Nimeipenda hii shemeji cacico lol
jlo anashinda kwenye sugery za tummy tuck na boob job! utafananisha na nyinyi wabahili ambao mnashindwa hata tu kutununulia ukwaju tu ili tuhare mafuta yatoke??!
kiukweli kama The Boss alimaanisha what he said, he is MO THAN A MAN, ni wachache sana, and for that mkewe anaweza kuwa zaidi ya yeye atakavyo, just becoz alim-value hata umbo lake lilipopotea!! mbona nyie mkiota mavitambi yenu ya kongoro za kondoo sisi hatuwaachi??
mpende mkeo kwa hali yoyote ile, kama utaniacha leo sababu ya kitambi?? what about nikipata accident kesho nikaparalyse?? NAWAOMBEA WANANGU MUME MWEMA! NA SI MUME PICHA!
Japo mengine hajayafungua mpaka mwisho.
Sijui anaona aibu.
Hehehe. Leo kila mtu anafanana na The Big Boss..Huo sio ukweli jamani..Wote tunajua mchele mmoja na mapishi mengi
aaaawwwww am humbly humbled Zion Daughter, ubarikiwe sana pia kama kuna chochote nilichosema ambacho kimekonga nafsi yako! friends forever and ever, ki-jf na ki-njenje!I like you...
ndio umpate wa hivyo sasa, mwingine hawezi kukuambia, anakuangalia tu kumbe hamu na wewe imeisha, kukueleza haelezi, khaa hapo vimbwanga vyote utaviona.
Ni kweli rafiki yangu. ila mimi sielewi inakuwaje mpaka unashindwa kumwambia mwenza vitu kama hivyo.
hii inaweza tokea labda hajakuambia tangu mwanzo, sasa mambo yameshaharibika na anajua kabisa hata akuambie there is nothing you can do, anaona bora asikuumize.
na mie babu sipendi wenye meno!! ulimi unanitosha! za jioni babu??
Bold ni nzuri lakini mimi napenda ile nywele ndo zinaanza kuota lol
vinywele vidogo vidoogo hivi....kama umenyoa jana au juzi...lol
Hiyo Bob Marley style never aisee lol
kimoja kibaya ni hiko cha mlokole nimetaja
kimoja kizuri ni kwenda kupima baada ya hofu fulani
kunikumba na nikakuta vipimo safi ...
babu na mjukuu kuna kutishiana kweli??? raha ya mjukuu ni mataniiiiiii mpaka babu afurahi! babu kwani hujafurahi leo??