Kilele9
JF-Expert Member
- Jun 1, 2017
- 1,452
- 1,101
Ambao hatutaki/hatujawahi/hatuna mpango wa kukutongoza tunaweka wapi comments zetu?
Hilo swali umeweka wapi?
Ambao hatutaki/hatujawahi/hatuna mpango wa kukutongoza tunaweka wapi comments zetu?
Tujage tukichime nkima waneWale wote wanaojidai kunitongoza majukwaa ambayo hayahusiani na mahusiano, waje hapa kwenye jukwaa mahsusi kwa ajili hiyo.
Wacheni kuharibu nyuzi na mada za watu kwenye majukwaa yasiyohusiana na kutongozana
Hii inawahusu na wale wanaokuja kunikera PM... Karibuni hapa, mshindane kunitongoza.
We mtoto kuwa na adabu. Ebo!
Haya mwengine huyu, jukwaa la kutongozana unaulizia Kiswahili. Hapa tongoza hata kichina.



Bibi kizee upo serious au unataka tensions tu?Kama huna hela usinitongoze. Tafadhali.



Mtongozano wa wazee wa jfKuna nini kinaendelea hapa?
mamaaaa nakufaaaaa liquid itabaki kilele itabaki juuTobaaa![]()
Sent from my SM using Tapatalk