The Boss
JF-Expert Member
- Aug 18, 2009
- 49,320
- 117,669
Haahaa ndio ukweli ukiwa unakubali....
We grow up everyday ...thanx...
Natamani kumjua mtu ambaye huwa hatumii hicho kitu FL!!
Babu DC!!
AshaDii nasubiri interview yako aise nina maswali mengi sana kwako
Mfumo dume ni very subjective naweza kusema.....
Lakini kwa uzoefu wangu ni kuwa hata wanawake wengi wanapenda 'mwanaume as a leader in their life'
Kingine ni kuwa mabadiliko ya maisha yanatoa changamoto kuubwa mno kwa wanaume these days...
naweza kusema 'its not easy being a man' thee days...
wanawake wamekuwa 'so difficult and very demanding' wakati huo huo mwanaume anatakiwa awe
'muelewa na asiwe wa zamani'...
sasa hiyo changamoto ni ngumu mno kwa kila mwanaume kupambana nayo
nikupe mfano...unakuta umeajiriwa Boss wako ofiicin nimwanamke
akijisikia anakufokea anavyopenda...
unarudi nyumbani mkeo nae unamkuta kakasirika na yeye anafoka kivyake...
maisha magumu....unashindana na wanawake labda oficin au kwenye biashara
wao wanakuwa wana advantage ya gender....taasisi zinawasaidia
na mengineyo ,......
sasa its frustrating na sio kila mwanaume ataweza handle hizi pressure...
wengine wanaangukia kwenye pombe na kadhalika....
Mimi ninachikisisitiza ni mwanaume aweke wazi msimamo wake kuwa
'wewe nyumbani ndio kiongozi.' unachosema wewe ndio final...
lakini upendo uwepo,usimuonee mkeo
Nyamayao, huyu ndo The Boss, wazee wenzangu akina Dark City, Kongosho, Asprin na wengine wanaojiona wamezeeka watakuwa wamenielewamie umenikosha hapo kwa mwanamke akikuzalia mambo ya mapingili pingili hayana umuhimu kwako, wanaume wachache sana wanalitambua hilo, yaani nimezidi kukupenda, oh yeah na sio kwamba twapenda hizo pingili bali uzazi/ulezi unakuwa na mambo mengi sanaaa uje kukumbuka gym mida ipi? afadhali wewe umeonyesha kwamba unaweza hata kumshauri kutenga muda wa hiyo gym kuliko mwingine anaekimbilia kwa hivyo vipotabo, THE BOSS, be blessed.
Kitu gani Babu DC
kama umewowa si unatumia kwako...?
Eti nini KOKUTONA?
Mtu utapokeaje kila kitu eti kwa kuwa umepewa bure?
Kuna raha sana bwana, ukipata kitu ambacho umekihangaikia!!
Mzuka hauwezi kupanda kwa vitu vya bure hata siku moja??
Babu DC!!!
ohh yeah, na wadada wa kileo ndio inawamaliza, baada ya week ya kujifungua kashaenda gym kutengeneza body, wananyonyesha kwa muda mfupi wakihofia ziwa litadondoka, wengine hawanyonyeshi kabisa, chaaa,
OK ni hivi
ukiona ile guide utagundua tulikuwa tunawaonesha watu jinsi ilivyo
hatari sana kumfanyia ukatili mwenzio waziwazi
ndo maana issue kubwa ilikuwa kumlinda mke
asijue na akijua basi hatua zichukuliwe kumlinda
na mwisho nilionza na mifano ya pombe na sigara
ilikuwa kusisitiza 'you dont have to do it
but ukifanya take precautions ...
Kuhusu Talaka tumeliongelea mno humu
hazifai na zinaharibu familia lakini
'bad marriages' pia zinaharibu familia na wahusika...
so mwisho ni kupima na kuchagua....
ha haaaaaaaaaa, kumbe hata wewe hujanipata? lol! ndo maani nimesema ni kwa wazee tu, lol.......ohh yeah, na wadada wa kileo ndio inawamaliza, baada ya week ya kujifungua kashaenda gym kutengeneza body, wananyonyesha kwa muda mfupi wakihofia ziwa litadondoka, wengine hawanyonyeshi kabisa, chaaa,
mimi naanza kuamini always, siyo sometimes, lol!Umeona eeh
Uzee nao unahusu sometimes