Mkapa above the law?: Allegations

Mkapa above the law?: Allegations

Lete ushahidi hapa. Usilete roumars tu!

Usiwe mvivu wa kufikiri na kufuatilia habari. fuatilia upatikanaji wa Kagera Sugar jinsi kilivyouzwa.

mambo yote huanza hapa na kusemwa kuwa ni udaku,Mradi wa vitambulisho vya Membe ulianza hapa hapa unaweza kuuona www.raiamwema.co.tz aliuleta GT akasemwa kuwa ni mshuzi.

Suzane Mungy kupewa ukurugenzi TBC ilianza hapa na kusemwa kuwa ni uvumi ulioletwa na Mtalii.

Membe na kampeni zake za urais zilianza hapa hapa ikasemwa kuwa ni uvumi.

Mizange Pinda kuwa atakuwa waziri mkuu ilianza hapa hapa.

Sijawahi kuandika jambo la uzushi hapa JF hasa la kumsingizia Mkapa. kwanini nitaje Kagera Sugar baada ya kuona watu wanajishughulisha na kijishamba wakati jamaa ana kiwanda kamili.

Orodha ya mafisadi ililetwa ikasema ni uzushi na Richmond aliifuatilia Mwanakijiji na ikasema kuwa ni mzushi hana hoja.

ilitakiwa ufanye utafiti na kuja kusema huu ni udaku au uvumi.
Mkapa yupo Kagera Sugar wengi wanajua.bwana Fisadi hujui kuwa Mramba anamili shirika la ndege?
 
duh!

anyway kilichobaki kila mtu aachane na siasa wote tuwe wafanya biashara

siasa waachieni akina Mnyika
 
Hawa jamaa wanaendesha kiwanda kwa hasara kubwa na wana mkopo mkubwa ambao uko guaranteed na BoT toka enzi za Mramba. Walijaribu kupata guarantee nyingine enzi za Mama Meghji wakawa blocked.

Kama kweli Mzee atakuwa na share pale itakuwa hatari...
 
Mkapa anajivua nguo mwenyewe,wala msiwazibe macho watoto,waacheni waone sinema ya bure..Kuna ushahidi tosha wa yeye,Mrs,Nico na Mbuna Family kuhusika na Mradi wa kiwira.Judge Bomani na akina Zitto watakuwa mashahidi hapa,yale waliyoyaona Mbeya (Kiwira) yasiwe siri tena,kila kitu kiwekwe hadharani,ili hawa watu wahukumiwe kwa udhalimu wao.

Mkuu ntamziba mwanangu masikio basi...maana yatakayovurumika huko....Yatamdisapoint tu. Zilikuwa zinachotwa bila ya woga, sasa wanakuja na mkwala wa kwenda mahakamani....kama wangejua mkono wa mahakama tokea mwanzo, tusingekuwa hapa sasa hivi tunalizungumzia hili...ndo huku huko lakini tulikokuwa tunakusubiria. BRING IT ON!!!
 
hii ndiyo maana ya kuwa na serikali ya kishikaji,kwa hiyo tusishangae kesho tukisikia "RICHMOND KUISHITAKI KAMATI ILIYOWACHUNGUZA" na "EPA WATISHIA KUMPELEKA RAIS JK MAHAKAMANI"
 
Hiyo barabara kwa kweli ni maumivu sana. Hiyo foleni ya leo asubuhi kidogo inisababishie ugonjwa wa moyo. Mimi niliwakuta vibarua wanabeba lami kwenye mkokoteni wa chuma, nilumhurumia yule kibarua kwa sababu hakuwa na gloves na mkokoteni wote inaelekea ulikuwa umepata moto kutokana na lami hiyo na alikuwa anapata taabu sana, matokeo yake lami ikawa inamwagika hovyo wka sababu mkokoteni ulikuwa unaangukaanguka kila mara jamaa alipokuwa anaungua mikoni! hawa nwachina watatuua

Kwanini tusiandamane jamani maana sasa imekuwa toomuch,tena tuandamane kutwa nzima ndani ya barabara hiyo hiyo ili tumshinikize waziri anayehusika ajiuzulu maana asijekuona watu wote ni wajinga na hawa vyama vya upinzani wana nini safari hii mbona kama wamenyeshewa na mvua?kwanini wasiitishe maandamano pale ili mpaka kieleweke?
 
Hiyo barabara kwa kweli ni maumivu sana... vibarua wanabeba lami kwenye mkokoteni wa chuma, nilumhurumia yule kibarua kwa sababu hakuwa na gloves na mkokoteni wote inaelekea ulikuwa umepata moto kutokana na lami hiyo na alikuwa anapata taabu sana, matokeo yake lami ikawa inamwagika hovyo wka sababu mkokoteni ulikuwa unaangukaanguka kila mara jamaa alipokuwa anaungua mikoni! hawa nwachina watatuua

Hivi Bongo ina maana utaalam wa kutandika lami kwenye ardhi hatuna eenh! Maana labda sielewi. Kile chuo kikuu cha Ardhi kinafundisha nini, kilimo? Na idara ya Civil Engineering ya UDSM inafundisha kujenga mabanda ya Kuku au?

Kwa nini sisi kila kitu mpaka wataalam wa kigeni?

Line ya Umeme ya kupeleka umeme Zanzibar imekatika, wataalam wa nje!
Mahesabu yamewashinda wahasibu wa BOT, wataalam wa kigeni
Viwanja vya ndege vinahitaji tathmini, waite DLA Piper!
Miradi ya Maendeleo vijijini, waite Norconsult
Tanesco inataka kubinafsishwa, waite Wasouth Africa watathmini

Sisi tunajua nini jamani, kucheza sindimba? Mbona Sindimba na yenyewe nayo tunaita Wazaire waje kutu entertain?
 
Hawa jamaa wanaendesha kiwanda kwa hasara kubwa na wana mkopo mkubwa ambao uko guaranteed na BoT toka enzi za Mramba. Walijaribu kupata guarantee nyingine enzi za Mama Meghji wakawa blocked.

Kama kweli Mzee atakuwa na share pale itakuwa hatari...
Ooops!

Nungwi, you made my day...
 
Hawa jamaa wanaendesha kiwanda kwa hasara kubwa na wana mkopo mkubwa ambao uko guaranteed na BoT toka enzi za Mramba. Walijaribu kupata guarantee nyingine enzi za Mama Meghji wakawa blocked.

Kama kweli Mzee atakuwa na share pale itakuwa hatari...

Kweli maneno ya kisura yana play part hapa, "Mwacheni apumzike" na Mr Clean kama kawa atakua bubu tena. Je ni kweli tumepitwa na wakati? yani bado tuko kwenye ujamaa au kuna mambo zaidi ya hayo? Mramba na wewe dawa iko jikoni!!
Inashangaza hawasikii kelele za wananchi, licha kuwa huu ni wajibu wao, kuwafahamisha wananchi nini kinaendelea sasa. Hili sio ombi ni wajibu wao..
 
yahitaji kuwa na kichwa kama cha mwendawazimu kidogo kuendelea kukanusha kuwa Mkapa si fisadi maana habari zake hata watoto wa Kindergaten wanajua hilo, imefikia hata mtoto akinyimwa chips dume na rafikie shuleni anamwambia mwenzake fisadi

m-bongo,

si kweli kuwa wendawazimu tu ndio wanakanusha kuwa Mkapa sio fisadi. Watu hawana ushahidi ila wanamzulia Mkapa haya yote kwa vile alifanya kazi nzuri sana ya kujenga uchumi wa Tanzania kwenye awamu ya tatu.

Awamu ya tatu,

Inflation ilikuwa chini, uchumi ulikuwa, barabara zilijengwa, watu wengi walijiunga vyuoni, mishahara ilipanda. Haya yote yanayosemwa hapa ni chuki tu dhidi ya mkapa.
 
m-bongo,

si kweli kuwa wendawazimu tu ndio wanakanusha kuwa Mkapa sio fisadi. Watu hawana ushahidi ila wanamzulia Mkapa haya yote kwa vile alifanya kazi nzuri sana ya kujenga uchumi wa Tanzania kwenye awamu ya tatu.

Awamu ya tatu,

Inflation ilikuwa chini, uchumi ulikuwa, barabara zilijengwa, watu wengi walijiunga vyuoni, mishahara ilipanda. Haya yote yanayosemwa hapa ni chuki tu dhidi ya mkapa.

Mkuu MASAKA

Kwa hiyo unataka kutueleza yale yote ya RADA, Ndege ya RAIS, KIWIRA, na uanzishwaji wa kampuni akiwa Ikulu ni uongo?

Mimi nafikiri utafute data zaidi au hauna dataz, watafute wazee wa dataz wakuelimishe.
 
hawa ndo wametokea, ndo internet imefikahuko walipo... wameanza kuchangia hoja na wao, watunzwe ni wenzetu, tulikuwa huko jamani, wahazabe wanauliza baba wa taifa atawatembelea lini? kuna kucha taratibu.
Ukiona mtu anazungumza habari za ccm na mkapa kwa njia hii, usiulize ni kabila gani - fahamu ni mhazabe!
 
huyu Masaka ametumwa na Kingunge sasa hapa kanawa tumesha kuwa si wadanganyika kama zamani.
Na humu JF lazima atakimbia katumwa na CCM huyu kuja kupooza mambo si bure.

lete ushahidi kama kweli ametumwa na kingunge ! wewe pia ulitumwa ukakataa ?? ulijuaje ??
 
m-bongo,

si kweli kuwa wendawazimu tu ndio wanakanusha kuwa Mkapa sio fisadi. Watu hawana ushahidi ila wanamzulia Mkapa haya yote kwa vile alifanya kazi nzuri sana ya kujenga uchumi wa Tanzania kwenye awamu ya tatu.

Awamu ya tatu,

Inflation ilikuwa chini, uchumi ulikuwa, barabara zilijengwa, watu wengi walijiunga vyuoni, mishahara ilipanda. Haya yote yanayosemwa hapa ni chuki tu dhidi ya mkapa.

yakhe ! watu humu hawawezi kuona mazuri mainly because hii ni part ya Damage Control na inaelekea hawajambo kwa hilo !
 
Masaka,
Ebu nikuulize wewe mwenye kutaka ushahidi...chagua upande wowote ule na utupe mfano wa ushahidi unaozungumzia!
1. Kikwete ana mke wa pili naomba ushahidi! au 2. tupe ushihidi kuwa hana mke wa pili!
Labda nitaweza kukuelewa unachojaribu kusema hapa maanake yawezekana kabisa hizo chuki unazozungumzia hazuhusiani na UKWELI..
Je, ni wapi kati ya hao wenye chuki!.. maanake neno chuki lina uzito mkubwa sana ktk issue nzima ya Mkapa!.. sielewi hiyo chuki imetokana na kitu gani haswa...wivu unaotokana na UKWELI ama WIVU tu ambao hauna sura.. kwa nini wasimchukie mtu mwingine yeyote iwe Mkapa tu... hata Nyerere na Mwinyi sii wote wanatakiwa kuchukiwa?.. mbona hatuna tuhuma kama hizi!
 
......kumponda MKAPA in contrast na KIKWETE ...ni sawa na kufananisha KUZIMIA NA KUSINZIA .....sikupenda neno kifo na usingizi though that could fit....in some incidences...

...mkapa anayo makosa yake lakini mazuri ni MENGI...kikwete nayo atakaa anayo MABAYA MENGI...ikiwemo kuingia madarakani kwa kampeni CHAFU na pesa chafu za EPA....mwisho wa siku atastaafu ..sasa sijui tutamkumbuka kwa kucheka ,kujenga barabara,...au majungu.world traveller...sijui legacy yake kwa kweli itakuwa nini ...the guy need to pull up his socks....thats really!......

....i am afraid we are spending much time talking about mkapa ambaye kazi yake ilishAfanyika ..rather than keeping our president really at TOE....ili kama timu tufanye kazi kwa bidii....ili siku akiondoka ..tuseme ...kweli tulikuwa na RAIS MZURI...... KIKWETE!
 
Mkapa alifanya biashara kama mjasiriamali yoyote yule, hakuna tatizo na hilo jamani.
Tunashukuru unajua kua MKAPA ALIAFANYA BIASHARA AKIWA IKULU. Unataka ushahidi gani tena. ndio maana unaambiwa ukiongea sana utajikanyaga
 
nani atakuja hapa, hana kazi huyo, ccm kuna mapesa na kila kitu. huyo mnyika atajiunga tu ccm kwani njaa zitamzidi huko chadema. sasa hivi ni maandalizi tu ya kuwachafua viongozi wote wa upinzani na wanachadema hapa hadi mambo yageuke.

kumbe viongozi hawa wa upinzani si wachafu,

bali wewe umekuja kuwachafua

veery interesting
 
Back
Top Bottom