Mkapa above the law?: Allegations

Mkapa above the law?: Allegations

........shule shule......nenda shule wewe, pesa hata zikiwa za wizi wee kwako ni sawa tu...........hivi huku CCM tuliingiliwa mpaka kuna watu wa aina kama hii!!!....................nenda shule kijana.......

mzee nakushauri ugoogle MENSA na itakuwa vizuri kama utashare na the rest of the forum !
 
.......mwambie huyo mtu wako aende huko.......mkumbushe aende shuleee pia

Mazee Ogah achana na hawa Troglodyte Homunculus wenye IQ za chini ya 20 halafu wanajifanya member wa Mensa. Vitu wanavyoandika humu ni beyond stupidity. Mensa hawawezi waka-admit magoigoi kama hawa.
 
nani atakuja hapa, hana kazi huyo, ccm kuna mapesa na kila kitu. huyo mnyika atajiunga tu ccm kwani njaa zitamzidi huko chadema. sasa hivi ni maandalizi tu ya kuwachafua viongozi wote wa upinzani na wanachadema hapa hadi mambo yageuke.


kumbe mnatumia pesa za walipakodi kununua watu badala ya kuwanunulia wananchi wananchohitaji??? lololo, pesa zetu za BOT. basi kumbe ccm ni chama cha kutoa ajira. ila kubuka hata mramba alidhani hivyo, hata chenge hivyo hivyo hata balali. ila siku watu watakapowageukia ndio mtalia na kusaga meno.
 
RA alisema anawashtaki Mwanahalisi na Raia mwema. Raia Mwema wakachomoa na kumuomba radhi. Mwanahalisi wakasimama kidete na kusema wanasubiri mashtaka hayo. Je, mashtaka ya RA dhidi ya Mwanahalisi yamekwamia wapi?

Mara nyingi hawa wanasiasa huwa wanatishia kushitaki ili wajisafishe na kuonyesha kwamba magazeti ni maongo na hiyo wanatumia hayo mashitaka kama refference kwenye mambo yao kwamba, "wale waongo, si unaona nimekwenda mahakamani" na mambo yao yanaendelea. Lakini wale wenye uhakika kwamba gazeti fulani limeandika habari ambazo hawana uwezo kwa maana ya waandishi/vifaa/fedha/ari/ujasiri/msimamo/mbinu na hivyo kuweza kusimama nao mahakamani na kuwashinda. Lakini pia kama gazeti limeteleza ama limetumiwa na kuandika habari ya uongo, mhusika anaweza kuendelea mbele na kesi hadi akashinda ama akaombwa kuyamaliza nje ya mahakama (kesi ya Sumaye).

Kwa ujumla kesi za kuchafuliwa majina, zinatakiwa mara nyingi kupitia Baraza la Habari (MCT) jambo ambalo Sumaye alilifanya pia na kamati ya maadili ya MCT chini ya Jaji Bomani ikamshauri aende mahakamani baada ya Tanzania Leo, kugoma kuomba radhi wakati huo wakijivunia nguvu za Lowassa na Rostam walipokua na nguvu. Inaaminika ndio waliowatuma wakati huo, maana lilikua ni gazeti lililokua linaendeshwa na mmoja wao.
 
Hivi kuna watu mnakujaga kutoa hoja zenu hapa mkiwa mmeshakunywa mataputapu na Gongo nini? what a troglodyte homunculus mind.

Inasikitisha jinsi mtu na akili yako timamu unajitokeza kutetea kitu ambacho kinaonekana wazi kuwa kuna kosa lilotendeka: Mkapa kuandikisha kampuni wakati akiwa rais, Kuingiza kampuni yake kwenye mchakato wa kununua Kiwira wakati akiwa rais, Kununua Kiwira kupitia kampuni yake wakati akiwa rais. Hili la kwamba ati ANBEM imejitoa kwenye ununzi wa Kiwira ni jitihada za mfa maji kujiokoa, au changa la macho kupoza mashambulizi. Sasa wewe Masaka unatetea nini? Nakushauri mdogo wangu uwe unapima mambo kabla ya kuandika humu. Leo watuhumiwa kwamba labda umeshakunywa mataputapu na Gongo; siku nyingine tutakuambia ondoa bangi zako hapa JF.
 
Jambo la hatari ni kwamba mwaka jana, Tanpower Resources walikwenda kuomba mkopo katika benki moja nchini, wakaambiwa wapeleke company profile yao, wakionyesha shareholders na profile zao zikiwa na anuani kamili. Tanpower walipeleka na katika orodha kampuni ya Mkapa na mkewe ya ANBEM ilikuwamo. Sasa kama Mkapa alijitoa kule BRELA kuwawahi THISDAY ili waje waseme wamekosea wakati anaendelea kutumia jina lake kupata mikopo na advantage nyingine AMEUMBUKA. Mchezo huo alivyofanya pia TANIL SOMAIYA wa SHIVACOM ambaye baada ya kuchesa madili yote ya Rada, helikopta na magari ya jeshi alipojitoa katika ile kampuni ya Merline International na kumuachia VITHLANI
 
wenzangu eh, dawa yao hawa nikuwaacha waropokwee weh hadi wajiridhishe na akili zao za kigoigoi, hawajielewi, inaonyesha masaka umeingia kwa kasi, taratibu kaka hatuendi hivyo.
 
Nashangaa kuwa hamjashitukia janja yake, according to the dataz ni kwamba anataka kwenda mahakamani ili hakimu apige marufuku habari zake kusemwa in public mpaka kesi itakapokwisha, kesi ambayo haitakuja kuisha ili kum-save na kuzomewa na kuchokonolewa kwenye public, ninaamini kuwa atakwenda kweli mahakami, lakini sio on a serious tone ila kujaribu tu kuzuia mashambulizi,

Sasa kwa wale tunaokula naye sahani moja ni wakati wa ku-figure out plan B, maana ya kwanza so far is working, tutafute plan B.
 
wenzangu eh, dawa yao hawa nikuwaacha waropokwee weh hadi wajiridhishe na akili zao za kigoigoi, hawajielewi, inaonyesha masaka umeingia kwa kasi, taratibu kaka hatuendi hivyo.

1. Kikwete anaipigania nchi: Masaka
2. Tuhuma dhidi ya mkapa ni za chuki tu: Masaka
3. wapinzani ndio mafisadi na ccm ni safi: Masaka
4. Hongera ccm kwa kazi nzuri ya kulinda amani ya nchi: Masaka

Ameingia kwa kasi mpya, hari mpya na Nguvu mpya. Lakini JF atapoa tuuu!
 
hamna kasi yoyote, hii ni dalili ya desperation, wamekamatwa kila kona wanatapatapa..........lakini mie kwa upande wangu naelewa action za namna hii, they cant go without a fight, huu nauita ujasiri wa kifisadi.
 
Tatizo la watanzania ni jinsi gani walivyo wagumu kuelewa ama kukubali makosa, hili la mkapa kuwa fisadi bado kuna mtu anadiriki kutumia muda kwenye Pc kulikanusha? hivi tukichukua maisha ya Julius na ya huyo Ben hamuoni tofauti, mwl alikataa hata kujengewa Jumba kubwa na JKT akikanusha kuwa yeye si Tembo, Ben kutoka tu habari zikaanza Ben ana Hotel Lushoto jirani kabisa na Kigoda, Ben alianzisha kampuni ya ANBEN bado tukubali tu kuwa mjasiria mali we unayekanusha kwa kiwango hicho kama huwa anakutuma Sokoni na kubakiza chenji za mboga ni wewe na njaa yako MKAPA FISADI TU!
 
Last edited:
yahitaji kuwa na kichwa kama cha mwendawazimu kidogo kuendelea kukanusha kuwa Mkapa si fisadi maana habari zake hata watoto wa Kindergaten wanajua hilo, imefikia hata mtoto akinyimwa chips dume na rafikie shuleni anamwambia mwenzake fisadi
 
1. Kikwete anaipigania nchi: Masaka
2. Tuhuma dhidi ya mkapa ni za chuki tu: Masaka
3. wapinzani ndio mafisadi na ccm ni safi: Masaka
4. Hongera ccm kwa kazi nzuri ya kulinda amani ya nchi: Masaka

Ameingia kwa kasi mpya, hari mpya na Nguvu mpya. Lakini JF atapoa tuuu!

huyu Masaka ametumwa na Kingunge sasa hapa kanawa tumesha kuwa si wadanganyika kama zamani.
Na humu JF lazima atakimbia katumwa na CCM huyu kuja kupooza mambo si bure.
 
sasa maendeleo ya kesi dhidi ya mkapa yamefikia wapi ?? au ndo mmegoma kwenda mahakani ?? kumbe zoote zile zilikuwa kelele za mlango tu !
 
Naomba kuuliza....hivi baada ya hii 'Kiwira yamsafisha Mkapa'; IS 'MR. CLEAN' CLEAN NOW? HAD MR. CLEAN BEEN CLEANSED?
 
Naomba kuuliza....hivi baada ya hii 'Kiwira yamsafisha Mkapa'; IS 'MR. CLEAN' CLEAN NOW? HAD MR. CLEAN BEEN CLEANSED?

sidhani kama tutajua maana watu wapo kuleeeee, wanataka jk ajiuzulu ! wameshasahau huku !
 
Back
Top Bottom