Miss JF 2023 FaizaFoxy: Wanaonitongoza waje hapa

Miss JF 2023 FaizaFoxy: Wanaonitongoza waje hapa

Nikinywa maji nakuona kwenye glasi, nikijiangalia kwenye kioo naona sura yako, macho yako mazuri yananiita ita. Rangi yako ya chocolate naipenda sana

Nikilala sipati usingizi mpaka niangalie picha yako, mapigo yangu ya moyo yanadunda kwa kutaja jina lako, unajina zuri sana natamani kila muda nikuite.

Kama ingekuwa naweza kuufungua moyo wangu ningekuonyesha nilivyokuhifadhi moyoni mwangu, uone jinsi gani ninavyokupenda.

Nakupenda sana mrembo.
(Just joking, usije ukanikubalia)

Sent using Jamii Forums mobile app
hahahhaha nimependa last comment!!!

btw happy new year and miss you plenty!!!!
 
Pm huwa sijibu upuuzi, tongoza hapa hapa, usiwe domo zege.
Oooh...! Mimi nikinywa maji nakuona kwenye grass. Halafu unajuaaaa mama hapa nilipo huu mchana nakuota wewe,nikitembea nakuota wewe tu. Nimemaliza. Aaah...! Nilisahau na hili nionee huruma na hili nalo sijui umenipa nini?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom