Miss JF 2023 FaizaFoxy: Wanaonitongoza waje hapa

Miss JF 2023 FaizaFoxy: Wanaonitongoza waje hapa

Tupia kapicha
Wale wote wanaojidai kunitongoza majukwaa ambayo hayahusiani na mahusiano, waje hapa kwenye jukwaa mahsusi kwa ajili hiyo.

Wacheni kuharibu nyuzi na mada za watu kwenye majukwaa yasiyohusiana na kutongozana

Hii inawahusu na wale wanaokuja kunikera PM... Karibuni hapa, mshindane kunitongoza.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Faiza Mpenzi hujambo? Nimetuma initial uko vizuri Faiza nimetokea kukupenda sana moyo wangu umekudondokea mnooo naomba nikuhonge ma ngo'mbe nakupenda, sana Faiza niko tayari nigandishe midomo yangu na yako tunatane milele Faiza mummy kwa kweli utani changanya akili Sema unataka nini? Faiza niko tayari kulamba unyayo hadi ule Utando mchungu wa ndani ya siko ni Tajikaza tu sasa ntafanyeje na ni eshakudondokea Faiza nifikilie mama nakupenda kwa zati kabisaa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wale wote wanaojidai kunitongoza majukwaa ambayo hayahusiani na mahusiano, waje hapa kwenye jukwaa mahsusi kwa ajili hiyo.

Wacheni kuharibu nyuzi na mada za watu kwenye majukwaa yasiyohusiana na kutongozana

Hii inawahusu na wale wanaokuja kunikera PM... Karibuni hapa, mshindane kunitongoza.
Hawajui kuwa wewe ni dume ila umejibadili ili utetee watu wa lumumba na chama kizee ccm.
Huku aliyekutuma umtetee anakunanga waislam hamjasoma hivyo teuzi mnasoma namba
 
"I love you faiza,unaumiza sn mtima wng mbona hutaki kunikubalia!!! sikia ombi langu...mwaka wa tatu huu sili sinywi nihurumie plz"....vp mtihani nimepita au niendelee faiza

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Amekaa ndoani miaka 40 ,sio ana miaka 40
Watu mbona mnakuwa wagumu sana kuelewa hebu soma tena nilichoandika na yule niliyemquote kaandika nini. Root kasema Faiza ana miaka 40 ndoani kwa hiyo ni bibi yake...kwa maana mtoto wa kwanza wa Faiza tunamkadiria ana miaka 40 au chini ya hapo, ina maana huyu mtoto wa Faiza anatosha kuwa mzazi wa huyu mwanaJf mwenzetu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom