MMU Exlusive Interview! (The Boss kufungukaaaaa on Men Fantacies)

MMU Exlusive Interview! (The Boss kufungukaaaaa on Men Fantacies)

hahahahhaha kama ukwaju unakufaa mi ntakupa kama ofa tu usijali ili uwe model

Kweli hatujafa hatujaumbika lolote linaweza kutokea kwa mmojawapo cha msingi tupendane tu kwa hali yoyote ile huwezi jua unamwacha mkeo kisa unene wa kujifungua na mwanaume ukipata kile kwenye ajali itakuwaje?
umeona eeee Jiwe Linaloishi??? mzima wewe lakini?
 
Last edited by a moderator:
hujambo mme wa mtu?
Ujue mme wa mtu sumu, ila akikutana na mke wa mtu 'maziwa' sumu haina nguvu tena.

Kwani the boss huamini kwenye ndoa za wake wanne, ongeza watatu tu wa humu nakuhakikishia hutajuta
 
The Boss congrats dude, in fact you did it right. but nina swali la kizushi kwako.
je umewahi kuumizwa katika mapenzi?? if yes what was your reaction?
secondly have you ever hurt someone?? if yes why?
 
Last edited by a moderator:
Mbona unauliza hivyo? Yaani hujaona jinsi nivyokuwa na raha sana leo...

Ndo maana sina cha kumpa The Boss,
The Boss babu amefanya kazi nzuri sana leo, kila mtu amependa upeo wake, hata maadui zake leo wamekuwa marafiki na ndugu wa karibu kabisa kwake! LABDA TUMWAMBIE TU AHSANTE, hasa kwa kutambua umuhimu wa mke katika angle zote, kabla na baada ya kuzaa! kudos kwako tena The Boss!
 
Last edited by a moderator:
Yaani nimekaa na kurudia kusoma interview yote, hainiishi hamu!!!!!!!!!!!! We mwanaume weweee si PM zimejaa huko.? Nimeona kingasti amejiweka pembeni kuepusha msongamano, Kaona Ligi pevu hiii!!!!!! Ngoma nzitooo, kuicheza inabidi uvae raizoni namba 2.

I love the Competition!!!!! I like them playing HARD TO GET!!!!!!! Ndo nasema hivi TUTABANANA HAPA HAPA!!!!!!! Kwani nyie muweze mna nini na mie nishindwe nina nini?

The Boss,tangaza sifa na vigezo basi tuanze kujichuja taratibu ,mchuano ushakua mkali lol
 
Boss nina swali la kizushi

Inasemekana wewe ni mtu mwenye wivu sana, ni kweli?
 
leo nataka ya Uganda maana hata ya Iringa haifai.

He he he, ujue huwa nakubishia tu sababu tunavuta wote, ila kakashemeji ndio mpango.

Ngoja nikamsake.

Hehehe, nilikuambia usishabikie hizi mambo hukunielewa. Mie mtu akishakuwa celeb nakaa kando kuepusha msongamanoooo.

Pole, ngoja nikakupunge mawazo, all bills on me, nna kadi ya kuchanja Paw kanisusia hapa.
 
The Boss babu amefanya kazi nzuri sana leo, kila mtu amependa upeo wake, hata maadui zake leo wamekuwa marafiki na ndugu wa karibu kabisa kwake! LABDA TUMWAMBIE TU AHSANTE, hasa kwa kutambua umuhimu wa mke katika angle zote, kabla na baada ya kuzaa! kudos kwako tena The Boss!

Naona hiyo part ya kumvumilia mama watoto hata akiwa na mapingili pingili imewagusa karibia wadada wote.

Natamani next aje AshaDii, Nyamayao au @FP.

Ngoja nianze lobbying kwa Zinduna.
 
Ur welcome my dearest..

aaaawwwww am humbly humbled Zion Daughter, ubarikiwe sana pia kama kuna chochote nilichosema ambacho kimekonga nafsi yako! friends forever and ever, ki-jf na ki-njenje!
:hug:

Na mie sio wa dotcom babu DC.Bila shaka nahitaji kuchukua form za kujiunga haraka.....Kwa uhakiki zaidi muulize Mwita Maranya

Hivi wewe Zion Daughter unaijua "The 1947 club"??

I wish ungekuwa na qualifications za kuwa member!

Babu DC!!
 
Last edited by a moderator:
Kuna watu humu midomo mirefu, lakini najua wakiitwa humu kwenye interview wataanza kutafuta sababu za kukwepesha.

Msije dhani maswali yatafanana, kila mtu na topic yake LOL
 
The Boss nikupongeze sana sana kwa kufanya siku yetu iende vema leo, maana wengine leo kazi zimelala. Hatukuweza kutoka kwenye KEYBOAD na mbele ya vimashine vyetu. Iikuwa interview ya nguvu na ulikuwa makini sana sana kujibu majibu yaliyo makini.

Binafsi nimejifunza kitu kikubwa sana sana, na nimeweza kutofautisha vitu flani flani kwa wababa. Nampongeza na namuonea wivu sana mwandani wako, naaminia anapata kile anacho deserve kupata.

But mimi nina yakwangu mawili tuuu 1. Umeshawahi kuumizwa kimapenzi, kama ndiyo iikuwaje? what was the story?how did you feel?ilikuchukua mda gani ku heal your pain na kurudi ktk normal life? 2. Ulishawahi kumuuniza mtu kimapenzi? Kama ndivyo kwa nini? Honest answers please kaka The Boss lol

Mwisho niwashukuru sana lara 1 na Zinduna, big up sana. Pendekezo tuleteeni Mtambuzi na mumuandalie maswali ya haja haswaa. Babu Dark City yeye amesema nooo, but I wish nae tungemsikia.

Nawakilisha.
 
Back
Top Bottom