benluv
JF-Expert Member
- Feb 13, 2016
- 441
- 343
mimi nakupenda hadi nabanwa na haja ndogo,nikinywa maji nakuona kwa glass
usiku silali nakuota wewe tu
nikitembea naskia kama unaniita
ukinikubali ntakuletea zawadi ya perememnde na juice
nipe nafasi nikuweke moyoni...
dah ....ntaendelea
usiku silali nakuota wewe tu
nikitembea naskia kama unaniita
ukinikubali ntakuletea zawadi ya perememnde na juice
nipe nafasi nikuweke moyoni...
dah ....ntaendelea
Wale wote wanaojidai kunitongoza majukwaa ambayo hayahusiani na mahusiano, waje hapa kwenye jukwaa mahsusi kwa ajili hiyo.
Wacheni kuharibu nyuzi na mada za watu kwenye majukwaa yasiyohusiana na kutongozana
Hii inawahusu na wale wanaokuja kunikera PM... Karibuni hapa, mshindane kunitongoza.