Kipenzi Changu
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 59,191
- 138,530
Mluzi mkubwa itapendezaWewe fuata mluzi mkubwa zaidi,hii mingine midogo achana nayo mkuu.
Mluzi mkubwa itapendezaWewe fuata mluzi mkubwa zaidi,hii mingine midogo achana nayo mkuu.
Upo kama mwezi uliopitaWakuu kwema?Nadhani Leo 17 November,Payroll zimeshawafikia wakuu wa idara huko kwenye Halmashauri mbalimbali nchi nzma.
Itapendeza zaidi Maafisa Utumishi au Wakuu wa idara mkitujuza kuhusu Orodha za malipo ya Mishahara mipya kuanzia November hii kama Mkulu alivoahidi!Je kuna ongezeko?Na kama lipo Ningependa kufahamu scales zake zimekaaje kuanzia Madaraja ya chini mpaka juu.
Ahsanteni,nawasilisha!!
Ukianza kulipwa kwa mwezi akili itakukaa sawa!!Afadhali waongezewe nipandishe kodi ya nyumba kwa hawa wapangaji wangu
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Nipo halmshauri hapa na bwana utumishi now, nyongeza ni 183,921 (one hundred eighty three thousand nine hundred twenty one only?)
Najua wengi won't believe lakini ndiyo baba J keshaamua hivyo..
Dah, kazi kweli kweli. Tunajing'ata na kujipuliza wenyewe.[emoji23]Ongezeko lipo na limebase kwenye annual increment ya salary scale ya mtumishi husika.
Pia bajeti hiyo hatukusikia bombardier au uwanja wa ndegeHakuna nyongeza kwani bajeti ya mwaka 2017/2018 mlisikia hyo nyongeza
Huu uzi ungefutwa tuu pelepeche mingiOngezeko lipo na limebase kwenye annual increment ya salary scale ya mtumishi husika.
Ongezeko lipo ila ni kiduchu sana. Ongezeko lenyewe ni lile la stahiki yaani increment.Wakuu kwema?Nadhani Leo 17 November,Payroll zimeshawafikia wakuu wa idara huko kwenye Halmashauri mbalimbali nchi nzma.
Itapendeza zaidi Maafisa Utumishi au Wakuu wa idara mkitujuza kuhusu Orodha za malipo ya Mishahara mipya kuanzia November hii kama Mkulu alivoahidi!Je kuna ongezeko?Na kama lipo Ningependa kufahamu scales zake zimekaaje kuanzia Madaraja ya chini mpaka juu.
Ahsanteni,nawasilisha!!
Siyo tena Wa wanyongemsiwe na matumaini.hapendi watumishi.!
Hakuna anayekufahamu, sema tu kuwa umeishiwa. Anonymity , hakuna atakayekutambua kuwa umeishiwa na kuishiwa si ajabu ni kawaida kwa kila mtu! ila degree ya kuishiwa ndiyo tofautiKuna mtumishi namdai na ameniaidi kunilipa salary ikitoka. Hivyo kama mshahara umetoka naombeni mnijulishe
Mnakera nyie khaaaa,,,Kuna mtumishi namdai na ameniaidi kunilipa salary ikitoka. Hivyo kama mshahara umetoka naombeni mnijulishe