Miss JF 2023 FaizaFoxy: Wanaonitongoza waje hapa

Miss JF 2023 FaizaFoxy: Wanaonitongoza waje hapa

We ni sawa na bibi yangu kulingana na maoni mbali mbali ya wanajukwaa je naweza kuwa mjukuu anekula tunda la bibieeee,

Sent using Jamii Forums mobile app
limoja hilihapa
Watu wanajitakia laana za bure mchana kweupe sasa hii tabia ya kutongoza maajuza imeanza lini au ndo kuzidiwa kwa usongo,nyegezi au ugonjwa wa akili?
.
.
Kuweni na huruma na bibi za watu jamani.

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ukisoma kwa makini ni Uzi makini kuliko zote.
Anatoa Somo tu hapa
Mkuu katika siku umeanzisha nyuzi ya kitoto ni leo?

Hii nyuzi imekaa kikahaba sana, hua nimekueka group la wanawake wenye ubongo mkubwa sana humu Jf ...but not anymore

Naanza kuamini wengi wa wasichana jf hawana utofauti na wale wa badoo,sema ndo vile baadhi wanajitahidi sana kujificha hadharani ila ukimuotea angle yake utakuta ni walewale...leo mkuu umeteleza sana,au ulikua unapost ktk ID ya matukio bahati mbaya umepost kwa ID yako ya heshima?

Narudia tena...Huu uzi ni wa kitoto mno...

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
kuna watu wana mioyo sana..sema bibi tangu mkatoliki ameshika madaraka naona mizuka na chama ilikuisha kabisa imebaki kutongozana tu..
 
Unatongozaje mtu humjui? Picha yake huijui? Wala huna mazoea nae? Wanaume tuna maajabu
 
Teh, assume yeye aliolewa 18-20yrs hapo, akiwa 40yrs first born wake ana 18-20yrs hivi(hopefully awe mdada), nae aolewe na kujaliwa watoto. Faiza akiwa 60 hakika mjukuu wa kwanza ataolewa...

Kumbuka kuna jamii at 18yrs mtoto anaolewa, nina binti wazazi walitaka arudi home coz ametafutiwa mchumba, at the age of 17, unaweza kuona...
Hii ni kweli, sababu mtoto wa kwanza wa sista ana miaka 22, kama akiolewa inamaanisha mama atakua ameozesha mjukuu na kupata kitukuu (na kenyewe sijui kanasubiri nini kuolewa, lol)
my mom yupo 60's.
Haha umeshinda. Na hawa wajukuu ndio tunapigana vikumbo Jf mbaya zaidi wengine tunagombea hadi mabwana... Jf simama nishukie Mwembechai

Sent using Jamii Forums mobile app
Hahaha si wamesema sasa hivi soko limehamia kwenye hawa watoto wa 2000's... eti wa 90's wameanza kuchoka.
 
Wale wote wanaojidai kunitongoza majukwaa ambayo hayahusiani na mahusiano, waje hapa kwenye jukwaa mahsusi kwa ajili hiyo.

Wacheni kuharibu nyuzi na mada za watu kwenye majukwaa yasiyohusiana na kutongozana

Hii inawahusu na wale wanaokuja kunikera PM... Karibuni hapa, mshindane kunitongoza.

Umechukua uamuzi wa kutangaza "CHAGULAGA"😀😀😀😀
 
Back
Top Bottom