Sir John Roberts
JF-Expert Member
- Mar 1, 2017
- 9,639
- 15,970
Kibunda imetembeaaa
Kibatara ni pesa Yako tu hata ukikutwa na kisu chenye damu,kesi ni biasharaNa huyo Revocatus Everist Muyella naye kachomoka!! Hatma ya kesi ya msingi ikoje? Kama hahusiki, muuaji halisi ni nani? Miaka 8 kwa nini serikali imekomaa na watuhumiwa ambao hawana ushahidi nao wa kutosha?
Nadhani kuna uzembe kwa wapelelezi wetu! Ila pia Wakili Msomi Peter Kibatala na jopo lakr watakuwa wametisha sana. Maana wameigaragaza Jamhuri kwa mara nyingine tena.
siku makonda akija kujikuta kizimbani kama sabaya ndio utakuwa mwisho wa kuidharau mahakama. sabaya hawezi kabisa kutamka hayo maneno.Makonda maneno yake kwamba mahakama hakuna haki kwa wanyonge nahisi yana ka ukweli
Mbona hao ni wapare au umekariri?Machame line
Miaka saba ni kifungo tosha.Miaka 7+ mahabusu si mchezo , mwenye fedha hafungwi.
Ni Mmachame.Mbona hao ni wapare au umekariri?
sawa msuya ukiolewa na mpare nawe unakuwa mpareMbona hao ni wapare au umekariri?
Kwa nini wengi wanapinga hii hukumu utadhani wana uhakika kuwa ni yeye aliua? kwani huyo dada wa ''bilionia'' aliyeuawa ndugu zake hawana fedha? Wazazi hawakubakia na chochote?Sheria haioni ndani kweli pesa. Mawakili wetu wanajua kuchangamkia fursa. Ndio maana Magu alikuwa hataki ujinga
Jamaa walikuwa wanavuta muda kidogo watanzania wasahau
Tafuta pesa sana Utaipenda hii nchi. Kesi ni Biashara nzuri Tanzania
Chief kama una ushahidi wa kumtia hatiani huyo mwanamke si uupeleke mahakamani ili haki itendeke?Makonda maneno yake kwamba mahakama hakuna haki kwa wanyonge nahisi yana ka ukweli
ushirikina je?,lakini kwenye rufaa atachomokaa!😭Kibunda imetembeaaa
true. wanamhukumu kwa kabila lake kisa mchaga wa machame.Kwa nini wengi wanapinga hii hukumu utadhani wana uhakika kuwa ni yeye aliua? kwani huyo dada wa ''bilionia'' aliyeuawa ndugu zake hawana fedha? Wazazi hawakubakia na chochote?