Mkapa above the law?: Allegations

Mkapa above the law?: Allegations

Son, you don't know what you're talking about. I have realized that I am wasting my time. Go back to reload for 2025 maybe you'll be ready by then, but I doubt it.

Ule muda mliokuwa nao hapa kuelendeleza uropokaji bila facts umeisha. I am back. Mmewafukuza watu wote ambao walikuwa na mawazo tofauti na mawazo yenu ili muendeleze ndiyo mzee. NO more. Toa mambo yako na tunajibu tupendavyo. Jibu hoja na kama data msubiri zinakuja family issue haiwezi kuwa natinal debate, nimekataa hiyo.
 
Tukisha rudisha Kiwira, then tutahamia kwenye Bandari ambayo tayari tumeirudisha, halafu tutaenda naye mpaka mwisho hakuna suluhu!
 
Ule muda mliokuwa nao hapa kuelendeleza uropokaji bila facts umeisha. I am back. Mmewafukuza watu wote ambao walikuwa na mawazo tofauti na mawazo yenu ili muendeleze ndiyo mzee. NO more. Toa mambo yako na tunajibu tupendavyo. Jibu hoja na kama data msubiri zinakuja family issue haiwezi kuwa natinal debate, nimekataa hiyo.

safi sana ! hiyo stailii inaitwa nje ndani !
 
Ule muda mliokuwa nao hapa kuelendeleza uropokaji bila facts umeisha. I am back. Mmewafukuza watu wote ambao walikuwa na mawazo tofauti na mawazo yenu ili muendeleze ndiyo mzee. NO more. Toa mambo yako na tunajibu tupendavyo. Jibu hoja na kama data msubiri zinakuja family issue haiwezi kuwa natinal debate, nimekataa hiyo.

Umekataa hiyo wewe kama nani Tanzania!!? You are nobody in Tanzania usitake kujikwezakweza na kujipa umaarufu usiokuwa nao. Walikamatwa waanzilishi wa JF kwa kisingizio kwamba ni wachochezi na wanatukana viongozi, lakini baada ya hao waliokamata hao vijana kuangalia JF kwa undani wakakosa ushahidi na wakaamua kuwaachia.

Vipofu na wale wasiowatakia mema Watanzania kama wewe ambao labda mlifaidika na ufisadi wa fisadi Mkapa kwa namna moja au nyingine siku zote hamtakubali ushahidi chungu nzima uliokusanywa dhidi ya fisadi Mkapa, lakini kwa Watanzania walio wengi sasa wanaelewa kwanini wanaambiwa uchumi umekuwa ukikua kwa silimia 5 au zaidi na wakati huo huo hawaoni improvement yeyote katika hali ya maisha yao. Kumbe mafisadi walikuwa wanachota mabilioni ya shilingi na kuinvest ndani na nje ya Tanzania. Mwalimu Nyerere alimwamini na kumuona mtu wa maana na hatimaye kumpigia debe ili awe Rais wa Tanzania, lakini hata kabla ya kufariki alishaanza kujutia uamuzi wake huo. Angekuwa hai leo hii asingeona aibu kuwaambia Watanzania kwamba wamsamehe kwa makosa makubwa aliyoyafanya wakati wa uhai wake wa kumpendekeza fisadi Mkapa ili awe Rais wa Tanzania. Angewaambia huyu mimi nilimuona huyu ni mnyenyekevu wa hali ya juu muadilifu na mchapa kazi mzuri sana, kumbe alikuwa kajivisha ngozi ya kondoo ni mwizi wa hali ya juu na asiye na mapenzi hata kidogo na Tanzania na Watanzania.

Za mwizi ni arobaini na fisadi Mkapa maji yameanza kumfika shingoni na sasa anatapatapa huku na kule. Anajua kibano chake hakiko mbali na siku hiyo Watanzania wa kila kona ya Tanzania na wale walio nje ya Tanzania watashangilia kwa nderemo, makofi na vifijo vya hali ya juu fisadi Mkapa atakapoonekana ana hatia ya wizi wa mabilioni na hivyo kupelekwa lupango na mali yake yote ndani na nje ya nchi kufilisiwa. Nchi nyingi za Afrika hili liliwezekana na Tanzania pia litawezekana.

Itakuwa ni aibu iliyoje kwa njemba iliyojiita 'mr clean' na 'awamu yake ya uwazi na ukweli' kumbe ilikuwa ni changa la macho ni mwizi wa hali juu na hana uwazi na ukweli wowote. Pamoja na Watanzania kumlipa mshahara na marupurupu manono ili awatumike vizuri lakini kwa tamaa ya fisi aliyokuwa nayo akaona hazimtoshi ikabidi afanye wizi ili akidhi matakwa yake ya kuwa tajiri wa kupindukia. Hili litakuwa ni fundisho kubwa kwa wanasiasa wote ndani ya Tanzania na nchi za Afrika kuacha kutumia nyadhifa zao ili kujitajirisha.
 
Naomba wabunge, kwanza wamtoe hiyo immunity yake, pili wakate Pension yake by half, tatu wataifishe 90% ya malizake au mali zote alizopata kwa ufisadi, kunyanganya diplomatic passport, kuondoa jina lake kwenye majengo na shule na daraja, then wanaweza kumwachia huru itakuwa adhabu tosha kwake na nkewe, na kumuachia huo ulinzi kidogo, na atleast a reasonable hse ya kuishi

Mwacheni Mzee Mkapa apumzike.

Kama Rais wa awamu ya tatu amefanya kazi nzuri tu ambayo tunatakiwa tumuenzi. Ninaamini kuwa alijitahidi kwa kadri ya uwezo wake aliopewa na Mwenyezi Mungu kuiongoza nchi yetu kwa muda wote huo.

Mapungufu ya Mzee Mkapa ni sehemu ya maisha ya binadamu kwani hata wewe unamapungufu yako.

Kama una hoja nzito ya tuhuma dhidi yake basi tumia uhuru wako wa kupeleka vielelezo hivyo mahali husika, kama wewe ni mwoga wa kupeleka hivyo vielelezo basi mtumie mwanasheria wako akusaidie kufanikisha hayo.

Aidha, mtundiko wako hapo juu hauna nguvu yeyote zaidi ya kuonesha chuki binafsi dhidi ya Mzee Mkapa.
 
Mwacheni Mzee wetu apumzike .........................,

Atapumnzika sana kaburini kuwa join Mobutu Sese seko kuku wa Zabanga, Idi Amini, Bokasa na wengineo ambao wako kwenye kusaga meno bila kusahau DITO muuaji ambaye aliachiwa huru na serikali ya JK.
 
Mwacheni Mzee Mkapa apumzike.

Kama Rais wa awamu ya tatu amefanya kazi nzuri tu ambayo tunatakiwa tumuenzi. Ninaamini kuwa alijitahidi kwa kadri ya uwezo wake aliopewa na Mwenyezi Mungu kuiongoza nchi yetu kwa muda wote huo.

Mapungufu ya Mzee Mkapa ni sehemu ya maisha ya binadamu kwani hata wewe unamapungufu yako.

Kama una hoja nzito ya tuhuma dhidi yake basi tumia uhuru wako wa kupeleka vielelezo hivyo mahali husika, kama wewe ni mwoga wa kupeleka hivyo vielelezo basi mtumie mwanasheria wako akusaidie kufanikisha hayo.

Aidha, mtundiko wako hapo juu hauna nguvu yeyote zaidi ya kuonesha chuki binafsi dhidi ya Mzee Mkapa.
i like dat !
 
Umekataa hiyo wewe kama nani Tanzania!!? You are nobody in Tanzania usitake kujikwezakweza na kujipa umaarufu usiokuwa nao. Walikamatwa waanzilishi wa JF kwa kisingizio kwamba ni wachochezi na wanatukana viongozi, lakini baada ya hao waliokamata hao vijana kuangalia JF kwa undani wakakosa ushahidi na wakaamua kuwaachia.

Vipofu na wale wasiowatakia mema Watanzania kama wewe ambao labda mlifaidika na ufisadi wa fisadi Mkapa kwa namna moja au nyingine siku zote hamtakubali ushahidi chungu nzima uliokusanywa dhidi ya fisadi Mkapa, lakini kwa Watanzania walio wengi sasa wanaelewa kwanini wanaambiwa uchumi umekuwa ukikua kwa silimia 5 au zaidi na wakati huo huo hawaoni improvement yeyote katika hali ya maisha yao. Kumbe mafisadi walikuwa wanachota mabilioni ya shilingi na kuinvest ndani na nje ya Tanzania. Mwalimu Nyerere alimwamini na kumuona mtu wa maana na hatimaye kumpigia debe ili awe Rais wa Tanzania, lakini hata kabla ya kufariki alishaanza kujutia uamuzi wake huo. Angekuwa hai leo hii asingeona aibu kuwaambia Watanzania kwamba wamsamehe kwa makosa makubwa aliyoyafanya wakati wa uhai wake wa kumpendekeza fisadi Mkapa ili awe Rais wa Tanzania. Angewaambia huyu mimi nilimuona huyu ni mnyenyekevu wa hali ya juu muadilifu na mchapa kazi mzuri sana, kumbe alikuwa kajivisha ngozi ya kondoo ni mwizi wa hali ya juu na asiye na mapenzi hata kidogo na Tanzania na Watanzania.

Za mwizi ni arobaini na fisadi Mkapa maji yameanza kumfika shingoni na sasa anatapatapa huku na kule. Anajua kibano chake hakiko mbali na siku hiyo Watanzania wa kila kona ya Tanzania na wale walio nje ya Tanzania watashangilia kwa nderemo, makofi na vifijo vya hali ya juu fisadi Mkapa atakapoonekana ana hatia ya wizi wa mabilioni na hivyo kupelekwa lupango na mali yake yote ndani na nje ya nchi kufilisiwa. Nchi nyingi za Afrika hili liliwezekana na Tanzania pia litawezekana.

Itakuwa ni aibu iliyoje kwa njemba iliyojiita 'mr clean' na 'awamu yake ya uwazi na ukweli' kumbe ilikuwa ni changa la macho ni mwizi wa hali juu na hana uwazi na ukweli wowote. Pamoja na Watanzania kumlipa mshahara na marupurupu manono ili awatumike vizuri lakini kwa tamaa ya fisi aliyokuwa nayo akaona hazimtoshi ikabidi afanye wizi ili akidhi matakwa yake ya kuwa tajiri wa kupindukia. Hili litakuwa ni fundisho kubwa kwa wanasiasa wote ndani ya Tanzania na nchi za Afrika kuacha kutumia nyadhifa zao ili kujitajirisha.

this wont work !
 
Ni sahihisho tu la kichwa cha habari... jadili

Kiwira yamsafisha Mkapa
Mwandishi Wetu
Daily News; Sunday,June 01, 2008 @19:01

Uongozi wa Kampuni ya Kiwira Coal and Power Ltd (KCP) inayomiliki mgodi wa Kiwira, umekanusha madai kuwa Rais mstaafu Benjamin Mkapa na mkewe Anna ni miongoni mwa wamiliki wa mgodi huo.

Badala yake, mgodi huo umesema Kampuni ya ANBEN inayomilikiwa na Mkapa na mkewe, ambayo awali ilikuwa sehemu ya Kampuni ya Tanpower, ilijitoa baada ya baadhi ya wanahisa wenzake kuwa na mpango wa kununua mgodi huo.

Mtendaji Mkuu wa KCP, Francis Tabaro, alisema ingawa katika hati za umiliki (Articles of Association) inaonyesha kuwa Mkapa ni sehemu ya Tanpower, lakini baadaye alijitoa.

“Ni kweli ANBEN ilikuwa sehemu ya Tanpower lakini baada ya wazo la kununua Kiwira kuingizwa na wadau wenzake, yeye aligoma akaona aitoe kampuni yake katika Tanpower,” alisema Tabaro.

Tabaro pia alikanusha madai kuwa Anna Mkapa aliwahi kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Kiwira na akaeleza kuwa madai hayo hayana ukweli wowote, kwani kampuni hiyo haihusiani na kiongozi huyo.

Tabaro aliwataja wakurugenzi wa KCP kuwa ni Joseph Mbuna ambaye ni Mwenyekiti, Mafuru M. Mafuru, Wilfred Malkia na Evans Mapundi wakati serikali yenye hisa 15 katika mgodi huo inawakilishwa na Omari Chambo ambaye kwa sasa ni Katibu Mkuu wa Wizara ya Maendeleo ya Miundombinu na Katibu Tawala wa Mkoa wa Mbeya, Asumpta Ndimbo.

Tabaro alisema upotoshaji unaofanywa na vyombo vya habari kuwa Rais mstaafu Mkapa ni sehemu ya wamiliki wa mgodi huo, hazina ukweli, bali zinalenga kuharibu jina la kampuni ambayo imechukua hatua ya kuendesha mgodi huo.

“Mkapa, mkewe au familia yake si sehemu ya wamiliki wa mgodi huu,” alisisitiza huku akionyesha kukerwa na namna alivyodai kuna upotoshaji wa makusudi unaofanywa na vyombo vya habari.

Alisema lengo la kuripoti habari hizo ni kutaka serikali iwe na mtazamo hasi juu ya mgodi huo, hali ambayo inaweza kuzorotesha uzalishaji wa makaa ya mawe. Tabaro pia alisema kitendo cha baadhi ya maofisa wa serikali kutoa maelezo kuwa mgodi huo unachunguzwa kuhusiana na madai kuwa ulichukuliwa isivyo halali na Kampuni ya KCP, kunaweza kukaifanya kampuni hiyo kushindwa kupata fedha za kuendesha mradi huo.

Alisema kampuni yao ina mpango wa kupata fedha kutoka taasisi za benki hivyo mtazamo hasi kutoka kwa maofisa wa serikali utaathiri namna ya upatikanaji wa fedha hizo na wakati mwingine taasisi hizo zinaweza kutoa mkopo kwa masharti magumu kutokana na wasiwasi wa kisiasa.

“Cha kushangaza ni kwamba serikali iko kimya kuhusiana na madai hayo, hali ambayo haionyeshi kutatua tatizo hilo,” alisema Tabaro. Akieleza tuhuma za kununua mgodi huo kwa Sh milioni 700 wakati mgodi umejengwa kwa Sh bilioni nne, Tabaro alisema wakati kampuni inanunua mgodi huo ulikuwa chakavu na mashine zake zilikuwa hazifai kuendeleza uzalishaji.

Alisema ndiyo maana KCP imeamua kutumia Sh bilioni 48 kwa ajili ya kuweka mitambo ili angalau mgodi huo uweze kuwa na uwezo wa kuzalisha tani 300,000 kwa mwaka. Wakati KCP inatoa utetezi huo, hivi karibuni Mbunge wa Vunjo, Aloyce Kimaro (CCM), alidai bungeni kuwa mgodi huo ambao ulijengwa na serikali kwa Sh bilioni nne umeuzwa kwa Mkapa na aliyekuwa Waziri wa Nishati na Madini, Daniel Yona.

Hata hivyo, Tabaro alisema Waziri huyo wa zamani Yona pia si mmoja wa wamiliki wa mgodi huo kama ambavyo inaripotiwa katika vyombo vya habari. Wiki iliyopita, Rais Mstaafu Mkapa akiwa nyumbani kwake Kijiji cha Lupaso wilayani Masasi Mkoa wa Mtwara, alisema tuhuma zote za ufisadi zinazoelekezwa kwake ni za uongo na zinaenezwa na watu ambao walitegemea kupata upendeleo wakati wa utawala wake, lakini hawakupata.

Mkapa ambaye enzi za utawala wake alijulikana kwa falsafa yake ya Uwazi na Ukweli, pia alisema yeye si tajiri, bali anaishi kwa pensheni ya serikali kama mstaafu kama walivyo viongozi wengine.
 
baadhi yetu humu baada ya kusikia hizi accusations tulijua tu kwamba hakuna ukweli wowote ndani yake, hivyo sitoshangaa kuona "wanaomuandama mzee mkapa" wakiondoka patupu !

hizi accusations ni part ya ile take over campaign inayofanywa na akina nanihii wakitaka kupaka mavi kila sehemu. but ooh my goooshhh its not working for them.
 
Bomani mining sector review team recommends: Formal probe into Kiwira

-Also advises against privatization of government mining firm

THISDAY REPORTER
Dar es Salaam

THE report of the presidential mining sector review committee has called for a swift, formal investigation into the privatization of the formerly state-owned Kiwira coal mine, which was sold under dubious circumstances in 2005 to a private company formed by ex-president Benjamin Mkapa and his cabinet minister Daniel Yona.

The committee's long-awaited report, presented to President Jakaya Kikwete at State House on Saturday, has also recommended an urgent probe into reports that some assets of the Kiwira mine were being sold off as scrap metal by the Mkapa-Yona company, Tanpower Resources Limited.

According to THISDAY findings, the report proposes a full review of the mine's privatization contract, to establish whether or not the investor company is fulfilling its contractual obligation, and an official investigation into reports that ex-workers of the coal mine were given a raw deal in the payment of their terminal benefits.

The committee, chaired by retired Judge Mark Bomani, also recommends an assessment of reports that the coal mining operations are polluting the nearby Kiwira River in Mbeya Region, and verification of claims by Tanpower Resources that it has invested 13bn/- in developing the coal mine since buying a majority 70 per cent stake some three years ago.

According to a source familiar with the committee's workings: "Members of the committee who visited the Kiwira mine were unconvinced that the investors had really spent the stated 13bn/- to develop the mine."

It is understood that Tanpower Resources bought the 70 per cent majority stake in the Kiwira coal mine for just 700m/-, while the mine itself was built in the 1980s at a cost of over 4bn/-.

The coal-fired power project at the mine signed a 20-year, $271.8m (approx. 340bn/-) deal with the state-run Tanzania Electric Supply Company Limited (TANESCO) in 2006 for the generation of 200 megawatts of electricity, but has so far been failing to meet production deadlines.

Investigations by THISDAY have long established that way back in December 2004, Mkapa and Yona while still serving as president and minister for energy and minerals, respectively jointly founded Tanpower Resources Limited, with various close relatives including wives, children and in-laws in tandem.

At the time of its registration, the first listed directors of Tanpower Resources were the then first lady Mrs Anna Mkapa; Yona himself; Nicholas Mkapa (the then president and first lady's son); Joseph Mbuna (Nicholas Mkapa's father-in-law); and one Evans Mapundi.

Among other things, the company was licensed to deal with coal mining in order to generate electricity for consumption and sale; to generate power generators, transmitters and general distributors; and to provide power and general projects management, project appraisers and consultants.

It has further been established that Mkapa and Yona - through their positions in government - were also directly involved in the privatization of the then state-owned Kiwira coal mine. And in mid-2005 - just a few months after its incorporation - Tanpower Resources entered into a joint venture with the government to acquire 70 per cent of the Kiwira coal mine shares. The private company later reportedly increased its shareholding in the coal mine to 85 per cent, leaving the government with just 15 per cent.

Apart from commenting on the controversial privatization of the Kiwira mine, the larger part of the report dwells on the country's gold mining sector.

It advises the government to shelve plans for the privatization of the State Mining Corporation (STAMICO) and the sale of its remaining shares in the Williamson Diamond Mine in Shinyanga Region, as part of a major policy u-turn on state involvement in large-scale mining activities in the country.

Before its sale to Tanpower Resources, the Kiwira coal mine was owned 100 per cent by STAMICO.

The final report of the mining sector review committee has also called for a radical shift in policy towards direct government participation in large-scale mining operations.

It is suggested that the government and Tanzanian citizens should play a more prominent role in the country's mining sector and reduce the dominance of foreign companies in the sector.

"The committee has recommended that the government should remove STAMICO from the list of parastatals earmarked for privatization," said a well-placed source, adding: "Instead, the report recommends that the parastatal be strengthened and turned into a government executive agency responsible for resource development, through exploration, development of mines and engagement in other businesses in the mining sector on behalf of the government."

STAMICO, an ailing parastatal under the Ministry of Energy and Minerals, is currently responsible for mineral exploration and production activities.

Apart from Judge Bomani, other members of the committee included Pricewaterhouse Coopers tax administration expert David Tarimo, former industries and trade minister Iddi Simba, Kigoma North Member of Parliament Zitto Kabwe (CHADEMA), and Bariadi East legislator John Cheyo (UDP).

Also in the team were CCM legislators Dr Harrison Mwakyembe (Kyela) and Ezekiel Maige (Msalala), as well as Ms Maria Kejo from the Ministry of Justice and Constitutional Affairs, Edward Kihundwa from the Ministry of Lands, Housing and Human Settlement, Mugisha Kamugisha from the Ministry of Finance and Economic Affairs, Ms Salome Makange from the Ministry of Energy and Minerals, and Peter Machunde from the Dar es Salaam Stock Exchange (DSE).
 
Mimi nashauri topic zote zinazomhusu Mkapa ziunganishwe halafu zipelekwe kwenye udaku au closed topic. Kama tunataka kujadili hii issue tena basi iwe at the next level siyo ya udaku na uropokaji kukuza heshima ya forum.
 
Mkwe anamtetea Mkwe kua si fisadi.... Hiki ni kichekesho cha mwaka!!!

Hata kama Ben na Anna (ANBEN) walijiondoa kwenye Tanpower just before kununua Kiwira, hivi huyu bwana Joseph Mbuna anafikiria kwamba wadanganyika wote ni wajinga kiasi cha kushindwa kuziona elements za kifisadi zinazojionyesha kiwaziwazi? Hata mtoto wa darasa la nne hawezi kushindwa kuziona elements za conflict of interest zinazijionyesha waziwazi katika suala hili. Kama Mkapa na Mkewe through ANBEM walijitoa kwenye ushirika wa TANPOWER basi wakwe zake, kama watu wa karibu na Mkapa, hawakupaswa kupewa dhamana ya kumiliki Kiwira hata kama Mkapa alijitoa kiujanja kwenye calculation hii. Kuendelea kuwemo kwao akina Mbuna katika mchanganuo wa ugombeaji wa tenda ya kumiliki wa Kiwira ilikuwa ni kinyume cha taratibu za ushiriki wa tenda hiyo, hivyo automatically walishakuwa disqualified from the beginning. Kwa kuwa walishakuwa disqualified from the beginning, basi umiliki wao wa Kiwira ni batili.

Huu ni wakati mwanana kwa siri-kali kuwarudishia hawa watu vijisenti vyao na kuiweka wazi tena tenda hii ili kiwanda kiweze kuuzwa kwa bei inayostahili. Hii haitakuwa ni mara ya kwanza kwa serikali kufanya hivyo, kwani tumeshashuhudia bwana Rostam Aziz akiongezewa dau la kulipia kile kiwanja cha Gymkhana baada ya kugundulika kwamba kuna mazingira ya utata katika manunuzi yake.

Mimi nafikiri tumshukuru bwana Joseph Mbuna kwa kutupatia data nzuri zaidi kutuelekeza mbinu za kifisadi zilizotumiwa na Bwana Mkapa, mkewe na wakwe zao katika kutuibia wakiwa ikulu. Ninavyoona ni kwamba yeye bwana Mbuna anadhani kwa kusema hivyo ndio anakuwa anamnasua Mkapa kutoka katika kashfa hii ya Kiwira, kitu ambacho ni kinyume na anavyofikiri.

Asante bwana Joseph Mbuna kwa kutupa more leads za namna ya kumbana bwana Mkapa.
 
Hii timu ya wasomi na watu wenye uwezo mkubwa katika kuchanganua mambo hawawezi kutoa recommendation ya uchunguzi zaidi juu ya umiliki wa KCM ikiwa waliitembelea KCM na kuzungumza na viongozi wa juu wa KCM na hili la umiliki wa KCM lazima lilizungumzwa. Kwanini walipokuwa pale KCM hawakupewa hii taarifa ya kwamba Fisadi Mkapa si mmiliki wa KCM?

Hii habari haikuwa siri ilikuwa imeenea nchi nzima kuhusu tuhuma dhidi ya fisadi Mkapa. Sasa timu ta Bomani imetoa ripoti yao na katika moja ya recommendation yao ni uchunguzi zaidi wa jinsi fisadi Mkapa alivyomiliki KCM, leo wanaibuka from nowhere na kutumwagia changa la macho eti fisadi Mkapa siyo owner wa KCM!!!! Basi hii kamati ilidanganywa mno na uongozi wa juu wa hapo KCM. Duh!!!! Tanzania kweli sheria inawabana walalahoi tu!!!
 
Hivi watu mnakuwa na uhakika na habari mnazoongea ama kuropoka tu.Wao wanaosema Sophia Simba si mke wa Iddi Simba ni majina tu inabidi waache kurupuka na inaonyesha kiasi gani data zao zisivyo na uhakika.

Sipingi mtu aliyechukua pesa ya nchi kuchukuliwa hatua ila mambo yanayo ingizwa kwenye habari haya huyu mwingine anasema ni hawara wa kitwana kondo where doyou get this from? ok it mighty be true but is it necessary to put on the table all this shit.
Na wengine wanakuja juu tunavyoambia kwamba si wamesema twende mahakamani,sas ulitakaje mahakamani si ndio kwenyewe .Stop crying be a big boy,and stop talking shit in guniune issue
 
Back
Top Bottom