sakapal
JF-Expert Member
- Apr 11, 2011
- 1,804
- 1,425
Kudadeki,, sakapal both the boss na lara 1 walikuwa na agenda leo,,na kwa mstari huu, the boss alikuwa anacheza karata ya u-gentleman tu,furahisha genge..,hakuna ukweli kwenye hii
The truth is kama uliolewa ukiwa unabebeka bila mtu kukaza msuli,huna budi kurejea ulivokuwa baada ya kujifungua..jlo ameweza kwanini wewe ushindwe??
...asiyetaka ataendelea kupendwa kama mama watoto tu...ila asishangae mitoko inampita, safari zetu mikoani zinazidi, etc
asante kusema ukweli na hv wewe Prisoner 46664 mna element umefanana na The Boss basi nishajua nn cha kufanya lolila bora kuwa wawazi na wake zenu kuliko kuwaambia aah usjali wife kama tumbo halitoki mie ntalilalia kumbe unataka lap dance ndani ya bikini itawezekanaje kama si kumtizama lara1 na kina cielo kwa macho ya huba huku umemuacha mkeo ndani lol