Miss JF 2023 FaizaFoxy: Wanaonitongoza waje hapa

Wakuu mimi nampenda huyu Faiza naombeni maujuzi ya wapi nimwone live
Kitendo cha kupatwa na hisia za kimapenzi juu ya mwanamke ambaye hata hujawahi kumwona ila tu umevutiwa na nyuzi zake, comments zake n.k ni ishara ya wazi kuwa ni mwanaume mwenye hisia, wanaume wenye hisia n wachache ila ni watu wenye upendo na roho ndogo kwenye mahusiano hta unapowakera kmahisiano uhis uchungu na maumivu makal kweny mioyo yao.



Hvyo kjana nakushaur zuiya hisia tumia mantik zaid....
 
Back
Top Bottom