Video: Dada wa Bilionea Msuya aangua kilio Mahakamani baada ya Mke wa Msuya kuachiwa huru

Hayo ndio matokeo ya ndoa za mume kutoka ukoo tajiri kuoa mke kutoka ukoo maskini.

Mali zinahamishwa kinguvu kutoka kwenye ukoo kwa mauaji ya kutisha.

Maskini hawanaga utu.

Wahindi na waarabu wanayajua haya vizuri sana. Ndio maana hawaoi hovyo hovyo

Imagine LuLu alifungwa jela kwenye kesi ya Kanumba kwa ushahidi wa mazingira.

Hakuna aliyemuona lulu akiua. Wala hakukiri kama amemuua kanumba.

Ila huyu mama msuya anaambiwa hajaua hakuna aliyemuona akiua
 
Aliyekua na Cash alishafariki, Cash imebaki kwa Mkewe ambaye alikua Mshtakiwa....!

Ndugu wa Marehemu Msuya hawana Pesa...!

Kuna familia unakuta Mzazi anawekeza kwa mtoto wake kama Marehemu Msuya, na ndugu wengine wanaomfatia wakakosa msaada sawa, kwa kigezo kwamba Kaka mkubwa akisaidika, atasaidia Wadogo zake, mwisho siku kinatokea kama kilichotokea....!!!

Mbaya zaidi mpaka Dada wa Kaka Mkubwa wa familia anapoteza Maisha kisa ni mdogo wa kike wa Kaka mkubwa Tajiri...!

Kaka mkubwa. Kaacha ukwasi kwa mke.... Maumivu yanakua mara 2 kwa familia ta Msuya.
 
Back
Top Bottom