MMU Exlusive Interview! (The Boss kufungukaaaaa on Men Fantacies)

MMU Exlusive Interview! (The Boss kufungukaaaaa on Men Fantacies)

lara 1

JF-Expert Member
Joined
Jun 10, 2012
Posts
15,700
Reaction score
29,210
Khabari zenu mabibi na mabwana!!!!!!!!

Karibuni MMU EXCLUSIVE INTERVIEW!!!!!!!!!!

Topic: Men Fantacies

Guest: The Boss

Hosts: Lara 1, Zinduna

RULES!! Hairuhusiwi kucomment hadi pale mtakapojulishwa kuwa sasa JUKWAA LIKO WAZI KWENU Kucoment, otherwise fatilieni mtanange kwa macho na LIKES! BAAAAAAAAASSS!!!! Chonde chonde msiingilie mtiririko!!!!!!!!!

AND THE SHOW MAY BEGIN!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!


Karibu sana katika Talk show yetu mtu mzima The Boss, asante kwa kushiriki, leo tungependa kujua SIDE B yako mtu mzima (kwa ukomavu wa JF) uko standby?


 
Last edited by a moderator:
Kwanza nashkuru kwa kunichagua mimi kuwa mtu wa mwanzo wa show yenu mpya...
naamini JF inazidi kukomaa na kuwa more fun pamoja na kuwa still na manufaa mengine
so thanx..na niko tayari kwa show......Lets start.....:smiling:
 
Qn 1: Toka ujiunge JF umeionaje as the years go by!? Inaboreka na kuwa nzuei au yaelekea kufa kufa na kwanini?



JF inazidi kuimarika zaidi na zaidi
isipokuwa kuna changamoto nyingi zinajitokeza
so changamoto hizi zinaweza kuifanya iwe bora zaidi
au ianze kufifia kutegemeana na namna zitakavyoshughulikiwa

changamoto ni kama idadi ya member kuongezeka sana
ushindani wa bloggs na wengine watakao copy n paste JF..
quality ya mitazamo kupungua na badala yake 'popular opinion' hata kama sio sahihi kuungwa mkono
na kadhalika

Hata hivyo tayari hapa ilipofika JF ni pakubwa pia
impact yake inakwenda mbaali saana
 
Qn 2: Nini kinakupa furaha humu JF na ungependa nini hakipo ili kifanyike upate raha zaidi?


Kuna viingi vinanipa furaha humu
kuvitaja vyoote sio rahisi lakini kwa uachache jinsi ambavyo
jf ipo active karibu muda wote
hata kama ni saa nane usiku ukiwa una hamu na jf utakuta member humu wako active
tena wengi tu wakiwa wapo TZ..na sio wa nje tu
so most of time 'JFis never boring'.....

Ningependa ili chat kama ya zamani irudishwe ili watu wa chat kwa urahisi
na kupunguza kuchakachua threads...chat ya zamani ilikuwa kama ile ya facebook
na zaidi vitu vidogovidogo mfano namna ya ku search,mfano una search thread au member unamtafuta
mostly tunatumia google
ningependa tuwe na namna mfano hata kujua list ya kitu fulani kwa urahisi

mfano member walio join mwaka fulani unataka u search upate list yake
au thread za kitu fulani u search uzione zote....
 
Qn 3:Suala la Large number of Guests kuliko hata members walionaje wewe na ungeshauri nini kifanyike ili wajiunge na JF kuliko kuchungulia chungulia?


Binafsi naona tayari hatua zinachukuliwa kuwa vuta watu wa join
mfano as a guest huwezi kuwa na access na threads zoote
so watalazimika tu kujiunga....na pia sometimes ni bora
kama mtu hataki kujiunga asijiunge
hii itapunguza watu ambao mwisho wataleta vurugu na kupewa ban zisizokwisha.....

JF ikazanie kwenye kuboresha tu watu watajiunga wengi tu...na wakazanie kwenye kutoa infos za mara kwa mara
mfano namna ya kuchangia na namna ya kutumia jf ili ufaidike,....watu watakuja tu
 
Qn 4: Mada zako nyingi nimekuona ni mtu unaekumbatia MFUMO DUME yaani mwanaume wa shoka, Na unasimamia ukweli kuwa Mwanaume ni Kichwa cha nyumba Period! si mtu wa kuyumbishwa na wadada walizungumziaje hili la ideology yako dume?
Zinduna endeleza jahazi
 
Last edited by a moderator:
Qn 4: Mada zako nyingi nimekuona ni mtu unaekumbatia MFUMO DUME yaani mwanaume wa shoka, Na unasimamia ukweli kuwa Mwanaume ni Kichwa cha nyumba Period! si mtu wa kuyumbishwa na wadada walizungumziaje hili la ideology yako dume?
Zinduna endeleza jahazi


Mfumo dume ni very subjective naweza kusema.....
Lakini kwa uzoefu wangu ni kuwa hata wanawake wengi wanapenda 'mwanaume as a leader in their life'

Kingine ni kuwa mabadiliko ya maisha yanatoa changamoto kuubwa mno kwa wanaume these days...

naweza kusema 'its not easy being a man' thee days...

wanawake wamekuwa 'so difficult and very demanding' wakati huo huo mwanaume anatakiwa awe
'muelewa na asiwe wa zamani'...

sasa hiyo changamoto ni ngumu mno kwa kila mwanaume kupambana nayo

nikupe mfano...unakuta umeajiriwa Boss wako ofiicin nimwanamke
akijisikia anakufokea anavyopenda...

unarudi nyumbani mkeo nae unamkuta kakasirika na yeye anafoka kivyake...
maisha magumu....unashindana na wanawake labda oficin au kwenye biashara
wao wanakuwa wana advantage ya gender....taasisi zinawasaidia
na mengineyo ,......

sasa its frustrating na sio kila mwanaume ataweza handle hizi pressure...
wengine wanaangukia kwenye pombe na kadhalika....

Mimi ninachikisisitiza ni mwanaume aweke wazi msimamo wake kuwa
'wewe nyumbani ndio kiongozi.' unachosema wewe ndio final...

lakini upendo uwepo,usimuonee mkeo
 
Qn 5: What Turns you on on a woman? Nini hasa ugonjwa wako kwa hawa viumbe, ukiuona tu Mashallah!!!




Hili swali ni very interesting....
na watu wengi wakiulizwa wanachojibu na wanachokifanya in real life unaaweza kukuta ni tofauti sana..

kadri tunavyokuwa tunazidi ku discover ukweli kuhusu sisi wenyewe

Binafsi niliwahi kufikiri mwanamke mwenye wowowo kubwa ana ni turn on..
lakini kumbe sivyo kabisa....
right now 'good sense of humor' na 'chemistry' vinani turn on zaidi
na kama yuko vizuri kwenye general knowledge....
mtu ambae unaweza ongea nae chochote na kutaniana nae kirahisi....
 
Ni kitu gani kimoja kilichowahi kukupa wakati mgumu katika mapenzi na ni kipi kiliwahi kukupa furaha kuliko vyote katika mapenzi?
 
Qn 6: Suala la MITEGO au kupewa live na mwanamke kuwa amekuzimia The Big Boss mwenyewe na yuko radhi kwa kauli yako ukambanjue!? How do you find that Sexy! Takky! Nasty! Utajua ikitokea? LOL!

 
Ni kitu gani kimoja kilichowahi kukupa wakati mgumu katika mapenzi na ni kipi kiliwahi kukupa furaha kuliko vyote katika mapenzi?

Mkuu mayenga, hebu soma maelekezo kwanza hapo juu,
Subirini mtaalikwa!
The Boss usijibu maswali ya wachangiaji mpaka umalizane na sisi, kisha tutawaachia ukumbi wajimwage
 
Last edited by a moderator:
Qn 6: Suala la MITEGO au kupewa live na mwanamke kuwa amekuzimia The Big Boss mwenyewe na yuko radhi kwa kauli yako ukambanjue!? How do you find that Sexy! Takky! Nasty! Utajua ikitokea? LOL!


Well kwanza nikwambie imeshanitokea zaidi ya mara moja
online na in real life

I find it sexy hasa kama nikiona mwanamke aliyeniambia hivyo
sio easy easy au very cheap.....
hamwambii kila mwanaume hivyo angalau kwa ufahamu wangu.....

so kwangu sio kitu kipya na sishangai...
inaweza kuwa sexy au la kutegemeana na mtu mwenyewe alivyo.....
katika culture yetu mwanamke kufunguka sio jambo rahisi...so akifunguka ujue yuko
serious na imebidi.......ndo vitu vya kusimulia wajukuu badaae tukizeeka lol
utawaambia wajukuu 'i was once very irresistible to women'
hhapo unatembelea fimbo lol
 
Back
Top Bottom