Mkapa above the law?: Allegations

Mkapa above the law?: Allegations

Inaonekana kuna watu wanataka kumpaka raisi wetu mkapa matope bure kwa sababu za kisiasa. Mkapa kaifanyia mengi Tanzania, kainua uchumi wa Tanzania, kajenga barabara na mengine mengi.

Watu wasiompenda hasahasa wapinzani ndio wanampaka matope tu bila sababu yoyote. Kiwira sio ya Mkapa, wenye uthibitisho walete na sio kupakana matope tu bila sababu.
 
Wanaccm acheni Mkapa ajitetee mwenyewe, yeye ni fisadi tu pamoja na hayo unayosema ya kuinua uchumi hayana ushahidi. Kama unao uweke hapa.
 
Mkapa hajafanya ufisadi wowote, haya yote yanaletwa na wapinzani wake. acheni wivu watanzania wenzangu. Yaliyopita si ndwele, tujenge nchi yetu kwa amani.
 
Wanaccm acheni Mkapa ajitetee mwenyewe, yeye ni fisadi tu pamoja na hayo unayosema ya kuinua uchumi hayana ushahidi. Kama unao uweke hapa.

tatizo lako ni kwamba mtu hawezi kutoa hoja hadi awe ccm ! wewe kama mgaya una ushahidi gani kwamba mkapa kafanya ufisadi ? ulikuwa nae ? au ndio unafuata mkumbo ??
 
mwambie huyo, haya yote wanayoweka hapa ni ya uongo. hakuna kilichofanyika ila wivu wa wapinzani tu wanawaonea viongozi wa ccm.
 
Mkapa ashtaki? Well, yes he thinks now it's convenient to do so. Passed the shares to Mbuna, came into Sumaye's defense, Ballali can no longer spill the beans and should we assume/speculate that the Andrew Mkapa at BRELA will cover things up for uncle Ben? Naaah, BRELA offices caught fire anyway. Hiki kweli ni kiini macho kama kilivyotamkwa na Mwanakijiji!!
 
mwambie huyo, haya yote wanayoweka hapa ni ya uongo. hakuna kilichofanyika ila wivu wa wapinzani tu wanawaonea viongozi wa ccm.

yaani wapinzani kusema mabaya ya Mkapa ni wivu? kweli fisadi hana aibu
 
Inaonekana kuna watu wanataka kumpaka raisi wetu mkapa matope bure kwa sababu za kisiasa. Mkapa kaifanyia mengi Tanzania, kainua uchumi wa Tanzania, kajenga barabara na mengine mengi.

Watu wasiompenda hasahasa wapinzani ndio wanampaka matope tu bila sababu yoyote. Kiwira sio ya Mkapa, wenye uthibitisho walete na sio kupakana matope tu bila sababu.

Acha fikra za kifisadi wewe, rais wenu na nani? Huyu alikuwa Rais wa familia yake maana maamuzi yake yote ukiangalia yaliwanufaisha familia yake badala ya Watanzania. Kama angekuwa Rais wa Watanzania basi angeweka mbele maslahi ya nchi kwanza kabla ya maslahi yake. Angehakikisha utendaji wake unakuwa wa hali ya juu kwa manufaa ya Watanzania wote badala ya kuchakarika akiwa Ikulu ili kuhakikisha yeye na familia yake wanakuwa matajiri wa kupindukia.

Maamuzi yake mbali mbali hayaonyeshi kama aliweka mbele maslahi ya Watanzania hata siku moja. Ukiangalia mikataba ya madini, ununuzi wa rada, ununuzi wa ndege ya Rais, magari na helicopters za jeshi, ubinafsishaji wa mashirika ya umma, uendeshwaji wa TANESCO, unyakuaji wa KCP alioufanya katika mazingira ya kifisadi. Kama ulinufaika na ufisadi wa Mkapa basi ukae ukijua mwisho wa ufisadi huo ndio unakaribia. Pia ujue kwamba ufisadi na uharamia kamwe haulipi!!!
 
Kwahiyo licha ya hao waendeshaji wa Kiwira kusema Mkapa aliziuza hisa zake bado huamini alikuwa anafanya biashara akiwa Ikulu?

Mkapa alifanya biashara kama mjasiriamali yoyote yule, hakuna tatizo na hilo jamani.
 
RA alisema anawashtaki Mwanahalisi na Raia mwema. Raia Mwema wakachomoa na kumuomba radhi. Mwanahalisi wakasimama kidete na kusema wanasubiri mashtaka hayo. Je, mashtaka ya RA dhidi ya Mwanahalisi yamekwamia wapi?
 
Mkapa alifanya biashara kama mjasiriamali yoyote yule, hakuna tatizo na hilo jamani.

mjasiriamali gani bwana wewe!!!! Huo mshahara mnono na marupurupu manono aliyokuwa analipwa na Watanzania havikumtosha mpaka awafisadi wale waliomchagua? Huko Ikulu alikuwa anafanya biashara gani? Ndani, nje ya nchi au vyote? Mafisadi na wale waliofaidika na ufisadi sasa wanagwaya kijasho chembamba kinawatoka!!!
 
--------------------------------------------------------------------------------------
 
naona sana mmeanza kujaza forum kwa threads zisizo na msingi. Naona mmepania leo.
 
Najua watu mpaka waone neno Mkapa ndiyo wanachangia, tukihoji sera wanaingia mitini. Inaweza kuwa sababu siyo ya msingi kwako ila kwangu ni ya msingi.
 
wape wape vidonge vyao, watakimbia forum hao, na muda si mrefu nitaleta thread zaidi za ccm.

Its pay back time.
 
mjasiriamali gani bwana wewe!!!! Huo mshahara mnono na marupurupu manono aliyokuwa analipwa na Watanzania havikumtosha mpaka awafisadi wale waliomchagua? Huko Ikulu alikuwa anafanya biashara gani? Ndani, nje ya nchi au vyote? Mafisadi na wale waliofaidika na ufisadi sasa wanagwaya kijasho chembamba kinawatoka!!!

mkapa alifanya alichotakiwa kufanya kujijenga, hakuna makosa kwa raisi wa nchi kuwa tajiri.
 
wape wape vidonge vyao, watakimbia forum hao, na muda si mrefu nitaleta thread zaidi za ccm.

Its pay back time.

haya bwana naona mmejaa hapa na nimeelemewa. Hata kama mnalipwa pesa bado tutambana nanyi tu. Mmeshinda kwa leo.
 
ha ha haha hahha hahaha,

yamekushinda, mtaishia wote kwenye gazeti lenu la tanzania daima.
 
Back
Top Bottom