Mkapa above the law?: Allegations

Mkapa above the law?: Allegations

haya bwana naona mmejaa hapa na nimeelemewa. Hata kama mnalipwa pesa bado tutambana nanyi tu. Mmeshinda kwa leo.

Jukwaa la Siasa (69 Viewing)
Tanzania & The World Politics General Discussion Forum. Click above to get connected! You need to be registered in order to post

Waambie wakupe gmail ya kupanga mikakati (69 Viewing). Wapo hapa na kwenye gmail wanapanga mikakati.
 
wamekimbia hawa, leo imekuwa siku ya furaha sana maishani mwangu, hatimaye chadema na wapinzani wamekimbia forum. Hongera sam, kada, mapambano, zemarcopolo,mtarajiwa na wengine wote muliopigana leo.

Hata huko gmail tutawafuata tu.
 
Let us call it Super Tuesday. See you guys next time.
 
Inaonekana kuna watu wanataka kumpaka raisi wetu mkapa matope bure kwa sababu za kisiasa. Mkapa kaifanyia mengi Tanzania, kainua uchumi wa Tanzania, kajenga barabara na mengine mengi.

Watu wasiompenda hasahasa wapinzani ndio wanampaka matope tu bila sababu yoyote. Kiwira sio ya Mkapa, wenye uthibitisho walete na sio kupakana matope tu bila sababu.

Hivi kuna watu mnakujaga kutoa hoja zenu hapa mkiwa mmeshakunywa mataputapu na Gongo nini? what a troglodyte homunculus mind.
 
Mkapa alifanya biashara kama mjasiriamali yoyote yule, hakuna tatizo na hilo jamani.

just like Uncle Tom (Mbowe) anavyoendesha disko lake wakati mwenyekiti wa chadema, pengine ruzuku ya chama nayo inatumbukia mumo humo kwenye uendeshaji wa biashara zake binafsi !!HUO NAO NI UFISADI !!
 
mkapa alifanya alichotakiwa kufanya kujijenga, hakuna makosa kwa raisi wa nchi kuwa tajiri.

walitaka kuona mzee ombaomba ! Mbowe nae mbona pia anaendesha disko toto huku akisukuma chadema na wafuasi wake pia ??
 
mkapa alifanya alichotakiwa kufanya kujijenga, hakuna makosa kwa raisi wa nchi kuwa tajiri.

Nani kasema Rais kuwa tajiri ni makosa? 😕
Tusichotaka kuona ni Rais anakuwa tajiri kwa kuwadhulumu na kuwafisadi wale walimchagua na hivyo kupata utajiri huo kwa njia za haramu. Fumbua macho uone acha mtazamo wa mambo wa kifisadi!!!!
 
mjasiriamali gani bwana wewe!!!! Huo mshahara mnono na marupurupu manono aliyokuwa analipwa na Watanzania havikumtosha mpaka awafisadi wale waliomchagua? Huko Ikulu alikuwa anafanya biashara gani? Ndani, nje ya nchi au vyote? Mafisadi na wale waliofaidika na ufisadi sasa wanagwaya kijasho chembamba kinawatoka!!!

sasa nafikiri utakuwa unaelekea kuelewa kwa nini Mkapa sio maskini kama ulivyodhani ! Good to see you are getting it, nashangaa hao wengine wanaoshangaa mkapa kuwa na vijisenti !
 
Nani kasema Rais kuwa tajiri ni makosa? 😕
Tusichotaka kuona ni Rais anakuwa tajiri kwa kuwadhulumu na kuwafisadi wale walimchagua na hivyo kupata utajiri huo kwa njia za haramu. Fumbua macho uone acha mtazamo wa mambo wa kifisadi!!!!

wewe si umeshasema kwamba mkapa alikuwa akilipwa mshahara mnono na marupurupu mengi, sasa unashangaa nini rais kuwa na pesa alizonazo ??
 
walitaka kuona mzee ombaomba ! Mbowe nae mbona pia anaendesha disko toto huku akisukuma chadema na wafuasi wake pia ??

waambie hao chadema, wao wanaleta story tu hapa za ufisadi wa mali ya serikali kumbe ni tamaa tu waliyonayo.
 
waambie hao chadema, wao wanaleta story tu hapa za ufisadi wa mali ya serikali kumbe ni tamaa tu waliyonayo.

chadema hawana hoja, wamejawa na propaganda ! kama wanabisha, wamuite Mnyika aje hapa ! na wasituambie kwamba mnyika yupo bize, maana najua hana kazi wala kibarua, sio mbunge wala diwani, genge lao (chadema) linaendeshwa ndivyo sivyo hakuna cha uenyekiti wala katibu vijana taifa, aache nae propaganda zake zikiongozwa na bwana wa chama chao mbowe !!
 
Jukwaa la Siasa (69 Viewing)
Tanzania & The World Politics General Discussion Forum. Click above to get connected! You need to be registered in order to post

Waambie wakupe gmail ya kupanga mikakati (69 Viewing). Wapo hapa na kwenye gmail wanapanga mikakati.

imekuwaje leo ? jukwaa la siasa si linakuwaga na viewers hadi 120 ? what happened mbona imemegwa into half ? au ndo mambo ya FL na MI tena ?lols
 
haya bwana naona mmejaa hapa na nimeelemewa. Hata kama mnalipwa pesa bado tutambana nanyi tu. Mmeshinda kwa leo.

feels good that you had to admit it ! bado wengine nao wataelewa tu na mwishowe kukubali. uzuri wetu ni kwamba we will be patient with such folks like you, hata ikichukua the next two years lakini hadi mtaelewa !
 
chadema hawana hoja, wamejawa na propaganda ! kama wanabisha, wamuite Mnyika aje hapa ! na wasituambie kwamba mnyika yupo bize, maana najua hana kazi wala kibarua, sio mbunge wala diwani, genge lao (chadema) linaendeshwa ndivyo sivyo hakuna cha uenyekiti wala katibu vijana taifa, aache nae propaganda zake zikiongozwa na bwana wa chama chao mbowe !!

nani atakuja hapa, hana kazi huyo, ccm kuna mapesa na kila kitu. huyo mnyika atajiunga tu ccm kwani njaa zitamzidi huko chadema. sasa hivi ni maandalizi tu ya kuwachafua viongozi wote wa upinzani na wanachadema hapa hadi mambo yageuke.
 
feels good that you had to admit it ! bado wengine nao wataelewa tu na mwishowe kukubali. uzuri wetu ni kwamba we will be patient with such folks like you, hata ikichukua the next two years lakini hadi mtaelewa !

tutahakikisha kuwa upinzani umekufa kabisa kwa kuanzia hapa. wapinzani na njaa zao wataweza kupambana na chama kubwa hili? waambie hao kada.
 
tutahakikisha kuwa upinzani umekufa kabisa kwa kuanzia hapa. wapinzani na njaa zao wataweza kupambana na chama kubwa hili? waambie hao kada.

mkuu, as for me...politiking ni kama passion, am patient ! na najua kutakuwa na vikumbo vingi in the days ahead.... but what helps me ni kwamba nina subira, sasa sijui kuhusu wapinzani ! na sio wapinzani wote wabaya but for chadema, i know that much kwamba hawa watu wanaendesha mambo yao kwa kutumia propaganda na kitu ambacho sio kizuri kwa jamii iliyolala ! Mbowe kwa kutumia magazeti yake, wafuasi wake kwenye mitandao ni matumizi makubwa ya propaganda yasioleta mafanikio katika taifa lolote !

Kama kweli anataka kufanya hivyo, why doesnt uncle tom (Mbowe) speak what he tells wafuasi wake for himself ? kwa sababu anajua atakuwa anajiself distruct ! na hicho ndicho kitu ambacho you'll never see mbowe do !

na ninajua ili kuiua demokrasia ndani ya forum hii, sitoshangaa kama mods watafuta threads hizi au kuziamisha !! lakini the party doesnt stop there, people have woken up and are realizing who there people (Chadema) are !
 
Kwa hiyo beef yako ni Chadema tu. How about other opposition parties?
 
"Tukiwapiga tunawaonea.....tukiwaacha tunawaogopa".........damn!!.........huu ujinga ndio unaingia hapa JF
 
nani atakuja hapa, hana kazi huyo, ccm kuna mapesa na kila kitu. huyo mnyika atajiunga tu ccm kwani njaa zitamzidi huko chadema. sasa hivi ni maandalizi tu ya kuwachafua viongozi wote wa upinzani na wanachadema hapa hadi mambo yageuke.

........shule shule......nenda shule wewe, pesa hata zikiwa za wizi wee kwako ni sawa tu...........hivi huku CCM tuliingiliwa mpaka kuna watu wa aina kama hii!!!....................nenda shule kijana.......
 
Back
Top Bottom