square, yaani shape yoyote yeye hajali. lakini kuna watu ambao wanajali sana maumbo ya wenzi wao (hii siyo kwa wadada pekee/hata wakaka). kama mtu atakuwa na upendo wa kukuomba kuwa ujaribu kwa kadiri itakavyowezekana ubaki na umbo ambalo alikukuta nalo, pia ni muhimu kuzingatia. unaweza kuzaa, ukanyonyesha mwaka mmoja, then ukaanza mazoezi ya kurudi ulikokuwa. wote mkawa na amani tele.
kuna wakaka wengi sana huwa wanalalamika kuhusu mabadiliko ya wake zao.....hawa siyo kwamba hawapendi watoto, wanapenda lakini wanapenda pia nawe angalau ufanane na alivyokukuta.
Wakaka nao waache ubinafsi wasiwaonee wadada tu maana unakuta kipindi mmeoona alikuwa six park baada ya muda likitambi hilo anashindwa hata kufunga kamba za viatu ............hata sie tunapenda sana waendelee kuwa kama tulivyoona....................
Wadada tunachangamoto sana hasa kipindi cha uzazi wengi wanabadilika sana ...........ila ni kukomaa tu mtt akishamaliza kunyonya ni kujitahidi kurudi katika shape yako ya mwanzo ijapokuwa ni ngumu sana kurudi kama ulivyokuwa but atleast usijiachie sana na pia kuangalia shape yako jinsi ilivyokuwa unaitafutia mavazi yanayoendana na ww still you will continue to look good and attractive!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!