Mishahara mipya Novemba 2017 kuna ongezeko?

Mishahara mipya Novemba 2017 kuna ongezeko?

Nini kupandisha sana kuna wengine bodi ya mikopo ishafanya yao
 
Ni hivi ni Sheria kwamba mtumishi anapata salary increament Kila mwaka kwa Tz hutolewa Kila July. Hi inatofautiana kulingana na mshahara wa mtumishi. Sasa mwaka 2016 na 2017 hazijatolewa kinyume na Sheria. Kwa hivi ni lazima zirejeshwe kwanza ndipo nyongeza itolewe. Isijekuwa unaambiwa mshahara umeongezwa Kimberly umerejeshewa tu increament uliyopokonywa. Vyama vya wafanyakazi hapa vimelala
Wengi hawalifikirii hili mkuu.
2020 itabidi tubuni namna ya kujikomboa.
 
Imeongezeka asilimia 2 ya mshahara wako....mwalim wa primary mwenye 354000 kapata ongezeko la 7080
 
Wakuu kwema?Nadhani Leo 17 November,Payroll zimeshawafikia wakuu wa idara huko kwenye Halmashauri mbalimbali nchi nzma.

Itapendeza zaidi Maafisa Utumishi au Wakuu wa idara mkitujuza kuhusu Orodha za malipo ya Mishahara mipya kuanzia November hii kama Mkulu alivoahidi!Je kuna ongezeko?Na kama lipo Ningependa kufahamu scales zake zimekaaje kuanzia Madaraja ya chini mpaka juu.

Ahsanteni,nawasilisha!!
Swali lako halijajibiwa ndugu.
 
Back
Top Bottom