Mkapa above the law?: Allegations

Mkapa above the law?: Allegations

Kwani kimaro alikua na kosa gani? Wanasema amekosa adabu? Hivi wananchi hao hao si ndio wakimwona kibaka wanaanza kumkimbiza kwa mawe? Kwa hiyo huko nako ni kukosa adabu?
 
Kimaro was saying the right things at a wrong place. Hayo anayoyakemea ndio msingi wa CCM. Kama ana nia ya kupambana na maovu, ajiunge na vyama vya wananchi, aachane na hicho chama cha watafuta utajiri.
 
..kwanza nafikiri baba yake atamjia juu...maana huyu dogo ni kilevi ile mbaya.Pia i'm sure inamuuma kuona mdogo wake ndie anayetajwa kuwa yumo kiwira wakati yeye hayumo popote.Pia mdogo wake ndio aliyepewa Range Rover na baba yake...yeye ana dunda kwenye ki Rav 4 cha mkewe.Sasa,between the lines,huyu dogo inawezekana yuko bitter.Pia inawezekana kabisa mambo yote ya Kiwira naye kayajulia kwenye magazeti,maana mdomo wake hauna breki yule.Maana mwenzake anafanya kazi yeye anashinda Gymkhana analewa toka asubuhi kazi hana.
 
sasa amlete wapi wakati anasema waandishi ni uchwara na wanahongwa ili wamchafue babaye
 
si useme chadema, kwani ccm chama cha majeshi ? kinashinda kwa nguvu za wananchi
 
Mh Kimaro alikuwa sahihi kabisa kama alisema uongo bungeni basi bunge lingesema kama ilivyokuwa kwa Zitto. hao wanaotaka kumwadhibu hawaitakii hii nchi mema na ni wa kuogopwa kama ukoma...lazima tuungane katika hili la sivyo tutaishia kuwaadhibu watu wanaotaka kuiokoa hii nchi katika majanga ya kifisadi. lazima tubadilike kifikra na kimatendo.
 
Sikujua kama huyu Mkapa ana watoto wajinga kiasi hiki. Mtoto mwenye akili alipaswa kunyamaza pale Babaye anaposutwa kwa kufanya jambo lililo kinyume na matarajio ya waungwana.
Kinyume cha hapo ni kuyafanya makosa ya Baba yake yaonekane ni makosa ya ukoo mzima jambo ambalo si kweli. Kama Ben aliiba, basi ni Ben mwizi. Ajitetee mwenyewe sio Vijitu vingine vimsemee, kwani wao nao walikuwa na ubia katika Uraisi?
 
Nani anaweza kusema BABA au MAMA yake ni FISADI hadharani? Madhara ya ufisadi ndio hayo; yanamtafuna sio fisadi peke yake bali na WOTE wanaomhusu.
 
huyo dogo aache kelele amlete baba yake ajibu tuhuma moja baada ya nyingine mbele ya waandishi wa habari na watanzania kwa ujumla ndio tutamwelewa la sivyo tutamwandama mpaka kaburini. na si yeye tu hata maswahiba wake wakina mramba na wengineo tutawasakama mpaka kieleweke.

Ajibu tuhuma kwa waandishi wa habari, kwani wao wamekuwa mahakama? Kwa nini hiyo serikali ya CCM haitaki kumfikisha mahakamani?

Hata mimi ningekuwa mtoto wake Mkapa ningekuwa na ghadhabu kubwa kabisa na waandishi wa habari kwa sababu wao wamebaki kulia na Mkapa badala ya kuibana serikali imfikishe mahakamani. Kama ni tuhuma, waandishi wa habari wameshaziweka wazi, sioni kilichobaki tena cha kuzungumza kuhusu Mkapa. Kama hatuwezi kuibana serikali imfikishe mahakamani waandishi na sisi tukae kimya waendelea kutesa mtaani na mapesa yao.
 
Naona wabunge waliotaka kusafisha chama tukiendelea hivi watasafishwa wenyewe. Hapa ndio kuonyesha kuwa mafisadi wanamkono mrefu. Upepo unaelekea kubadilika sasa unaona Mkapa ameanza kutumia nguvu zake.
 
Sio Jambo La Ajabu Kwani Kama Ambavyo Sita Atapopolewa Ndivyo Yeye Atapopolewa,amedandia Mambo Hasiyoyaweza....lazima Atolewe Tena Kwa Aibu.

Nguvu ya umma siku zote iwa haishindwi kitu...mkimpiga cheni anagombea kwa kupitia mgombea binafsi CCM kaeni chonjo....na Kimaro kesha jitangazia sifa kwa kupigana na mafisadi.,
 
Ukweli ni vile Mkapa amesafishwa na Kiwila coal mine ,hivyo Kimaro atakoma kulopoka ovyo.Kimaro hana pa kutokea hapo.lazima wampopoe,kwanza wananchi wa huko wa huko moshi vijijini wanamuona kama hana akili nzuri kwa mkwe wao kuambiwa ni mwizi na wala hayo ma epa yenu hawayajali kabisa.
 
Sasa sijui Kikwete bado atasimama na aseme mwache kaka yangu apumzike? au Mzee wetu apumzike. Na bado JK mwenyewe,patakua hapatoshi!
 
Nguvu ya umma siku zote iwa haishindwi kitu...mkimpiga cheni anagombea kwa kupitia mgombea binafsi CCM kaeni chonjo....na Kimaro kesha jitangazia sifa kwa kupigana na mafisadi.,
TATIZO HAO WANANCHI NDIO HAWAMTAKI NA WANASEMA WAZIWAZI.NJOO HUKU VUNJO UAMBIWE HAYO MAMBO.MPAKA MAKANISANI HAWATAKI KUMSIKIA..ALIOANDIKA DIKTETA NI YA KWELI.LABDA MPENI JAMBO DAR.
 
Kimaro keep it up sioni tatizo apo,mungu akulinde na wazalendo kama sisi tuko nyuma yako.
Aluta continua.................
 
Ajibu tuhuma kwa waandishi wa habari, kwani wao wamekuwa mahakama? Kwa nini hiyo serikali ya CCM haitaki kumfikisha mahakamani?

Hata mimi ningekuwa mtoto wake Mkapa ningekuwa na ghadhabu kubwa kabisa na waandishi wa habari kwa sababu wao wamebaki kulia na Mkapa badala ya kuibana serikali imfikishe mahakamani. Kama ni tuhuma, waandishi wa habari wameshaziweka wazi, sioni kilichobaki tena cha kuzungumza kuhusu Mkapa. Kama hatuwezi kuibana serikali imfikishe mahakamani waandishi na sisi tukae kimya waendelea kutesa mtaani na mapesa yao.

Mkuu, Waandishi wana haki ya kulia na fisadi Mkapa maana kwa kufanya hivyo wanatujulisha kuhusu ufisadi wa Mkapa ambao Watanzania wengi tulikuwa hatuujui halafu kwa namna moja au nyingine wanaishinikiza serikali ili imfungulie mashtaka kwa sababu wao waandishi hawana uwezo wa kufanya hivyo.
 
duh yaani mke ni wa kijiji kizima mpaka watu wote wa vunjo wadai mkapa ni mkwe wao.
kwa hiyo kumgusa eti umewagusa wote. duh! this is ubeliavable!
 
Maneno ya huyu mtoto wa Mkapa yananifanya nione wameshaanza kujenga kiburi cha aina fulani.... yaani tuseme tu na hakuna kitakachotokea?!? Sasa anakasirika nini?
 
Hawa kwanini wanaanza kuwa na kiburi sasa, au serikali imeshawaakikishia kuwa hakuna tatizo hamtashitakiwa ndo maana wameanza kuwa na kiburi kuliko mwanzo, kazi ya maana sasa ni kumbana kikwete awapeleke mahakamani ili tuone jeuri yao.

Kama serikali ikishindwa kuwapeleka mahakamani basi tujue serikali ilikuwa inajua kila kitu hata muungwana anajua ndo maana atakuwa ameamua kuwaacha waendelee kutamba baada ya kuiba mabilioni ya sewrikali.
 
Back
Top Bottom