MMU Exlusive Interview! (The Boss kufungukaaaaa on Men Fantacies)

MMU Exlusive Interview! (The Boss kufungukaaaaa on Men Fantacies)

Babu, the one big meaning ya marriage ni hiyo morning breakfastoo aisee. Chitchats before kutoka kitandani, na ajali za baraka. Na hapo ndo kuwa nyumba ndogo hakuna maana yoyote ukiachia kanuni za kidini. Siku njema inaonekana asubuhi. Im sure enzi zako na bibi mlikuwa mna mema mengine, ila na midlife crisis, aaah kutwa unatabasamu tu. Afu ofisini wanakuuliza vipi mama, mshahara haujatoka unachekelea nini? Unacheka zaidi na kutuma sms za feedback.
Mbona unanitisha komando wangu King'asti?

Itabidi nimuulize Bibi kama muda wote nilikuwa na sura isiyong'aa kwa sababu kabla ya kustaafu haya mambo, sikuwahi kupiga mechi ya namna hiyo..

Babu DC!!
 
Last edited by a moderator:
The Boss,tangaza sifa na vigezo basi tuanze kujichuja taratibu ,mchuano ushakua mkali lol

Haa haa wewe ni Suprise kweli..lol
Mwenzioe Remmy ame take risk...na wewe take the risk pia lol
 
Babu, the one big meaning ya marriage ni hiyo morning breakfastoo aisee. Chitchats before kutoka kitandani, na ajali za baraka. Na hapo ndo kuwa nyumba ndogo hakuna maana yoyote ukiachia kanuni za kidini. Siku njema inaonekana asubuhi. Im sure enzi zako na bibi mlikuwa mna mema mengine, ila na midlife crisis, aaah kutwa unatabasamu tu. Afu ofisini wanakuuliza vipi mama, mshahara haujatoka unachekelea nini? Unacheka zaidi na kutuma sms za feedback.

napendaje mi kutoa na kupewa feedback !ahahahahhahhahha wacha kabisa jino mwemele mwemele!hata ukichelewa kuletewa file we kicheko tu!ahahahhahhahhahahhahah pana chezeya swala la mrejesho wa breakfast bana!
 
Usije ukatumia kona ya mwenzio kufunga bao kwa kichwa. Nasema tu, na ujue mie kiona mbali long time kitambo.
Salama salama?

Mie niko poa zaidi ya usalama wenyewe.
Afu King'asti we nawe huna dogo. Kumbe ndo maana mzee wako Mtambuzi analalamika kila siku.
Mambo gani haya kuanza kutumia kiona mbali kufuatilia mazungumzo yangu na cacico? hata hivyo cacico anajiamini hawezi kuruhusu nitumie kona ya kipenzi chake kutia bao la kichwa!!!
 
kwa raha zako, muache King'asti aendelee kumrithi sheikh yahya! lol, mzima weye Mwita Maranya!?
 
Last edited by a moderator:
My dear Mwita Maranya huu uzi leo umenikalia vibaya maana mkoloni wangu amehakikisha sipati muda wa kuvinjari JF kwa nafasi.

Siku nyingine ujifunze mbinu za medani ili uweze kumdhibiti mkoloni wako mamito mwaJ vinginevyo utaendelea kupitwa na vingi.
 
Last edited by a moderator:
Hivi wapo ambao hawawezi kuwaeleza wenzi wao wafanye marekebisho fulani fulani ili wabaki na mvuto wa kumuua chui?

Hata siwezi kuwaelewa....

Sie tunachimbana hata mkwara....ndo maana unaweza kukuta babu anakomaa na water therapy ili kumaintain misuli ya tumbo....

Babu DC!!

wapo kabisa, sasa kama kuna wale ambao wanaogopa kuwaonyesha wenzao vimbwanga vipya kwa kuhofia wataulizwa umejulia wapi hao wengine pia hawakosekani DC,mtu unashindwa kabisa kumrekebisha mwenzio kwa kuhofia sijui atanionaje, sijui nini na nini....
 
Ahsante mdogo wangu mpendwa Nyamayao,

Hii dunia ya MMU imejaa vimbwanga, ni Mungu tu anajua!

Hivi wewe unapenda kuambiwa kuwa umezeeka??

copy to FP and teacher gfsonwin,

Babu DC!!
 
Last edited by a moderator:
nilikwambia um-connect na mimi ili nimlete hapa jf lakini naona umepotezea.
Au unaogopa asije akajua siri za wenyeji?
yupo mbona!! Ila hayuko addicted kama mimi! Huwa anatamani kweli kujua id yangu, ili ani-pm anitongoze upyaaaaa, namwambiaga utasubiri sana!
 
Naomba nikupe upande wa wanaume mdogo wangu AshaDii,

Wanaume walio wengi ama hawajui wanachokitaka katika muonekano wa mwanamke, wengine wanajua ila hawako tayari kuwa na mtu wa hivyo na kujimilikisha au wengine wanaamua kujimilikisha ila wanatambua hatari zake endapo sifa hizo zinawagusa wadau wengi kwa ujumla wake.

Mfano, wanaume wengi huvutiwa na wanawake warembo au wenye maumbile ya kipekee ila hawako tayari kujimilikisha...Wanabakia kutukuza uumbaji na kuomba tu Mungu ili siku moja awashushie neema ya kukutana na mtu wa namna hiyo. Wengine wanachukua mke wa hivyo huku wakijua kuwa predators wa kupambana nao ni mamilioni!

Babu DC!!

Niliwahi sema hapa jamvini... Sikumbuki ni thread gani. Ukitaka kujua mawazo, attitude na mtazamo wa mwanaume dhidi ya wanawake hasa katika kuwafafanua na nafasi zao katika jamii angalia mke aliye oa... It says Loads.

Personally naamini kabisa HAKUNA mwanaume rijali ambaye ha appreciate extrem urembo na beauty in a woman... Hakuna! Mtapishana katika kile kinacho waeuwa iwe makalio, macho, kiuno, miguu... But at the end of the day wote mpo page moja.
 
babu unajua kwamba wazee ndo huwa tunajua zaid kumaintain looks zetu ili tu kunogesha uwepo wa 6*6??

Hebu msome dada mkubwa.. Nyamayo hapo chini

hahaha sipendi aisee, uzee nao unategemea na mtu unavyojiweka/jiachia, hahaha azeeki mtu hapa tutabanana kwenye huo huo ujana.

Naona wewe na FP mko pamoja....Na bibi DC pia hapendi kuonekana mzee,

Ila je unapenda kuambiwa kuwa wewe ni mtu mzima (mama wa makamo) au bado mtoto mdogo....??

Babu DC!!
 
Last edited by a moderator:
babu unajua kwamba wazee ndo huwa tunajua zaid kumaintain looks zetu ili tu kunogesha uwepo wa 6*6??

Habari yake bana gfsonwin, hapo kwenye red tu ndo pamenivutia saaaana.

Kumbe na wewe wamo eenh!! Pongezi kwa shemeji yetu kwa kufaidi vinono!!lol
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom