Miss JF 2023 FaizaFoxy: Wanaonitongoza waje hapa

Miss JF 2023 FaizaFoxy: Wanaonitongoza waje hapa

Nataka niwafundiahe heshima na adabu ya kuheshimu nyuzi na mada za watu. Utakuta jukwaa la siasa mtu eti anakutongoza. Alaaa.
hiyo kwenye avatar ndio picha yako??????😀😀😀😀😀😀😀😳😳😳😳😳😳😳😳😳😳😳😳ili nijue pakuanzia
 
Nataka niwafundiahe heshima na adabu ya kuheshimu nyuzi na mada za watu. Utakuta jukwaa la siasa mtu eti anakutongoza. Alaaa.
Kuna siku unakuja na mada za dini, siku zingine sijui unakumbwa na nini.....
Itaqillah..... Muogope Allah.
Usitafute umaarufu ukajikuta unajiingiza matatani.

Sent from my MHA-L29 using JamiiForums mobile app
 
Wale wote wanaojidai kunitongoza majukwaa ambayo hayahusiani na mahusiano, waje hapa kwenye jukwaa mahsusi kwa ajili hiyo.

Wacheni kuharibu nyuzi na mada za watu kwenye majukwaa yasiyohusiana na kutongozana

Hii inawahusu na wale wanaokuja kunikera PM... Karibuni hapa, mshindane kunitongoza.
Nipo hapa nianze na mstari gani?
 
Back
Top Bottom