Oohhhh Faiza hakika umeumbika wewe mwanamke kwangu hujazeeka nakuona kama binti wa miaka19
Uzuri wa sura yako na macho yako vinanipa tafsiri ya mwanamke mrembo dunia nzima hakika sijaona mwanamke mrembo na mzuri kama wewe..
Napenda ngozi yako vile imechanua na harufu yake ya kiutu uzima vinafanya nizame kwenye penzi lako Faiza fox..
Umbo lako maridadi lenye asili ya kiafrika halinichoshi kukutazama nakupenda sana
faiza foxy
Nakuomba unipe ridhaa nikae japo ndani ya kongosho lako naaminii badae utanipandisha cheo na kuniweka ndani ya moyo wako
Faiza foxy nakupenda naomba unipe heshima niwe mpenzi wako wa kudumu,naahidi kukupa mapenzi na mahitaji yote ya moyo wako..