Mkapa above the law?: Allegations

Mkapa above the law?: Allegations

Kwa nini Kiwira imechelewa kumsafisha Mkapa?
Jibu- Alikuwa mchafu sana na naamini bado si safi, sidhani kama ametakata!

KKN, bado kuna utata mkubwa sana. Maswali ndiyo yanazidi kuwa mengi na Watanzania tungependa maswali hayo ayajibu Mkapa mwenyewe si Waziri mtetezi wa mafisadi Mama Simba wala huyo ofisa wa KCP Tabaro. Watanzania hatuwezi kumwacha 'mzee wetu' astaafu kwa amani mpaka tujue ukweli wa tuhuma mbali mbali dhidi ya Mkapa alipokuwa Rais wa Tanzania ikiwemo hii ya kujimilikisha KCP katika mazingira ya kifisadi
 
Hii issue ya Mkapa kwa jinsi ninavyoona ni serekali iliyoko madarakani pekee ndio inaweza kumfanya aongee and not the media. Na sidhani kama serekali tuliyonayo wako tayari kumlazimisha 'bubu' aongee.
 
Nadhani utakuwa umeshausikia ule wimbo wa Sikinde Ngoma ya Ukae unaoitwa "Bubu ataka kusema mambo yanapomzidia' sasa bubu Mkapa nadhani hayuko mbali kufanya maamuzi ya kuongea kwani maji yako shingoni alidhani akiongea kijijini kule Lupaso basi yatakwisha. Akadhani Mama Simba akiongea kwa niaba yake basi yatakwisha, pia akadhani kwamba akimtuma huyo afisa wa KCP Tabaro akiongea kwa niaba yake yatakwisha , sasa nadhani JK ataongea na yeye kumtetea maana Sumaye kamtolea nje.

Bubu Mkapa akiona bado huu utata umeshamiri kwenye mazungumzo mbali mbali ya Watanzania ndani na nje ya Tanzania basi itabidi auweke ububu pembeni, lakini ajue wazi maneno matupu hayavunji mfupa tunataka kuona na vielelezo ili tuvichunguze authenticity yake, Bubu Mkapa kazi anayo! ingekuwa ile Tanzania ya mwaka 47 huu utata ungekuwa umeshasahaulika zamani!!! lakini tuko 2008! lakini hata mwaka 47 hatukuwa na mafisadi Tanzania kama walivyojaa hii leo.
 
Ni sahihisho tu la kichwa cha habari... jadili

Kiwira yamsafisha Mkapa
Mwandishi Wetu
Daily News; Sunday,June 01, 2008 @19:01

Uongozi wa Kampuni ya Kiwira Coal and Power Ltd (KCP) inayomiliki mgodi wa Kiwira, umekanusha madai kuwa Rais mstaafu Benjamin Mkapa na mkewe Anna ni miongoni mwa wamiliki wa mgodi huo.

Badala yake, mgodi huo umesema Kampuni ya ANBEN inayomilikiwa na Mkapa na mkewe, ambayo awali ilikuwa sehemu ya Kampuni ya Tanpower, ilijitoa baada ya baadhi ya wanahisa wenzake kuwa na mpango wa kununua mgodi huo.

Mtendaji Mkuu wa KCP, Francis Tabaro, alisema ingawa katika hati za umiliki (Articles of Association) inaonyesha kuwa Mkapa ni sehemu ya Tanpower, lakini baadaye alijitoa.

“Ni kweli ANBEN ilikuwa sehemu ya Tanpower lakini baada ya wazo la kununua Kiwira kuingizwa na wadau wenzake, yeye aligoma akaona aitoe kampuni yake katika Tanpower,” alisema Tabaro.
Inabidi jamani tusome between the lines....hawa kina Tabaro sio wanamsafisha Mkapa bali wana mtosa ndani zaidi....hii ina maana Mkapa alikuwa akifanya biashara wakati akiwa Rais....hebu tuulize wataalam kuhusu kujitoa, labda alikuwa ghost partner
 
Sumaye amponza Mkapa

2008-06-02 19:28:07
Na Emmanuel Lengwa, Jijini

Siku moja tu baada ya Waziri Mkuu Mstaafu Bw. Fredrick Sumaye kuzungumza na waandishi huku akitetea maamuzi kadhaa ya Serikali ya awamu ya tatu, sasa kitendo chake hicho kimemponza Rais Mstaafu Bw. Benjamin Mkapa baada ya naye kubanwa zaidi na kutakiwa na wapinzani wake akutane na waandishi kama alivyofanya Sumaye .

Mkapa amekuwa akituhumiwa na baadhi ya wanasiasa kwa mambo kadhaa ikiwa ni pamoja na kukiuka maadili ya uongopzi kwa kujilimbikizia mali na kufanya biashara wakati akiwa ikulu.

Hata hivyo, hajawahi kuzungumza na waandishi na kufafanua kwa kina juu ya yale anayotuhumiwa, zaidi ya hivi karibuni kuwaambia wanakijiji wa Lupaso kule Masasi Mtwara kuwa tuhuma zote juu yake ni uongo.

Lakini, kufuatia ujasiri wa Sumaye wa kuzungumza na waandishi jana huku akieleza namna alivyokuwa safi wakati wa uongozi wake, baadhi ya wanasiasa wanaombana Mkapa wamemtaka naye ajitokeze na kufafanua kama alivyofanya Waziri Mkuu wake Sumaye.

Akizungumza na Alasiri leo asubuhi, Katibu Mkuu wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo, CHADEMA, Dk. Wilbrod Slaa amesema Sumaye hapaswi kumsemea Bw. Mkapa na badala yake kila mmoja asimame kivyake kujibu tuhuma zinazoelekezwa kwao binafsi na Serikali waliyokuwa wakiiongoza.

``Sumaye sio karani wa Bw. Mkapa. Kila mmoja ana masuala yake, hivyo Mkapa asimame mwenyewe kujibu tuhuma zake... sio asubiri kusifiwa na Sumaye,`` akasema Dk. Slaa.

Amesema kinachotakiwa sasa na Watanzania ni kumuona Bw. Mkapa akiwajibu kwa ufasaha, tuhuma moja baada ya nyingine, ili ifahamike kuwa kweli hakukiuka maadili wakati akiwa Ikulu.

``Asimame ajibu kama hakusajili kampuni akiwa Ikulu... na mengine mengi tunayoyajua, majibu ya tuhuma hizo ndiyo Watanzania wanahitaji kupewa na si vinginevyo,`` akasema Dk. Slaa.

Dk. Slaa amewaonya wanasiasa hao kuwa makini na kauli zao kwa madai kuwa anavyo vielelezo vingi ambayo vinaweza kuwaumbua endapo hawatakuwa makini.

Naye Mwenyekiti wa chama cha DP, Mchungaji Christopher Mtikila, amesema Sumaye asitumike kumsafisha Mkapa na badala yake, amuache mwenyewe ajisafishe.

Amesema endapo anayo hamu ya kutetea, asubiri pale siku moja watakapoburuzwa mahakamani kujibu tuhuma zinazotolewa sasa.

Waziri Mkuu mstaafu Bw. Sumaye, leo amekaririwa na vyombo mbalimbali vya habari akiitetea Serikali ya awamu ya tatu iliyokuwa chini ya Bw. Mkapa kuwa iliharakisha maendeleo ya nchi na watu wake.

Pia Sumaye alitetea maamuzi kadhaa ya Serikali ya awamu ya tatu, ikiwa ni pamoja na yale ya ununuzi wa ndege ya rais na pia ununuzi wa rada.

SOURCE: Alasiri
 
Wanabodi,

Nadhani ktk kijiwe hiki wapo watu wanaofahamu sheria za usajili wa makampuni.... Sijui kama kuna mtu kisha uliza huko nyuma ila lkwa sababu mimi ndio kwanza nimeona kitu hii naomba kuuliza maswali machache hasa kuhusiana na vipengele hivi..
1. Tabaro kasema hivi:- Ingawa katika hati za umiliki (Articles of Association) inaonyesha kuwa Mkapa ni sehemu ya Tanpower, lakini baadaye alijitoa.

Haya maneno kweli yanawaingia akilini? Hivi mtu akijitoa katika umiliki wa kampuni bado jina lake inaweza kuendelea kuwepo ktk Artical of Association lakini hana Ubia ama umiliki?..Hivi kweli mtu akijitoa ktk umiliki jina la mtu alojitoa hubakia?

2. Ni kweli ANBEN ilikuwa sehemu ya Tanpower lakini baada ya wazo la kununua Kiwira kuingizwa na wadau wenzake, yeye aligoma akaona aitoe kampuni yake katika Tanpower...

Jamani mwee hata kipofu hapa hatanunua maelezo kama haya, Kwanza hiyo ANBEN nje ya ushirika wake na TanGold wanajihusisha na shughuli gani?...Je hakuna uhusiano wowote wa Tangold kweli?, Pili kama kweli sio nguvu ya Mkapa hii kampuni Tangold imeweza vipi kununua Kiwira kwa asilimia 10 ya thamani ya mgodi wenyewe na kisha kuweza kushika asilimia 85 ya hisa kwa hizo 700m/ walizotoa wakati mgodi wenyewe umejengwa enzi zileeee za Nuhu kwa 4bn/..Nani Mmiliki wa Tangold na share ya ANBEN ilikuwa ngapi ndani ya TanGold kiasi kwamba kuondoka kwake bado hakukuweza kuharibu uwezo wa Tangold kununua Kiwira!...

Binafsi nadhani ndio wanazidi kujichimbia kaburi kwani sasa hivi kuna haja kubwa ya kujua zaidi kuhusu ununuzi wa Kiwira maanake Mkapa kisha jitoa na ikionekana alikuwa na mkono ndani iwe yeye ama Mkewe, basi tumeshapata sababu..
Yaani kamati maalum iundwe haraka iwezekanavyo kuhusiana na Kiwira.Binafsi naamini kabisa kuwa maelezo ya Tabaro yametufungulia mlango kuweza kuhoji zaidi kumbukeni ya Richmond siku Karamagi alipojaribu kutetea ndio ziku alovuta uchunguzi zaidi..
Mkapa was smart alipokaa kimya na pengine ingekuwa Busara sana kuachia na kukubali makosa lakini haya tena nadhani wanajifunga!..
Tupo nao, hapendwi mtu...
 
Wakuu,

Hapo huitaji shahada yoyote kubaini kwamba raisi wa zamani alitumia madaraka yake na ofisi yake kuunda hio kampuni.

Sasa Articles of Association inakuwa na wakurugenzi ambao ndio wanaunda bodi ya wakurugenzi wakiwa ndio waendeshaji kiutawala.

Kwa hio kuna mambo yafuatayo.

1. Inawezekana baada ya kugundulika kwamba wao ni "executive directors" ambao ndio wahusika wakuu katika uendeshaji na utawala wa kampuni, wakajaribu au wanajaribu kuwa "non-executive directors" bila kujua kwamba pia hio ni kosa endapo wamefanya hivo wakiwa madarakani.

Pamoja na kwamba "non-executive directors" hawahusiki moja kwa moja na masuala ya ndani ya kampuni lakini wanakuwa wameshikilia kamba kwa mbali na wao huangalia mambo kama ufanisi, mwelekeo wa kampuni na kutafuta vyanzo vya fwedha kazi ambayo inam-fit sana bwana Daniel Yona kwa kuzingatia utaalam wake, uzoefu, umaarufu, contacts na majina makubwa na kadhalika.

2. Au baada ya kugundulika wamo katika AA wakaamua kujishusha hadi ngazi ya shareholders ambao hawana maamuzi sana na kuacha kazi ya utawala kwa watu wengine, hatua ambayo pia haisaidii katika kutafuta utetezi kwani tayari wakati yote hayo yanafanyika, wahusika wakuu walikuwa madarakani.

Kwa hio huo waraka hapo juu uanabakia kuwa moja ya vipande ushahidi au "shreds of evidence" na tunategemea "more shred of evidence" kudondoka.
 
Kwanza ningependa kujiuliza kauli ya Sumaye ilikuwa ya kisiasa au ndio anonyesha U-zero wake.
Kuhusu huyo Tabaro wa kiwira naona TAKUKURU wamchunguze, kwa rushwa na Bunge limuhoji kwa Uchochezi na upotoshaji wa taarifa.
Kwa sababu hali ya taifa kwa sasa ni tata, hivyo kutoa kauli ambazo zikwanza juhudi za kutafuta haki, ni upotoshaji na uchochezi. Na hata Kauli ya Mama Simba kwenye Hitima ya Dito Kuhusu Mkapa inabidi iwe questioned (itolewe wa taarifa) Bungeni, kama ndio Position ya Serekali au ilikuwa kauli yake Binafsi
 
Mkapa connection with Kiwira coal mine: The real facts

THISDAY REPORTER
Dar es Salaam

FORMER President Benjamin Mkapa and Cabinet minister Daniel Yona formed the private company Tanpower Resources Limited in 2004 with the specific intention of engaging in coal mining and power generation activities, according to available documentary evidence.

This is contrary to new reports claiming that Mkapa withdrew from the company after it acquired the previously state-owned Kiwira coal mine in Mbeya Region, and as such has never been an owner of the Kiwira mine.

The claim was attributed to the chief executive officer of the now-renamed Kiwira Coal and Power Limited, Francis Tabaro, in an interview this week with sections of the local press.

According to the memorandum of understanding and articles of association of Tanpower Resources Limited, the company was registered specifically to ’’deal with coal mining in order to generate electricity for consumption and sale; to generate power generators, transmitters and general distributors; and to provide power and general projects management, project appraisers and consultants’’, among other things.

THISDAY investigations have already established that the company was jointly registered in December 2004 by Mkapa and Yona ? while still serving as president and minister for energy and minerals, respectively - with various close relatives including wives, children and in-laws in tandem.

At the time of its registration, the first listed directors of Tanpower Resources were the then first lady Mrs Anna Mkapa; Yona himself; Nicholas Mkapa (the then president and first lady’s son); Joseph Mbuna (Nicholas Mkapa’s father-in-law); and one Evans Mapundi.

It has also been established that in the early stages of the Kiwira coal mine privatization, Mkapa was still listed as a shareholder of Tanpower Resources through ANBEM Limited, the private company that he formed in 1999 with former first lady Anna Mkapa while still at State House.

Official records at the Business Registration and Licensing Authority (BRELA) show that Tanpower Resources began official correspondences with the government even before the company was officially registered.

Records also show that Tanpower Resources announced to the government that it was interested in buying the Kiwira coal mine through written correspondence dated December 15, 2004 ? a good two weeks before the company was actually officially registered on December 29, 2004, and given a certificate of registration number 51080.

The records furthermore show that Tanpower Resources filed a statement at BRELA declaring that ANBEM Limited had forfeited its shares in the company two months after (and not before) the process of taking over the mine actually began.

According to the official documents, Tanpower Resources filed the statement on February 21, 2005, while the process of taking over Kiwira coal mine began in December 2004.

Again, in a letter dated January 4, 2005 from Evans Mapundi of Tanpower Resources to the then energy and minerals minister Yona, there is a reference to a previous communication between the company and the minister on December 15, 2004, over the privatization of the mine.

At the time of Mapundi’s correspondence with Yona, the then minister along with Mkapa were still bona fide shareholders of Tanpower Resources.

THISDAY investigations have also established that Mkapa and Yona - through their positions in government - were also directly involved in the privatization of the then state-owned Kiwira coal mine. And in mid-2005 - just a few months after its incorporation - Tanpower Resources entered into a joint venture with the government to acquire 70 per cent of the Kiwira coal mine shares.

The private company later increased its shareholding in the coal mine to 85 per cent, leaving the government with just 15 per cent.

Mr and Mrs Mkapa’s son, Nicholas, was initially appointed to the board of directors of the renamed Kiwira Coal and Power Limited Company, while Nicholas’ father-in-law (Joseph Mbuna) became board chairman.

Located in Mbeya Region, Kiwira is the country’s only bona fide coal mine, with an average annual output in excess of 35,000 tonnes of the key mineral.

The ex-president has for the past year or so been hounded by allegations of corruption and abuse of office over his apparently private business dealings at State House, including dubious involvement in the privatization of the Kiwira coal mine.

He recently gave his first formal public response to the allegations, describing himself as a mere pensioner surviving on government retirement benefits at a public rally in his home village in Masasi District, Mtwara Region.

But the statement did not go down well with political commentators including various legislators of both the ruling CCM and opposition parties, who say that Mkapa failed to adequately address the allegations against him.
 
Hosea kasema
Kumchunguza Mkapa ni kwa amri ya Rais na si zaidi .Sasa Kiwira ni Mkapa na hao wanaosema wanamtetea Mkapa.JK alisha sema mwacheni Mzee Mkapa apumzike.Haya aliyasema Brussels akiwa ziarani huko .Leo kuna Takukuru tena ??
 
Haya kumekucha, mwenye kuweza kupata KULIKONI atuwekee pia, nami nahangaikia nikipata nawawekea.

http://www.thisday.co.tz/News/4094.html

Mkapa connection with Kiwira coal mine: The real facts

THISDAY REPORTER
Dar es Salaam

FORMER President Benjamin Mkapa and Cabinet minister Daniel Yona formed the private company Tanpower Resources Limited in 2004 with the specific intention of engaging in coal mining and power generation activities, according to available documentary evidence.

This is contrary to new reports claiming that Mkapa withdrew from the company after it acquired the previously state-owned Kiwira coal mine in Mbeya Region, and as such has never been an owner of the Kiwira mine.

The claim was attributed to the chief executive officer of the now-renamed Kiwira Coal and Power Limited, Francis Tabaro, in an interview this week with sections of the local press.

According to the memorandum of understanding and articles of association of Tanpower Resources Limited, the company was registered specifically to ''deal with coal mining in order to generate electricity for consumption and sale; to generate power generators, transmitters and general distributors; and to provide power and general projects management, project appraisers and consultants'', among other things.

THISDAY investigations have already established that the company was jointly registered in December 2004 by Mkapa and Yona � while still serving as president and minister for energy and minerals, respectively - with various close relatives including wives, children and in-laws in tandem.

At the time of its registration, the first listed directors of Tanpower Resources were the then first lady Mrs Anna Mkapa; Yona himself; Nicholas Mkapa (the then president and first lady's son); Joseph Mbuna (Nicholas Mkapa's father-in-law); and one Evans Mapundi.

It has also been established that in the early stages of the Kiwira coal mine privatization, Mkapa was still listed as a shareholder of Tanpower Resources through ANBEM Limited, the private company that he formed in 1999 with former first lady Anna Mkapa while still at State House.

Official records at the Business Registration and Licensing Authority (BRELA) show that Tanpower Resources began official correspondences with the government even before the company was officially registered.

Records also show that Tanpower Resources announced to the government that it was interested in buying the Kiwira coal mine through written correspondence dated December 15, 2004 � a good two weeks before the company was actually officially registered on December 29, 2004, and given a certificate of registration number 51080.

The records furthermore show that Tanpower Resources filed a statement at BRELA declaring that ANBEM Limited had forfeited its shares in the company two months after (and not before) the process of taking over the mine actually began.

According to the official documents, Tanpower Resources filed the statement on February 21, 2005, while the process of taking over Kiwira coal mine began in December 2004.

Again, in a letter dated January 4, 2005 from Evans Mapundi of Tanpower Resources to the then energy and minerals minister Yona, there is a reference to a previous communication between the company and the minister on December 15, 2004, over the privatization of the mine.

At the time of Mapundi's correspondence with Yona, the then minister along with Mkapa were still bona fide shareholders of Tanpower Resources.

THISDAY investigations have also established that Mkapa and Yona - through their positions in government - were also directly involved in the privatization of the then state-owned Kiwira coal mine. And in mid-2005 - just a few months after its incorporation - Tanpower Resources entered into a joint venture with the government to acquire 70 per cent of the Kiwira coal mine shares.

The private company later increased its shareholding in the coal mine to 85 per cent, leaving the government with just 15 per cent.

Mr and Mrs Mkapa's son, Nicholas, was initially appointed to the board of directors of the renamed Kiwira Coal and Power Limited Company, while Nicholas' father-in-law (Joseph Mbuna) became board chairman.

Located in Mbeya Region, Kiwira is the country's only bona fide coal mine, with an average annual output in excess of 35,000 tonnes of the key mineral.

The ex-president has for the past year or so been hounded by allegations of corruption and abuse of office over his apparently private business dealings at State House, including dubious involvement in the privatization of the Kiwira coal mine.

He recently gave his first formal public response to the allegations, describing himself as a mere pensioner surviving on government retirement benefits at a public rally in his home village in Masasi District, Mtwara Region.

But the statement did not go down well with political commentators including various legislators of both the ruling CCM and opposition parties, who say that Mkapa failed to adequately address the allegations against him.
 
Natafakari tu. Mwanzoni mwa mwaka 2006 baada ya serikali mpya kuingia madarakani tulisoma kwenye vyombo vya habari kuwa waziri mkuu mstaafu Frederick Sumaye alikuwa na akaunti nje ya dola bilioni 10 (shilingi trilioni 10). Gazeti "Tanzania Leo" lililoshupalia habari hiyo kwa kujiamini sana likanunuliwa "kama njugu". Wiki iliyopita tu, baada ya kushtakiwa mahakama kuu na kushindwa kesi, mkurugenzi wa gazeti hilo ameripotiwa kukiri kuwa kweli habari ilikuwa ya kutungwa, na wamesuluhishana na Sumaye kwa makubaliano kuwa gazeti lilipe sh milioni 100 kuanzia desemba mwaka huu! Na tumesoma kwenye vyombo vya habari Sumaye akizipangia matumizi fedha hizo.

Na habari nyingine nyingi sana zinaandikwa, nyingi tunaziamini. Katika hizo nyingine labda za kweli na zina ushahidi dhahiri, nyingine zimepikwa na kuungwa! Na sisi wasomaji ambao hatuna mawasiliano na vyanzo hivyo vya habari, tunajikuta tukiamini tu.

Wapo waliotuhumiwa ufisadi wakatishia kwenda mahakamani, hawakwenda hadi leo! Karamagi, Mkono na wengine, waliitisha hadi mkutano wa waandishi wa habari na kusoma hotuba za vitisho, lakini hadi leo wameufyata! Wametuacha tutoe wenyewe hukumu tusiyoweza kuitekeleza, kuendelea tu kuwaita mafisadi ilhali wao wakiendelea "kutanua" huku wakichekelea "kelele za chura" zisivyoweza kumzuia tembo kunywa maji!

Sasa kama huyu Mkapa ana ujasiri kuliko wenzie, basi aende mahakamani kweli tujue zipi mbivu zipi mbichi! Sumaye kapatako milioni 100, pengine yeye atapata zaidi! Hebu akashitaki basi tumechoka sisi na habari nyingi zinazorudiwa rudiwa, huku serikali iliyoibiwa iko kimya (tunashindwa kujua ni kuwa haioni kosa au ni woga?) na mtuhumiwa pia ni "bubu"! Sasa angalao akienda huko mahakamani tutasikia japo sauti za mashahidi, na "ndugu zetu walio wasomi" (wanasheria) watatutafsiria maana yake.

Tunasubiri. Lakini ngoja ngoja huumiza matumbo! Na tumbo la kuhara halina haya! Na pasipo haya hapana kusitiriana. Na kuendelea na kuendelea ........!
 
Kuna umuimu kwa bunge letu kuipitia upya sheria ya pensheni ya viongozi wetu. Haiingii akilini kwa mtu aliyelifanyia uharamia taifa kwa kugawa rasilimali zetu kuendelea kutafuna kodi zetu kama mstaafu. Mtumishi wa kawaida anapoiba, sehemu yake ya kupumzikia ni gerezani na hawezi kupewa pensheni, sioni sababu kwa nini kwa hawa wanaojiita viongozi iwe tofauti. Kama kweli Sitta ana lengo la kufanya mageuzi bungeni, aliangalie na hili ingawa sina hakika kama yeye ni tofauti na wenzake.
 
Kuna mambo machache ya kujiuliza kwenye hili swala. Kulingana na barua ya kutoka Tanpower Resources inaonyesha wazi kilichofanyika ni ubinafsishaji wa mgodi.

Shughuli za ubinafsishaji zote (iwe kuuza, joint venture ama kukodisha ama management contract) zilikuwa zikifanywa na PSRC (Tume ya Rais ya Kurekebisha mashirika ya umma). Iweje hawa watu waandike barua kwa waziri wakiomba joint venture?

PSRC ilikuwa na orodha ya mashirika yote ya umma ambayo yalikuwa yanatakiwa kubinafsishwa, ilikuwaje hawa Tanpower Resources wakaandika barua kwa waziri badala ya kupeleka PSRC? Ina maana Yona ndio alikuwa anafanya kazi kwa niaba ya PSRC? Tukisema Yona aliingilia mchakato wa ubinafsishaji wa KCML tutakuwa tumekosea?

Bado hapo kuna swala la conflict of interest, Yona ni shareholder wa kampuni na ndiyo anaombwa na kampuni yake ili iingie ubia na shirika la umma lililo chini ya wizara yake, hapo kweli haki inaweza kutendeka? Kumbukeni MD/GM wa KMCL alikuwa anawajibika kwa Bodi ya Wakurugenzi, ambao mwenyekiti wa bodi ni mteule wa Rais (ambaye alikuwa na ANBEM) na wajumbe wa bodi huteuliwa na waziri (ambaye kwa wakati huo alikuwa ni Yona na pia ana hisa ndani ya kampuni), hapo kweli mnategemea Bodi ya Wakurugenzi ya KMCL ama CEO wa KMCL wa-question hiyo deal?

Bodi na CEO wakiona shareholders wa Tanpower Reources ni moja kwa moja wanakubali kila kitu bila hata kuuliza process nzima kama imefuata utaratibu. Matokeo yake ndo haya tunayoyaona leo hii. Na inawezekana hata hizo info za uchakavu wa mitambo ni za uongo ama CEO alishinikizwa aseme hivyo ili kupunguza market value ya mgodi na kuona kwamba Tanpower Resources ni mkombozi ambaye atasaidia kuzalisha umeme baada ya ku-inject capital.

Kwa kifupi kulingana na hiyo barua pamoja na maelezo mengineyo, Yona alikuwa mchezaji na refa kwa wakati mmoja. Halafu akatufunga bao huku mfungaji akiwa ameotea lakini kwa makusudi kabisa akapuliza kipyenga kwamba ni goli na mpira ukawekwa kati. Tutafika tu hata kama ni 2025!

Hapa kuna kasheshe kali na ndiyo maana ThisDay wanaendelea kumwaga data zaidi pamoja na huo mkwara mbuzi. Siku Mkapa akienda Mahakamani kujitetea kwenye hili deal atakuwa amejimaliza mwenyewe!
 
Kwenye sakata la EPA iligundulika kuna baadhi ya account zilifunguliwa benki siku ambazo hazikuwa siku za kazi. Haya ni makosa madogo madogo ambayo athari zake hutokea kuwa kubwa isivyotarajiwa. Mkapa alifikiri anatufunga goli bila kujua kuwa kwa move yake amezidi kuliacha goli lake wazi zaiidi. Nakumbuka mama Meghji alivyoitisha press conference na barua ambazo kwa vyovyote zisingekuwa credible.
 
Kitila Mkumbo,

Sam Nujoma Rd inaendelea kwa mwendo wa kusuasua mno,leo wakati natoka zangu Mbezi kuja mjini foleni ikaanzia Africana mpaka Mwenge kwenyewe,mtu unatoka nyumbani 05:50 a.m unafika Posta/Mjini 8:00 a.m!Kufika Mwenge nawakuta wachina na vibarua wao wana majembe na makoleo (as opposed to bulldozers,asphalt pavers and the like) wakijikongoja kujaza udongo na lami...damn it!!

Miundo Mbinu kwa kweli wa ovyo sana!!!
 
Mkapa connection with Kiwira coal mine: The real facts

THISDAY REPORTER
Dar es Salaam

FORMER President Benjamin Mkapa and Cabinet minister Daniel Yona formed the private company Tanpower Resources Limited in 2004 with the specific intention of engaging in coal mining and power generation activities, according to available documentary evidence.

This is contrary to new reports claiming that Mkapa withdrew from the company after it acquired the previously state-owned Kiwira coal mine in Mbeya Region, and as such has never been an owner of the Kiwira mine.

The claim was attributed to the chief executive officer of the now-renamed Kiwira Coal and Power Limited, Francis Tabaro, in an interview this week with sections of the local press.

According to the memorandum of understanding and articles of association of Tanpower Resources Limited, the company was registered specifically to ''deal with coal mining in order to generate electricity for consumption and sale; to generate power generators, transmitters and general distributors; and to provide power and general projects management, project appraisers and consultants'', among other things.

THISDAY investigations have already established that the company was jointly registered in December 2004 by Mkapa and Yona while still serving as president and minister for energy and minerals, respectively - with various close relatives including wives, children and in-laws in tandem.

At the time of its registration, the first listed directors of Tanpower Resources were the then first lady Mrs Anna Mkapa; Yona himself; Nicholas Mkapa (the then president and first lady's son); Joseph Mbuna (Nicholas Mkapa's father-in-law); and one Evans Mapundi.

It has also been established that in the early stages of the Kiwira coal mine privatization, Mkapa was still listed as a shareholder of Tanpower Resources through ANBEM Limited, the private company that he formed in 1999 with former first lady Anna Mkapa while still at State House.

Official records at the Business Registration and Licensing Authority (BRELA) show that Tanpower Resources began official correspondences with the government even before the company was officially registered.

Records also show that Tanpower Resources announced to the government that it was interested in buying the Kiwira coal mine through written correspondence dated December 15, 2004 a good two weeks before the company was actually officially registered on December 29, 2004, and given a certificate of registration number 51080.

The records furthermore show that Tanpower Resources filed a statement at BRELA declaring that ANBEM Limited had forfeited its shares in the company two months after (and not before) the process of taking over the mine actually began.
According to the official documents, Tanpower Resources filed the statement on February 21, 2005, while the process of taking over Kiwira coal mine began in December 2004.

Again, in a letter dated January 4, 2005 from Evans Mapundi of Tanpower Resources to the then energy and minerals minister Yona, there is a reference to a previous communication between the company and the minister on December 15, 2004, over the privatization of the mine.

At the time of Mapundi's correspondence with Yona, the then minister along with Mkapa were still bona fide shareholders of Tanpower Resources.

THISDAY investigations have also established that Mkapa and Yona - through their positions in government - were also directly involved in the privatization of the then state-owned Kiwira coal mine. And in mid-2005 - just a few months after its incorporation - Tanpower Resources entered into a joint venture with the government to acquire 70 per cent of the Kiwira coal mine shares.

The private company later increased its shareholding in the coal mine to 85 per cent, leaving the government with just 15 per cent.

Mr and Mrs Mkapa's son, Nicholas, was initially appointed to the board of directors of the renamed Kiwira Coal and Power Limited Company, while Nicholas' father-in-law (Joseph Mbuna) became board chairman.

Located in Mbeya Region, Kiwira is the country's only bona fide coal mine, with an average annual output in excess of 35,000 tonnes of the key mineral.

The ex-president has for the past year or so been hounded by allegations of corruption and abuse of office over his apparently private business dealings at State House, including dubious involvement in the privatization of the Kiwira coal mine.

He recently gave his first formal public response to the allegations, describing himself as a mere pensioner surviving on government retirement benefits at a public rally in his home village in Masasi District, Mtwara Region.

But the statement did not go down well with political commentators including various legislators of both the ruling CCM and opposition parties, who say that Mkapa failed to adequately address the allegations against him.
 
Rais (mstaafu) wa Tanzania Benjamin William Mkapa yuko katika mchakato wa mwisho kuyashtaki magazeti ambayo yamekuwa yakimwandama kwamba ni fisadi.

Habari kutoka ndani ya familia yake zinaeleza kuwa taratibu za kuyashitaki magazeti hayo zimekamilika na kilichokuwa kikisubiriwa ni kutolewa kwa taarifa za awali kwamba yeye na mkewe, mjasiriamali Anna Mkapa hawana hisa katika mgodi wa Kiwira.

Zaidi ya hapo inaelezwa kuwa magazeti yatakayoshikiwa bango ni Kulikoni, Thisday, Mwanahalisi, Mwananchi, Tanzania Daima, Majira na Mtanzania.

Mtoa habari huyo aliyeona makabrasha ya mashtaka hayo ameeleza kuwa kila gazeti litadaiwa bilioni mbili; akieleza kuwa anadai kiasi hicho kwa kuwa angalau kinalinganalingana na hadhi yake ndani na nje ya nchi.

Hivi majuzi kampuni ambayo ilinunua mgodi wa Kiwira wa kuzalisha makaa ya mawe iliibuka na kueleza kuwa Mkapa na mkewe hawana hisa eti kwamba walijitoa muda mfupi baada ya kugundua kuwa ilikuwa ikijiandaa kununua mgodi huo kwa bei ya kutupwa ya sh. milioni 700 (zililipwa 70 kwanza za kukopa kutoka Benki) wakati mgodi wenyewe ukiwa na gharama kubwa ya bilioni 4.

Mawakili sita wamejipanga kwa kazi hiyo, huku mmoja akiwa kutoka Afrika Kusini ambaye anaeleza kuwa mzoefu katika kesi zinazohusu kashfa kwenye vyombo vya habari.

Anajeuri sasa kwasababu Ushahidi haupo, wahindi wanasema (kush nehii) sasa ndio anajidai. Haya Baba Mahakama zipo nenda ila kumbuka Sio kila anayekwenda chooni haja kubwa ananawa vizuri usije ukazua mengine.
 
Back
Top Bottom